Yanga tayari wavalia njuga kuinyaka Bilion 1

Mabingwa wa soka nchini klabu ya Yanga itaanza kibarua cha kuwania kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Africa, hatua ambayo itawawezesha kujikusanyia kiasi cha shilingi bilioni 1.1, iwapo wataitoa Township Rollers ya Botswana.

Yanga leo jioni watakuwa wenyeji wa Township Rollers kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam ikiwa ni mechi ya kwanza Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika Uwanja wa Taifa, kuanzia Saa 10:00 jioni.

Kwa mujibu wa utaratibu wa Shirikisho la...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Tanzania Daima

Viongozi wavalia njuga ‘vimemo’

VIONGOZI wa serikali za vijiji vya Kata ya Maguha na Magubike, mkoani Morogoro, wameazimia kusambaratisha na kukomesha migogoro ya ardhi kwa kuvifikisha mahakamani vikaratasi vyote vya kugawana ardhi kwa njia...

 

4 years ago

Mtanzania

Wanasheria wavalia njuga Masha kunyimwa dhamana

Laurence MashaNa Elias Msuya

CHAMA cha Wanasheria cha Tanganyika (TLS), kimelaani kitendo cha mwanachama wake ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha, kunyimwa dhamana mahakamani.

Katika taarifa yake iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari, TLS imesema mahakama imekuwa na tabia ya kunyima watu haki yao hiyo kwa kisingizio cha kuhakiki nyaraka za dhamana.

Kutokana na hali hiyo, chama hicho kimesema kitaunda tume maalumu ya kuchunguza uvunjwaji wa taratibu za mahakama...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Wake wa viongozi wavalia njuga ugonjwa wa saratani

UMOJA wa Wake wa Viongozi nchini, umezitaka taasisi na wadau mbalimbali kushirikiana na Hospitali ya Aga Khan ili kuwakomboa wanawake kutokana na ugonjwa wa saratani. Akizungumza jijini Dar es Salaam...

 

4 years ago

BBCSwahili

Yanga, Azam tayari kwa El-Merreikh

Wawakilishi wa Tanzania Bara katika michuano ya vilabu ya shirikisho la soka barani Afrika, Yanga na Azam wamekamilisha maandalizi.

 

3 years ago

Habarileo

Tuko tayari kwa mapambano -Yanga

BAADA ya Yanga kukwama kuondoka juzi, wanatarajia kuondoka leo kwa ndege ya ATC kuwafuata Cercle de Joachim tayari kwa mchezo wa Jumamosi wa klabu bingwa Afrika utakaochezwa mjini Curepipe, Mauritius huku kocha mkuu wa Yanga Hans van Pluijm akisema wako tayari kwa mapambano.

 

3 years ago

Habarileo

Yanga tayari kuifunga Medeama Jumamosi

KOCHA wa Yanga, Hans Pluijm amesema jeshi lake lipo tayari kuwavaa Medeama FC, kwenye mchezo wa hatua ya makudi ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC), utakaofanyika Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

3 years ago

Mtanzania

Yanga: Hatupo tayari kumwachia Pluijm

pluijm na manji

NA ADAM MKWEPU-DAR ES SALAAM

UONGOZI wa klabu ya Yanga umesema kuwa haupo tayari kumwachia kocha mkuu wa timu hiyo, Hans van Pluijm, huku ukieleza kwamba kwa sasa upo mbioni kumwongezea mkataba mpya ili kuendelea kukinoa kikosi chao kwa mafanikio msimu ujao.

Kauli hiyo ya Yanga imekuja siku chache baada ya kocha huyo kutwaa tuzo ya Kocha Bora katika Ligi Kuu Tanzania Bara msimu uliopita, pia kuisaidia timu hiyo kuwa bingwa wa ligi hiyo mara mbili mfululizo tangu msimu wa 2014/15 na 2015/16...

 

3 years ago

BBCSwahili

Upinzani wavalia sare za wanafunzi Kenya

Viongozi wa upinzani nchini Kenya wamevalia mavazi yanayofanana na sare za wanafunzi wakiitaka serikali kulipa walimu nyongeza ya mishahara.

 

5 years ago

BBCSwahili

Wabunge wa EFF wavalia kama wafanyikazi

Wabunge wa EFF wavalia kama wafanyikazi katika kikao cha kwanza Afrika Kusini

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani