Yanga wamwaga mboga, Simba kubinua sahani na bakuli

KLABU ya Simba imeitaka Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) mpaka kufikia Machi 24, 2017, iwe imeshatoa maamuzi waliyoyaweka kiporo, kinyume na hapo watachukua maamuzi magumu, anaandika Erasto Masalu. Simba wametoa kauli hiyo baada ya kuwepo kwa sintofahamu juu ya maamuzi ya Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Yanga yapaa kwenda ‘kubinua meza’ ya Al Ahly Misri

Yanga imeondoka jana kwenda Misri huku ikiwa na matumaini ya ‘kubinua meza’ kwa akuibuka na ushindi katika mchezo wao wa marudiano dhidi ya Al Ahly utakaofanyika Jumatano nchini humo.

 

3 years ago

BBCSwahili

Tutakula sahani moja na Azam -Simba.

Simba wamesema sasa wanakula sahani moja na klabu ya Azam ya kugombania nafasi ya pili ili kushiriki michuano ya kimataifa.

 

4 years ago

Michuzi

Kuondoka kwa Maximo, wachezaji Yanga wamwaga chozi!

KOCHA wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo amewaaga rasmi leo asubuhi wachezaji wa timu hiyo kwenye mazoezi uwanja wa Sekondari ya Loyola huku akitarajia kuvuna zaidi ya Milioni 20 ndani ya klabu hiyo ikiwa ni mshahara wake wa dola 1200 na yupo kwenye harakati za kudai fidia ya kuvunjiwa mkataba na kuletwa mrithi wake kabla uongozi wa klabu hiyo haujamaliza nae.
Hata hivyo, tayari Maximo ameaga wachezaji wake kwenye mazoezi ya asubuhi leo ambapo mazoezi hayo yaligeuka shubiri baada ya Maximo...

 

2 years ago

Mwanaspoti

UKOCHA: Pluijm amwaga mboga Yanga

Usemi wa Waswahili kuwa, ukimwga ugali, nami namwaga mboga umetimia kwa klabu ya soka ya Yanga  ambayo licha  ya uongozi wake jana kukanusha kuajiriwa kwa kocha Mzambia George Lwandamina na kuachana na Mdachi Hans van der Pluijm, mzungu  huyo ametangaza kujiuzulu kazi hiyo.

 

4 years ago

Michuzi

Mh. Chiza akagua bustani ya mboga mboga katika banda la Magereza,Sabasaba

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chiza akiangalia kilimo cha mazao yenye thamani kubwa, mboga aina ya bilinganya alipotembelea shamba la mfano katika Banda la Jeshi la Magereza katika Viwanja vya maonyesho ya Kimataifa ya Biashara, Kilwa Road, Jijini Dar es Salaam, Juzi, kulia kwake ni Afisa Mwandamizi wa Jeshi hilo Bwana Uswege Mwakahesya (Picha kwa Hisania ya WKCU).

 

4 years ago

Michuzi

Wakulima Mbeya Waneemeka na Elimu ya uzalishaji wa Mboga Mboga kutoka TAHA

Mh. Dr. Christine Ishengoma Mkuu wa Mkoa wa Iringa akipokea taarifa kuhusu mfumo wa taarifa za masoko kutoka TAHA unavyofanya kazi zake kutoka kwa Cyrila Antony Afisa wa MasokoMkuu wa mkoa wa Iringa  Mh. Dr. Christine Ishengoma akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa kilimo wa TAHA Bw Ringo kuhusu uzalishaji wa zao la nyanya Elimu ikiendelea kutolewa.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

1 year ago

Bongo5

Barakah The Prince aingia kwenye kilimo cha mboga mboga

Muimbaji wa muziki Barakah The Prince amedai kwa sasa ameamua kuingia kwenye biashara ya kilimo ili kuwa na kipato nje ya muziki.

Akiongea katika cha kipindi cha Twenzetu cha Times Fm, Barakah amedai nje ya muziki ameamua kijikita kwenye kilimo cha mboga mboga.

“Nina shamba Morogoro na Tarime,Tarime nimelima Matikiti maji na Morogoro nimelima Vitunguu ,Kabichi na Mboga Mboga , bado sijaanza kuvuna ni shanba ambalo nimelikodisha kama miezi miwili hadi sasa ,Masanja ndio alinishawishi kuingia...

 

4 years ago

GPL

WAKULIMA MBEYA WANEEMEKA NA ELIMU YA UZALISHAJI WA MBOGA MBOGA KUTOKA TAHA‏

Mh. Dr. Christine Ishengoma Mkuu wa Mkoa wa Iringa akipokea taa rifa kuhusu mfumo wa taarifa za masoko kutoka TAHA…

 

12 months ago

Channelten

Wadudu mtu waharifu wa mboga mboga, Halmashauri ya Geita yaanza kufanya uchunguzi

DUDU MTU

HALMASHAURI ya mji wa Geita imeanza uchunguzi kubaini iwapo wadudu maarufu kwa jina la (mdudu mtu) walioibuka kwenye mboga mboga na matunda wilayani Geita wanamadhara yanayoweza kusababisha vifo kwa binadamu huku ikiwashauri wananchi kuzingatia maandalizi mazuri ya mboga kabla ya kuzitumia.

Ofisa Kilimo na Mifugo wa Halmashauri ya mji wa Geita John Mayunga amesema utafti wa kubaini kama Wadudu hao wana madhara kwa binadamu unafanyika huku akidai wadudu hao ni mzunguko wa ukuaji wa Mdudu...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani