Yanga yachanja mbuga mapinduzi Cup

Yanga ilifanikiwa kutinga hatua ya robo fainali katika michuano ya Mapinduzi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

BBCSwahili

Yanga yachanja mbuga ubingwa Bara

Yanga imezidi kuchanja mbuga kuelekea katika ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara kwa kuwafunga Mbeya City 3-1.

 

3 years ago

Habarileo

Simba yachanja mbuga

SIMBA jana ilizidi kujichimbia kileleni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuifunga Tanzania Prisons ya Mbeya kwa bao 1-0 katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

5 years ago

Mwananchi

Mbeya City yachanja mbuga

Oliver Albert, Mwananchi

 

3 years ago

BBCSwahili

Kilimanjaro stars yachanja mbuga Cecafa.

Michuanao ya Cecafa Chalenji Cup Imeendelea tena hapo kwa michezo miwili katika hatua ya makundi.

 

2 years ago

Raia Mwema

TIRDO yachanja mbuga uanzishwaji wa viwanda nchini

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utafiti wa Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO) Profesa Madundo Mtambo.

Wiki iliyopita Mary Victor alifanya mahojiano maalumu na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utafiti wa Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO) Profesa Madundo Mtambo na haya ndiyo yaliyojitokeza.

Raia Mwema: Serikali ya awamu ya tano imeamua kujenga viwanda. Ni nini ambacho serikali ina cha kuchota kutoka TIRDO?

Mtambo: La kwanza kabisa ambalo liko wazi ni suala la kampuni ya Dangote kuanza...

 

3 years ago

BBCSwahili

Azam,Yanga sare Mapinduzi Cup.

Timu ya Yanga imetoshana nguvu na Azam FC, kufuatia sare ya bao 1-1 katika Mechi ya Kundi B la michuano ya Mapinduzi Cup 2016

 

3 years ago

BBCSwahili

Yanga-nusu fainali Mapinduzi Cup.

Mabingwa wa Tanzania Bara Timu ya Yanga, imefanikiwa kutinga hatua ya Nusu fainali kufuatia ushindi wa Bao 2-1 dhidi ya Mtibwa

 

2 years ago

MwanaHALISI

Simba, Yanga hapatoshi Mapinduzi Cup

HATIMAYE mahasimu wa wawili katika soka la Tanzania, Simba na Yanga wataminyana kesho katika hatua ya nusu fainali kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar baada ya kukamilika kwa michezo ya hatua ya makundi jana. Simba wanakutana na Yanga baada ya kufanikiwa kumaliza vinara katika kundi A huku nafasi ya pili ikishikwa na ...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Yanga yaanza vyema Mapinduzi CUP

Klabu ya Yanga imeanza vyema kombe la Mapinduzi baada ya kupata ushindi wa magoli 2 kwa 1 dhidi ya Mlandege, mchezo uliofanyika majira ya Saa 2:30 usiku katika Uwanja wa Amani.

Magoli ya Yanga yamefungwa na Juma Mahadhi mnamo dakika ya 6 na 36 huku goli pekee la Mlandege likipachikwa na Omari Makame mnamo dakika ya 47.

 

The post Yanga yaanza vyema Mapinduzi CUP appeared first on Zanzibar24.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani