YANGA NAYO OUT KOMBE LA MAPINDUZI YAPIGWA 1-0 NA JKU

Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe, akiwa chini akijilaumu baada ya kukosa bao la wazi katika mchezo wa Robo fainali ya Kombe la Mapinduzi uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa Aman mjini Zanzibar. Katika mchezo huo JKU ilishinda kwa bao 1-0 lililofungwa na Amour Omary katika dakika ya 72.Kwa matokeo hayo sasa Yanga ni timu ya tatu kuaga mashindano hayo ikiungana na Azam Fc, iliyofungwa na Mtibwa Sugar na Kcc iliyofungwa na Polisi, ambapo sasa JKU itakutana na Mtibwa Sugar katika hatua ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

KOMBE LA MAPINDUZI: JKU YAICHAPA ZIMAMOTO BAO 1-0 UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR

Mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto, Hafidh Barik akipokea mpira huku beki wa Timu ya JKU, Ponsiana Malik akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar jana, Timu ya JKU imeshinda bao 1-0. Wachezaji wa Timu ya JKU na Zimamoto, Ponsiana Malik na Amour Haji, wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya JKU imeshinda bao 1- 0(Picha na Othman Maulid).

 

12 months ago

BBCSwahili

Simba ‘wanguruma’ kombe la SportPesa Super Cup Kenya, Yanga na JKU wa Zanzibar hoi

Mabingwa wa ligi kuu ya Tanzania Simba wametolewa jasho naa Kariobangi Sharks ya Kenya kabla ya kuibuka mshindi kwa mabao 3-2 ya penalti.

 

4 years ago

BBCSwahili

Yanga yaaga kombe la Mapinduzi

Yanga imeng'oka katika michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kufungwa bao 1-0 na JKU.

 

3 years ago

Mtanzania

Yanga kunoa makali Kombe la Mapinduzi

Kikosi-Yanga NA ZAINAB IDDY,  DAR ES SALAAM

TIMU ya Yanga tayari imewasili Zanzibar kwa ajili ya kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi itakayoanza kesho huku wakitamba kutwaa ubingwa na kusaka makali kwa ajili ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika.

Katika mashindano ya Mapinduzi, Yanga imepangwa kundi B ikiwa na Azam, Mtibwa Sugar na Mafunzo ya Zanzibar ambapo inatarajia kufungua dimba kesho kwa kuvaana na Mafunzo.

Kikosi hicho kinachonolewa na kocha Hans Vans Pluijm na msaidizi wake, Juma Mwambusi,...

 

4 years ago

BBCSwahili

Yanga yang'ara Kombe la Mapinduzi

Timu ya Yanga ya Tanzania Bara imezidi kung'ara katika michuano ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar

 

2 years ago

Habarileo

Simba, Yanga zageukia Kombe la Mapinduzi

UHONDO wa soka sasa unahamia visiwani Zanzibar ambapo vigogo wa soka nchini, Simba na Yanga zitapambana kuwania ubingwa wa Kombe la Mapinduzi lililoanza kutimua vumbi jana kwa timu ya Taifa Jang’ombe dhidi ya ndugu zao, Jang’ombe Boys.

 

4 years ago

GPL

COUTINHO AWAPA RAHA YANGA, KOMBE LA MAPINDUZI

Andrey Coutinho akishangilia na wenzake baada ya kufunga dakika ya 86 kipindi cha pili. BAO pekee la Mbrazil, Andrey Coutinho limeipa Yanga  ushindi wa 1-0 dhidi ya Shaba katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Coutinho alifunga bao hilo dakika ya 86 kwa shuti kali akimaliziana krosi ya beki wa kulia, Juma Abdul.
Yanga SC inamaliza kwa ushindi wa asilimia 100,...

 

2 years ago

Mwananchi

Bocco aipania Yanga SC Kombe la Mapinduzi leo

Nahodha wa Azam FC, John Bococo amesema hawana budi kukomaa kuhakikisha wanaifunga Yanga leo ili waingie nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi.

 

5 months ago

Zanzibar 24

Yanga yawaacha Ajib na Makambo kombe la Mapinduzi

Kuelekea michuano ya kombe la Mapinduzi inayoanza kesho Januari 1, 2019 visiwani Zanzibar, klabu ya Yanga haitapeleka kikosi chake cha kwanza kwenye mashindano hayo.

Kwa mujibu wa chanzo cha ndani ya Yanga kimeeleza kuwa baadhi ya wachezaji wa kikosi cha kwanza wamepewa mapumziko na kocha Mwinyi Zahera ili kujiweka sawa kwaajili ya mechi za ligi kuu.

”Badala ya kwenda na kikosi cha kwanza mwalimu ameeleza kuwa Yanga itakwenda na wachezaji ambao wamekuwa hawapati nafasi ili nao waweze...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani