Yanga wamchangia Manara fedha za matibabu

manara

Sweetbert Lukonge,

Dar es Salaam

OFISA Habari wa Simba, Haji Manara, hivi karibuni alipata matatizo ya macho baada ya jicho lake moja kupoteza uwezo wa kuona, wakati akiendelea na matibabu, wanachama wa Yanga wameamua kumchangia fedha za matibabu katika kile walichodai kuonyesha michezo siyo uadui.

Wanachama hao wameongozwa na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro ambaye alithibitisha juu ya mchango huo kwa kusema kuwa wamefikia uamuzi huo kutokana na kuguswa zaidi...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

NJE YA SOKA UNDUGU UENDELEE: WANA YANGA WAMCHANGIA HAJI MANARA

Wanachama na mashabiki wa Yanga, usiku wa jana walikwenda nyumbani kwa Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa Timu ya Simba, Haji Manara na kukabidhi mchango wao kwa ajili ya matibabu. Wanayanga hao waliongozwa na Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro walimkabidhi Manara kiasi ya Sh 1,055,000 kama mchango wao. 
Wiki iliyopita, Manara aliamka na kujikuta jicho la kushoto halioni. Hivyo anatarajiwa kupelekwa India kwa ajili ya matibabu na safari yake huenda ikawa Jumamosi...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Wadau wa soka wamchangia shilingi laki 2 Agger kwaajili ya matibabu

Jumla ya Shilingi laki mbili zimekusanywa katika mchezo maalum wa kumchangia matibabu mshambuliji wa KVZ ambae pia kwenye Ndondo hucheza Theo Kombain Yussuf Seif “Agger” ambae amelazwa katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja takribani wiki ya tatu sasa akisumbuliwa na kifua na bega baada ya kupoa mchubuko tumboni wakati huo huo homa kali na viungo vya mwili wote vikimuuma.

Mchezo huo maalum umepigwa jana jioni katika uwanja wa Amaan nje ambapo Timu ya Theo Combain na timu ya Auto Brazil...

 

4 years ago

Michuzi

wanaCCM mkoani Tabora wamchangia mh. Lowassa fedha za kuchukulia fomu ya kuwania Urais

Mzee wa CCM wilaya ya Urambo mkoani Tabora, Yusuf Bundala Kasubi, (kulia), akimkabidhi Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, zaidi ya shilingi milioni moja, zilizochangwa na wanachama wa CCM mkoani Tabora, ili azitumia kulipia ada ya kuchukua fomu za kuwania urais kupitia chama hicho. Hafla ya kukabidhi fedha hizo ilifanyika nyumbani kwa Mtangaza nia huyo, mjini Dodoma leo Alhamisi Juni 4, 2015. Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM wilaya ya Nzega mkoani Tabora,...

 

3 years ago

Michuzi

HAJI MANARA SAFARINI INDIA KWA MATIBABU, ACHEUA YA MOYONI KWA WADAU


Asalaam Aleikhum,
 Awali ya yote nianze kwa kumshukuru mungu.mwingi wa rehma zote.Ni wiki mbili kamili zitakazotimia leo usiku.majira ya saa nane usiku. Muda huo bila shaka nitakuwa katika  anga la dunia nikisafiri kuelekea New Delhi nchini  India kupitia Muscat Oman kwa ajili ya matibabu yangu ya macho.
Usiku wa siku kama ya leo (yaani Jumapili ya tarehe 3-7-2016) niliamka usiku kwa ajili ya daku, Ndipo nilipogundua jicho langu la kushoto halioni kabisa na  jicho langu la kulia lina uoni wake...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Manara aishukia Yanga

Uongozi wa klabu ya Simba umewapongeza waamuzi waliochezesha mchezo wake dhidi ya Yanga na kuwakejeli watani zao hao kuwa hawawasumbui kwa sasa.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Haji Manara aiwakia Yanga

WAKATI ikichanganywa na mgomo wa nyota wao, viongozi wa Yanga wamewekwa kwenye hali ngumu baada ya watani zao, Simba kuwakomalia wakitaka walipwe fedha zao Sh 50 milioni zikiwa ni fidia ya beki Hassan Kessy.

 

2 years ago

Mwananchi

Manara aitupia vijembe Yanga

Uongozi wa klabu ya Simba umewapongeza waamuzi waliochezesha mchezo wake dhidi ya Yanga kwamba walichezesha vizuri mchezo huo walioshinda mabao 2-1.

 

5 months ago

Malunde

MANARA AWAINGIZA YANGA MTEGONI

Msemaji wa Mabingwa Watetezi, Klabu ya Simba, Haji Manara amehoji Mamlaka ya mapato Tanzania juu utaratibu wa watani zao wa jadi kuhusu kuchangisha kwa ajili ya klabu yao na kuuliza kama utaratibu huo ni sahihi.
Manara amehoji iwapo kama Klabu hiyo inayoongoza msimamo wa ligi kuu soka Tanzania bara kama inalipia kodi katika Mamlaka hiyo huku akisistiza kwamba hata kama ukweli ukiwa mchungu kiasi gani lazima usemwe.
"TRA nakumbuka mlienda katika kanisa la Mchungaji Kakobe kufuatilia ile...

 

4 years ago

Mwananchi

Kitwana Manara: Bibi alinipeleka Yanga

Manara, wengi wakiwamo mashabiki wa soka hasa wa siku hizi wanamtambua kama mshambuliaji mahiri wa miaka ile.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani