YANGA HAITAKAA KUISAHAU MICHEZO HII 7

Leo hii tumekusogezea Michezo 7 iliyochezwa na Timu ya Yanga katika michezo hiyo Yanga imetoa sale michezo miwili na kufungwa michezo mitano.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Habari mbaya Ommy Dimpoz hatoweza kuja kuisahau kwenye maisha yake

Ommy

Kila binadamu anaweza kuwa na vitu flani hawezi kuvisahau kwenye maisha yake…. leo tunae Ommy Dimpoz ambaye ni mwimbaji wa bongofleva na anatuhadithia kitu kilichowahi kumkuta na hatoweza kukisahau hivihivi akiwa msanii, tazama hii video hapa chini.. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ […]

The post Habari mbaya Ommy Dimpoz hatoweza kuja kuisahau kwenye maisha yake appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Dewji Blog

Baada ya michezo ya robo fainali ya Capital One, hii ndiyo ratiba ya michezo ya nusu fainali

Capital-One-Cup-1

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Michezo ya robo fainali ya kombe la Capital One la nchini Wingereza linaloshirikisha ligi za Daraja la kwanza, pili na timu zinazoshiriki ligi kuu ya Wingereza imekamilika kwa timu nne kufuzu kuingia hatua ya nusu fainali.

Matokeo ya robo fainali ilikuwa hivi;

Everton 2 – 0 Middlesbrough

Manchester City 4 – 1 Hull City

Stoke City 2 – 0 Sheffield Wednesday

Southampton 1 – 6 Liverpool

Baada ya michezo hiyo, ratiba ya michezo ya nusu fainali ni kama...

 

3 years ago

Mwananchi

Simba hii na Yanga hii sio zile

Mechi ya Smba na Yanga itafanyika Jumamosi wiki hii huku homa ya pambano hilo ikizidi kupanda kila kona.

 

3 years ago

MillardAyo

Baada ya ushindi wa Yanga dhidi ya Simba hii ndio taarifa mpya kutoka Yanga iliyotolewa leo Feb 22

DSC_0003

Baada ya ushindi wa Yanga wa goli 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam Jumamosi ya February 20, uwanja wa Taifa Dar Es Salaam dhidi ya watani zao wa jadi klabu ya Simba, klabu hiyo imetoa taarifa ya mipango yao mipya kuelekea mchezo wake wa FA Cup dhidi ya […]

The post Baada ya ushindi wa Yanga dhidi ya Simba hii ndio taarifa mpya kutoka Yanga iliyotolewa leo Feb 22 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

4 years ago

Vijimambo

YANGA HII NI TAMU ZAIDI YA MCHARO COASTAL WAGEUZWA CHIPS FUNGA WAPOKEA 8 SAWA NA TAREHE YA MCHEZO WAO NA YANGA.


Yanga hii ni ya kimataifa na kitaifa ndiyo habari ya mjini Coastal Union hawatasahau milele kipigo cha leo tarehe 8 mwezi wa 4 wapigwa bao sawa na tarehe ya siku ya mchezo wao na Yanga taifa. Amis Tambwe apiga nne, Mliberia  nae afunga bao lake la kwanza toka ajiunge Yanga na baada ya kufunga bao hilo alitoa machozi kwa furaha pia mliberia huyo alitoa pasi tatu zilizo zaa mabao matatu katika mchezo huo. Yanga sasa inazidi kujikita kileleni kwa kuwa na point 43 wakishuka dimbani mara 20, Azam...

 

2 years ago

BBCSwahili

Michezo ya kimataifa kuendelea leo hii

Mechi za Kirafiki za kimataifa kwa mujibu wa Kalenda ya FIFA zinaendelea tena hii leo

 

2 years ago

BBCSwahili

Michezo inayopigwa jioni hii ya Epl

Arsenal inaonana na Afc Bournemouth, huku Brighton & Hove Albion ni wenyeji wa West Bromwich Albion.

 

3 years ago

Dewji Blog

FA yamfungia michezo mitatu Schweinsteiger, sababu hii hapa

Manchester-United-Man-United-News-Man-United-Transfers-Transfer-News-Bastian-Schweinsteiger-Schweinsteiger-Man-United-Man-597414

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Chama cha Soka cha Wingereza FA imemfungia kiungo wa Manchester United, Bastian Schweinsteiger (pichani) kwa michezo mitatu baada ya kumchezea vibaya mchezaji wa West Ham United, Winston Reid

Katika taarifa ya FA inasema Schweinsteiger alifanya kosa hilo katika mchezo wa jumamosi wakati timu hizo zilipokutana na kutoka sare ya bila kufungana.

FA ilisema Schweinsteiger alimpiga kwa kiwiko Reid wakati wakigombea mpira na refa wa mchezo huo, Mark Clattenburg hakuona...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani