Yanga kunoa makali Kombe la Mapinduzi

Kikosi-Yanga NA ZAINAB IDDY,  DAR ES SALAAM

TIMU ya Yanga tayari imewasili Zanzibar kwa ajili ya kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi itakayoanza kesho huku wakitamba kutwaa ubingwa na kusaka makali kwa ajili ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika.

Katika mashindano ya Mapinduzi, Yanga imepangwa kundi B ikiwa na Azam, Mtibwa Sugar na Mafunzo ya Zanzibar ambapo inatarajia kufungua dimba kesho kwa kuvaana na Mafunzo.

Kikosi hicho kinachonolewa na kocha Hans Vans Pluijm na msaidizi wake, Juma Mwambusi,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mtanzania

MSN kunoa makali ya upigaji penalti

lionel-messi-luis-suarez-na-neymar-jrBARCELONA, HISPANIA

SAFU ya ushambuliaji ya timu ya Barcelona inayotengeneza utatu wa MSN, ikiwa na maana ya Lionel Messi, Luis Suarez na Neymar Jr, wanajifua kunoa makali yao katika upigaji penalti dhidi ya timu pinzani.

Safu hiyo imekuwa katika mazoezi makali ya kuhakikisha hawafanyi makosa wanapopata nafasi ya upigaji wa penalti hizo.

Kila mmoja kati yao ameonekana kuwa makini katika jambo hilo baada ya kuwa na uwiano wa kukosa penalti 10 kati ya 24 walizopata msimu uliopita.

Idadi hiyo...

 

2 years ago

Habarileo

Simba kunoa makali kwa Polisi Dodoma

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba wanatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Polisi Dodoma utakaochezwa mwishoni mwa wiki hii kwenye uwanja wa Jamhuri mjini humo.

 

5 years ago

Mwananchi

Simba kunoa makali mbele ya Orlando Pirates Sauzi leo

Simba inashuka uwanjani kuikabili Orlando Pirates ya Afrika Kusini ukiwa ni mchezo wa maandalizi ya mechi yao dhidi ya Yanga inayatarajiwa kufanyika Oktoba 18 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

4 years ago

BBCSwahili

Yanga yaaga kombe la Mapinduzi

Yanga imeng'oka katika michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kufungwa bao 1-0 na JKU.

 

4 years ago

BBCSwahili

Yanga yang'ara Kombe la Mapinduzi

Timu ya Yanga ya Tanzania Bara imezidi kung'ara katika michuano ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar

 

2 years ago

Habarileo

Simba, Yanga zageukia Kombe la Mapinduzi

UHONDO wa soka sasa unahamia visiwani Zanzibar ambapo vigogo wa soka nchini, Simba na Yanga zitapambana kuwania ubingwa wa Kombe la Mapinduzi lililoanza kutimua vumbi jana kwa timu ya Taifa Jang’ombe dhidi ya ndugu zao, Jang’ombe Boys.

 

4 years ago

GPL

COUTINHO AWAPA RAHA YANGA, KOMBE LA MAPINDUZI

Andrey Coutinho akishangilia na wenzake baada ya kufunga dakika ya 86 kipindi cha pili. BAO pekee la Mbrazil, Andrey Coutinho limeipa Yanga  ushindi wa 1-0 dhidi ya Shaba katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Coutinho alifunga bao hilo dakika ya 86 kwa shuti kali akimaliziana krosi ya beki wa kulia, Juma Abdul.
Yanga SC inamaliza kwa ushindi wa asilimia 100,...

 

4 years ago

Vijimambo

YANGA NAYO OUT KOMBE LA MAPINDUZI YAPIGWA 1-0 NA JKU

Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe, akiwa chini akijilaumu baada ya kukosa bao la wazi katika mchezo wa Robo fainali ya Kombe la Mapinduzi uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa Aman mjini Zanzibar. Katika mchezo huo JKU ilishinda kwa bao 1-0 lililofungwa na Amour Omary katika dakika ya 72.Kwa matokeo hayo sasa Yanga ni timu ya tatu kuaga mashindano hayo ikiungana na Azam Fc, iliyofungwa na Mtibwa Sugar na Kcc iliyofungwa na Polisi, ambapo sasa JKU itakutana na Mtibwa Sugar katika hatua ya...

 

2 years ago

Mwananchi

Bocco aipania Yanga SC Kombe la Mapinduzi leo

Nahodha wa Azam FC, John Bococo amesema hawana budi kukomaa kuhakikisha wanaifunga Yanga leo ili waingie nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani