Yanga yabinafsisha kombe bwana

KAMA rekodi zitabaki jinsi zilivyo kabla giza halijaingia leo Jumanne, Yanga itakuwa bingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya tatu mfululizo.

Mwanaspoti

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwanaspoti

THIS IS YANGA BWANA

Manara hutamka hivyo kila Simba inapofanya vizuri, lakini sasa jana Jumanne, Amissi Tambwe, alithibitisha ukweli wa msemo huo kwa kutamka ‘This is Yanga Bwana’ baada ya kuifungia bao timu yake na kuiwezesha kubeba taji la Ligi Kuu Bara kwa nyingine tena.

 

3 years ago

Mwananchi

Yanga bwana, we acha tu

Wakati Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) likisogeza mbele dirisha la usajili, beki mpya wa Yanga, Vincent Bossou, raia wa Togo ametangaza hali ya hatari kwa washambuliaji wa timu pinzani.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Duh! Kumbe Yanga wananunua bwana

SIMBA imeingia kwenye Ligi ya msimu huu na moto mkubwa. Vigogo wa klabu hiyo wamehamasisha wanachama na mashabiki kuchangisha fedha ambazo kila timu ikishinda wachezaji wanapewa chao kabisa ambacho sio chini ya Shilingi milioni tano kwa mechi moja ya ushindi.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Yanga bwana! Yaani imeteleza tu pale Kaitaba

MARA kadhaa Kocha Hans Pluijm wa Yanga na wenzake wa kigeni wamekuwa wakikaririwa wakilalamikia viwanja vya ugenini kule mikoani kuwa vinawatibulia sana kufanya yao, watu wakawapuuza, wakiwaona wanasingizia tu.

 

4 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA TAWI LA CCM NY BWANA SELF AKIDA AENDA KUTOA POLE NYUMBANI KWA BWANA KIBODYA.


Nyumbani kwa Bwana Isaac Kibondya akiongea na watu walioenda kumpa pole nyumbani kwake baada ya kufiwa na mkwe wake, Kifo kimetokea huko Tanzania siku ya Tarehe July, 16. Marehemu ni mzazi wa Mke wa Bwana Kibodya na Kama inakumbukwa wote walikuwa Tanzania kumuona marehemu akiwa anaumwa mwezi uliopita.
Mwenyekiti wa tawi la CCM New York bwana Seif Akida pamoja na Ny Ebra wote kutoka New York wakiwa nyumbani kwa bwana Kibodya Vail, Springfield. MA kutoa pole.
 

3 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI YA KUPAA KWA BWANA KATIKA PAROKIA YA TOLEO LA BWANA JIMBO LA ARUSHA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokea zawadi ya Biblia Takatifu kutoka kwa Padri Kiongozi Peter Pinto  aliposhiriki ibada ya Jumapili ya Kupaa kwa Bwana katika Parokia ya Toleo la Bwana jimbo la Arusha leo Mei 8, 2016. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akishiriki katika  ibada ya Jumapili ya Kupaa kwa Bwana katika Parokia ya Toleo la Bwana jimbo la Arusha leo Mei 8, 2016. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

4 years ago

Mwananchi

Tibaijuka: Bwana alitoa, bwana ametwaa

>Siku moja baada ya kufukuzwa  uwaziri, Mbunge wa Muleba Kusini (CCM),  Profesa Anna Tibaijuka amewasili jimboni kwake na kusema, “Bwana alitoa na Bwana ametwaa.”

 

2 years ago

Bongo5

Alikiba siyo bwana wangu na wala hajawahi kuwa bwana wangu – Queen Darleen

Msanii wa muziki kutoka WCB, Queen Darleen amekanusha uvumi ambao waliwahi kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa alikuwa anatoka kimapenzi na msanii Alikiba.

Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo Kijuso, amesema mara nyingi watu wakiona anakuwa karibu na mtu fulani huwa wanahisi kuwa ni mtu wake.

“Alikiba siyo bwana wangu na wala hajawahi kuwa bwana wangu, ila Alikiba alikuwa mshikaji wangu na zaidi ya mshikaji wangu, yaani ni ndugu kabisaa, hivyo watu waliweza kuona natoka naye...

 

4 years ago

BBCSwahili

Yanga kukabidhiwa kombe

Mabingwa wapya wa Tanzania Bara, Yanga watakamilisha furaha ya ubingwa wao kwa kukabidhiwa “mwali wao” (kombe) .

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani