Yanga-nusu fainali Mapinduzi Cup.

Mabingwa wa Tanzania Bara Timu ya Yanga, imefanikiwa kutinga hatua ya Nusu fainali kufuatia ushindi wa Bao 2-1 dhidi ya Mtibwa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

Ushindi wa Simba unaowafanya wakutane na Yanga nusu fainali Mapinduzi Cup 2017

screen-shot-2017-01-08-at-7-45-40-pm

Baada ya jana January 7 2017 Dar es Salaam Young Africans kuruhusu kufungwa goli 4-0 dhidi ya Azam FC na kumaliza Kundi B wakiwa nafasi ya pili, Simba wameifunga Jang’ombe Boys goli 2-0 na kuifanya Simba kumaliza Kundi A wakiwa nafasi ya kwanza. Ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Jang’ombe Boys zilizofungwa na Laudit Mavugo […]

The post Ushindi wa Simba unaowafanya wakutane na Yanga nusu fainali Mapinduzi Cup 2017 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Global Publishers

Yanga Vs Simba Nusu Fainali Mapinduzi Cup Tupia Maoni Yako ya Kispoti

simba-na-yanga HISTORIA nyingine kwenye mchezo wa soka inatarajiwa kuandikwa leo kwenye mchezo wa nusu fainali inayosubiriwa kwa hamu kubwa katika Kombe la Mapinduzi ambayo inawakutanisha watani wa jadi, Simba Sc na Yanga Sc. Mechi inachezwa saa 2:15 usiku kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar. Sio rahisi kufahamu nani ataibuka na ushindi na kutinga fainali. Naomba nikupe fursa ya wewe kutoa maoni yako, uchambuzi wa kispoti kuhusu game hii ya kihistoria kwa miamba hawa.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Goli za Mavugo zinazoikutanisha Simba vs Yanga nusu fainali Mapinduzi Cup 2017

screen-shot-2017-01-09-at-1-34-41-am

January 8 2017 Simba walicheza mchezo wao wa mwisho wa Kombe la Mapinduzi 2017 hatua ya makundi dhidi ya Jang’ombe Boys katika uwanja wa Amaan Zanzibar, huo ulikuwa ni mchezo muhimu kwa Simba ambaye alifanikiwa kupata ushindi wa goli 2-0, magoli yakifungwa na Laudit Mavugo dakika ya 12 na 54. VIDEO: Yanga vs Azam FC January […]

The post VIDEO: Goli za Mavugo zinazoikutanisha Simba vs Yanga nusu fainali Mapinduzi Cup 2017 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Cheki Video ya magoli na mikwaju ya penati ya mchezo wa nusu fainali, Yanga Vs URA Mapinduzi cup 2016

Usiku wa January 10 katika dimba la Amaan visiwani Zanzibar ulipigwa mchezo wa pili wa nusu fainali kwa kuzikutanisha timu za Dar Es Salaam Young African dhidi ya URA ya Uganda. Huu ulikuwa ni mchezo wa kuamua ni timu ipi kati ya hizo itacheza fainali na Mtibwa Sugar January 13. Mchezo ulimalizika kwa sare ya […]

The post Cheki Video ya magoli na mikwaju ya penati ya mchezo wa nusu fainali, Yanga Vs URA Mapinduzi cup 2016 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

Tanzania Daima

Ni shughuli nusu fainali Mapinduzi Cup Leo

WEKUNDU wa Msimbazi, Simba SC, leo wanashuka kwenye dimba la Amaan hapa Unguja kuwavaa Watoza Ushuru wa Mamlaka ya Mapato Uganda (URA), katika nusu fainali ya pili ya Kombe la...

 

2 years ago

Michuzi

FAINALI YA SPORTPESA SUPER CUP NI TIMU ZA KENYA,YANGA YAONDOLEWA NUSU FAINALI

 Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

MABINGWA Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom (VPL) Yanga leo wameaga amashindano ya SportPesa Super Cup kwa mikwaju ya penati 4-2 katika mchezo wa hatua ya nusu fainali yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Mechi hiyo iliyochezwa katika uwanja wa Uhuru ulianza majira ya saa 8 kamili kwa kuzikutanisha timu ya Yanga dhidi ya AFC Leopard ya nchini Kenya.Mpaka dakika 90 za mpira zinamalizika timu hizo zilitoshana nguvu kwa kutoka suluhu na...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Nusu fainali ZBC watoto Mapinduzi CUP kupigwa kesho

Michezo miwili ya nusu fainali katika Mashindano ya Soka kwa Vijana waliochini ya umri wa miaka 17 yaliyoandaliwa na Shirika la Utangazaji Zanzibar “ZBC” ambayo yanajulikanwa kwa jina la ZBC Watoto Mapinduzi CUP inatarajiwa kusukumwa kesho katika Uwanja wa Amaan.

Saa 8:00 za mchana wataanza Wilaya ya Mjini kukipiga na Wilaya ya Mkoani ambapo saa 10:15 za jioni watasukumana kati ya Wilaya ya Wete dhidi ya Wilaya ya Magharibi “B”.

Kuelekea katika michezo hiyo Mtandao huu umefanikiwa kuzungumza...

 

3 years ago

MillardAyo

Video ya goli la Mtibwa Sugar Vs Simba nusu fainali ya Mapinduzi Cup 2016, Full Time 1-0 ..

Klabu ya Simba SC January 10 ilikuwa timu ya kwanza kuaga mashindano ya Kombe la Mapinduzi katika hatua ya nusu fainali dhidi ya Mtibwa Sugar, baada ya Simba kushindwa kusawazisha goli la Mtibwa lililofungwa na Ibrahim Jeba dakika ya 45, hivyo huo ndio ukawa mwisho wa safari yao katika michuano hiyo baada ya mchezo kumalizika […]

The post Video ya goli la Mtibwa Sugar Vs Simba nusu fainali ya Mapinduzi Cup 2016, Full Time 1-0 .. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

Bongo5

Simba na Yanga kukutana leo nusu fainali ya kombe la Mapinduzi

Nusu fainali ya kombe la Mapinduzi yanayo fanyika mjini Zanzibar, itafanyika leo kati ya mchezo wa wapinzani wa jadi Simba na Yanga unaotarajiwa kufanyika leo katika uwanja wa Aman majira saa mbili na robo usiku.

Mchezo huo unao subiriwa kwa hamu na wadau wengi wa soka utakuwa wa kwanza kwao kukutana kwa mwaka 2017 kwenye kombe la Mapinduzi.

Timu ya Yanga wanaingia kwenye mchezo huo wakiwa na majeruhi baada ya kupata kipigo cha magoli 4 kwa bila dhidi ya Azam, wakati Simba wao wakiwa na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani