YANGA YACHEZESHWA MAKHIRIKHIRI..YAKUBALI KIPIGO CHA 2 - 1 MCHEZO NA TOWNSHIP ROLLERS


Klabu ya soka ya Yanga imekubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa timu ya Township Rollers ya Botswana kwenye mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika uliomalizika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam leo jioni Machi 6,2018.

Township Rollers ndiyo walikuwa wa kwanza kuandika bao la kuongoza dakika ya 11 kipindi cha kwanza lililofungwa na Lemponye Tshireletso kabla ya Yanga kusawazisha dakika ya 30 kupitia kwa Obrey Chirwa hivyo hadi mapumziko timu zilitoshana nguvu.
Kipindi cha pili Yanga ilianza...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Michuzi

YANGA FC, TOWNSHIP ROLLERS YA BOTSWANA KUKUTANA

Na Agnes Francis, Blogu ya Jamii. 
MABINGWA watetezi  Tanzania Bara Yanga SC wamefanikiwa kusonga mbele kwenye michuano ya klabu Bingwa Barani Afrika ambapo watakutana na  Township Rollers kutoka nchini Botswana.
Ambapo mchezo huo utapigwa  katika Dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam  kabla ya marudiano huko kwao. 
Hatua hiyo ni baada ya kulazimisha sare  ya bao 1-1 dhiidi ya St Louis  ya  Shelisheli Katika mchezo  wa marudiano uliopigwa katika  dimba la Stade Linite  kisiwani...

 

3 years ago

Channelten

Ligi Kuu Tanzania Bara yaendelea,Simba yakubali Kipigo cha 2 – 1 na Yanga

Screen Shot 2016-02-20 at 6.38.16 PM

Timu ya simba imeshindwa kuwatambia wapinzani wao Yanga baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-0 katika mchezo mgumu uliofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

Mabao yaliyofungwa na washambuliji wa Yanga  Donald Ngoma dakika ya 39 bao la kwanza baada ya makosa ya beki Hassan Kessy kumrudishia pasi fupi kipa Vincent Angban,na  Ngoma akainasa na kufunga hadi kipindi cha kwanza kinamalizika Yanga walikuwa mbele kwa bao hilo moja.

Kuonyeshwa kadi nyekundu kwa beki Abdi Banda kwa...

 

4 years ago

BBC

Township Rollers warn Kaizer Chiefs

Botswanans Township Rollers believe they can knock South Africans Kaizer Chiefs out of the Champions League.

 

11 months ago

Michuzi

VIONGOZI TOWNSHIP ROLLERS YA BOTSWANA WATUA DAR


Na Agness Francis Globu ya jamii 
VIONGOZI wa Timu ya Township Rollers inayotarajia kumenyana na mabingwa wa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC  katika dimba la Uwanja wa Taifa  wameamua kufanya ziara jijini Dar es salaam. 
Wakizungumza leo, viongozi hao ambao ni Motshegetsi Mafa na Sydney Magagane wamesema lengo la kufanya ziara hiyo ni kuandaa mazingira mazuri ya timu yao sehemu itakapofikia kwa ajili ya mchezo huo na mipango mingine.
Kwa siku ya jana walifika hadi maeneo yaliyopo...

 

10 months ago

Michuzi

Ajibu ajitapa kuondoka na ushindi dhidi ya Township Rollers.

Na Agness Francis Globu ya jamii 
Kikosi cha YangaSc  Kilichoelekea Nchini Botswana katika mchezo wa marudiano dhidi ya Township Rollers katika michuano  inayoendelea ya Klabu Bingwa Afrika. 
Mchezo huo wa marudiano unatarajiwa kuchezwa kesho machi 17 mwaka huu huko Nchini Botswana. 
Mchezo uliopita ambao  ulichezwa Jijini Dar es Salaam uwanja wa Taifa wawakilishi wa Tanzania katika michuano hiyo walicharazwa mabao 2-1.
Yanga anakabiriwa na kibarua kigumu  ambapo anatakiwa kushinda magoli zaidi...

 

4 years ago

Vijimambo

CHELSEA FC YAKUBALI KIPIGO CHAKE CHA KWANZA YACHAPWA 2-1 NA NEWCASTLE UNITED

Mshambuliaji wa timu ya Newcastle, Pappis Cisse akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 57 kipindi cha pili dhidi ya Chelsea katika Uwanja wa St James' Park.Pappis Cisse (kushoto) akifungia bao la pili timu yake ya Newcastle dakika ya 79.Wachezaji wa timu ya Newcastle wakishangilia kwa pamoja.Kipa wa Newcastle, Jak Alnwick akiokoa moja ya mashambulizi ya Chelsea.Mshambuliaji wa timu ya Chelsea, Drogba (katikati) akishangilia bao lake dakika ya 83. GPL

 

2 years ago

Bongo5

Simba yakubali kipigo cha goli 2-1 kutoka kwa Tanzania Prisons

Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba na Tanzania Prisons uliochezwa katika Uwanja wa Sokoine Mbeya, umemalizika kwa wekundu hao kukubali kipigo cha goli 2-1 dhidi ya maafande hao.

14938357_10154706795074339_5568749821845445599_n

Timu ya Simba ilianza kupata bao lake katika dakika ya 43 kupitia winga wake Jamal Mnyate akiunganisha krosi nzuri kutoka kwa Shiza Kichuya.

Katika kipindi cha pili dakika ya 48 Prisons walipata bao la kusawazisha kupitia Victor Hangaya baada ya kuunganisha mpira wa krosi ya Kimenya. 

Prisons walipata...

 

3 years ago

MillardAyo

Arsenal yakubali kipigo cha nne msimu huu dhidi ya Southampton,kutana na video ya magoli na pichaz …

Baada ya michezo tisa ya Ligi Kuu Uingereza kupigwa Jumamosi ya December 26 siku ya Boxing Day, ulibakia mchezo mmoja ambao ulikuwa unachezwa usiku wa December 26. Mchezo ambao ulikuwa unachezwa usiku wa December 26 ni mechi kati ya Southampton dhidi ya Arsenal katika dimba la St Mary’s lenye uwezo wa kubeba zaidi ya mashabiki […]

The post Arsenal yakubali kipigo cha nne msimu huu dhidi ya Southampton,kutana na video ya magoli na pichaz … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

4 years ago

Vijimambo

TANZANIA BARA YAKUBALI KIPIGO CHA GOLI 7-1 KUTOKA ZANZIBAR HEROES WADAI WAMEFUNGWA KUIMARISHA MUUNGANO

Mgeni rasmi Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na refa Mohammed kutoka Misri alipokua mgeni rasmi kwenye mechi ya Muungano kati Zanzibar Heroes walipoiadhibu timu ya Bara kwa bao 7-1 mechi iliyochezewa Capitol Heights, Maryland siku ya Jumamosi April 25, 2015 katika kuadhimisha miaka 51 ya sherehe ya Muungano zilizodhaminiwa na PBZRais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na nahodha wa timu ya Zanzibar Heroes Dedi Luba.Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na nahodha wa timu...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani