YANGA WAANIKA AJENDA ZA MKUTANO MKUU, YA UCHAGUZI YAWEKWA KANDO

Na Zainab Nyamka, Globu ya jamii
KUELEKEA Mkutano mkuu wa Yanga Juni 10 mwaka huu, uongozi umeweka wazi ajenda kuu zitakazojadiliwa huku ajenda ya uchaguzi ikiwa imewekwa kando kwanza.
Maandalizi ya mkutano huo kwa wanachama wa Klabu ya Yanga yameshika kasi sasa zikiwa zimesalia siku nne kuelekea mkutano huo muhimu utakaotoa dira kwa klabu hiyo.
Akielezea masuala mbalimbali kuhusu maandalizi ya mkutano huo leo jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amesema wako hatua za mwisho...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

YANGA YAWEKA WAZI AJENDA ZAKE KUELEKEA MKUTANO WAKO MKUU WA DHARULA, KUIGUSA KATIBA.

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.KUELEKEA Mkutano Mkuu wa wanachama wa Yanga ulioitishwa na Mwenyekiti wa klabu hiyo Yusuph Manji , Uongozi wa Yanga kupitia kwa mratibu wa Matawi na Mkuu wa Kitengo cha Masoko Omary Kaya  amezitaja ajenda kuu zitakazotumika kwenye mkutano huo huku suala la Mabadiliko ya Katiba ya Yanga yakipewa kipaumbele. Katika mkutano huo unaotarajiwa kufanyika kesho siku ya Jumamosi unatarajiwa kuhudhuriwa na maelfu ya wanachama wanaotaka kufahamu mwenendi mzima wa timu...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Ajenda za mkutano wa dharura wa Yanga Hizi hapa

Yanga imetoa agenda ambazzo zitajadiliwa kwenye Mkutano Mkuu wa dharura unaotarajiwa kufanyika October 23, 2016.

Agenda inayosubiiwa kwa hamu ni agenda namba 11 ambapo Mwenyekiti wa klabu hiyo Yusuf Manji ataweka wazi msimamo wake juu ya maazimio ya wanachama kwenye kikao.

AJENDA ZA MKUTANO MKUU WA DHARURA WA WANACHAMA TAREHE 23 OKTOBA, 2016 KWENYE UWANJA WA KAUNDA.

1. SALA NA UTAMBULISHO WA WAGENI WAALIKWA:

1.1. Sala ya Wakristo ya Kubariki Kikao.

1.2. Sala ya Waislamu ya Kubariki Kikao.

 

4 years ago

Habarileo

Lowassa: Ardhi ajenda Uchaguzi Mkuu Monduli

WAZIRI Mkuu mstaafu, Edward Lowassa amesema ajenda kuu katika uchaguzi ujao katika Jimbo la Monduli wilayani Monduli mkoani Arusha ni migogoro ya ardhi na hana uhakika kama viongozi wa vijiji waliojiingiza katika migogoro hiyo watarudi madarakani.

 

3 years ago

Michuzi

VUGUVUGU LA AJENDA YA WATOTO NA UCHAGUZI MKUU LAENDELEA KIBAHA

Mwanafunzi wa shule ya Sekondari Simbani, Akram-Shabani,akizungumza katika Mdahalo wa Walinde Watoto uliowaleta pamoja wapiga kura, watoto na wagombea wa nafasi za Ubunge na Udiwani uliofanyika Kibaha Mkoani Pwani jana. Baadhi ya wakazi wa Kibaha Mkoani Pwani  waliohudhuria mdahalo huo.Mratibu wa mradi wa kuzuia ukatili dhidi ya mtoto kutoka Plan International, Jastin Moses akizungumza  katika Mdahalo wa Walinde Watoto uliowaleta pamoja wapiga kura, watoto na wagombea wa nafasi za Ubunge na...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Ajenda 5 zitakazo jadiliwa na Mkutano Mkuu wa dharura ZFA TAIFA jumamosi hii

Mkutano Mkuu wa dharura wa ZFA TAIFA unatarajiwa kufanyika Siku ya Jumamosi ya April 22, 2017 katika Ukumbi wa Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba kuanzia saa 3:00 za asubuhi.

zfa

Katika Mkutano huo zitajadiliwa Ajenda 5 na mengineyo kati ya hizo ajenda ikiwemo kuhusu maboresho ya Katiba ya ZFA kuendana na matakwa ya Shirikisho la Soka Barani Afrika “CAF” ambapo hivi karibuni Zanzibar imekuwa mwanachama wa 55 wa Shirikisho hilo.

Mbali na ajenda hiyo, pia ajenda kubwa zaidi inayosubiriwa kwa hamu...

 

3 years ago

Vijimambo

WANANCHI WA KISARAWE WASHIRIKI MDAHALO WA AJENDA YA WATOTO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015


Ndg Abel Mudo, mgombea wa udiwani kata ya Kisarawe kupitia CCM akichangia katika mdahalo wa ajenda ya watoto ambapo ulihusisha pia wakazi wa kata ya kisaraweBaadhi ya wakazi ya kata wa kisarawe wakifuatilia kwa makini mdahalo wa ajenda ya watoto ambapo wa  ajenda ya watoto ullohusisha wagombea wa udiwani kupiitia vyama vya CCM na Chadema 


Mmoja wa wananchi wa kata ya kisarawe akichangia katika mdahalo wa ajenda ya  watoto kuelekea uchaguzi mkuu  ambapo ulihusisha wanafunzi na wagombea  wa...

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA ATEMBELEA WANANCHI WAISHIO KANDO KANDO YA BANDARI YA KASANGA,WILAYA MPYA YA KALAMBO MKOANI RUKWA

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana na baadhi ya viongozi wa chama Wilaya ya Kalambo,wakikatiza kwenye Ofisi ya CHADEMA,ambayo inadaiwa imefungwa yapata miaka mitatu sasa, kwa kushindwa kulipia pango.  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akibeba tofali aliyoifyatua,ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa jengo la CCM,wilayani Kalambo.  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwahutubia wakazi wa kata ya Kasanga,iliopo ndani ya wilaya mpya ya Kalambo,mkoani Rukwa mapema jana jioni.Kinana bado...

 

3 years ago

Dewji Blog

Kuhusu Yanga kubadili mfumo, ajenda za mkutano wa kesho na Jerry Muro kurejea kazini, majibu yote yapo hapa

Limekuwa jambo la kawaida kuwasikia watani wa jadi Simba na Yanga kufanya mambo ambayo mpinzani mmoja anakuwa anafanya na sasa linalosubiriwa kwa hamu ni kuona kama Yanga watawaiga Simba baada ya watani wao kukubaliana kufanya mabadiliko ya mfumo ambao wanautumia sasa.

Akizungumza na waandishi wa habari kuelekea mkutano wa Yanga ambao umeitishwa kwa dharula na mwenyekiti wa timu, Mratibu wa matawi ya Yanga na Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Yanga, Omary Kaya alisema jambo hilo linauwezekano wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani