- 1 HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRILI 22,2017
- 2 Mke Wa Chameleon Adai Talaka Mahakamani
- 3 MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRIL 22,2017
SIKU KAMA YA LEO
Apr 22, 2017POPULAR ON YOUTUBE
Yanga yaifunika Simba Zanzibar

Wachezaji wa Yanga. Na Wilbert Molandi, Unguja KLABU ya Yanga imeendeleza rekodi nzuri ya mapato ya mechi kisiwani Zanzibar ambapo imeizidi Simba ambayo nayo ipo Zanzibar kwa ajili ya kambi ya kujiandaa na msimu mpya utakaoanza mwezi ujao. Yanga ilifanikiwa kuingiza shilingi milioni 8.9 katika mchezo wake wa kirafiki dhidi ya KMKM, juzi Jumatano kwenye Uwanja wa Amaan, Unguja. Upande wa Simba ambao ni wapinzani wakuu wa Yanga, waliingiza shilingi milioni nne katika…
GPL
Habari Zinazoendana
4 years ago
Tanzania Daima07 May
Yanga yaifunika Simba
WAKATI Bodi ya Ligi Kuu ya Vodacom (TPLB), ikitangaza tathimini ya msimu wa ligi iliyomalizika Aprili 19, Yanga imewafunika watani zao Simba kwa mapato. Kwa mujibu wa Ofisa Mtendaji wa...
1 year ago
Mwananchi25 Feb
Simba yaifunika Yanga nje ya uwanja
1 year ago
Mwananchi26 Feb
Simba SC yaifunika Yanga nje ya uwanja
1 year ago
Habarileo10 Jan
Simba na Yanga hukumu Zanzibar
SIMBA na Yanga leo zinakutana kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa mwaka huu, safari hii zikikutana nje ya Uwanja wa Taifa na si kwenye mechi ya Ligi Kuu bara bali Kombe la Mapinduzi.
1 year ago
Mwananchi11 Jan
Simba yaizima Yanga Zanzibar
3 years ago
Mtanzania07 Sep
Yanga yagoma kuifuata Simba Zanzibar
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
TIMU ya soka ya Yanga ni kama inawakwepa watani wao wa jadi Simba, baada ya kuachana na mpango wake wa kuweka kambi visiwani Zanzibar kujiandaa na michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara itakayoanza Jumamosi hii.
Awali mabingwa hao wa Ligi Kuu walipanga kuifuata Simba Zanzibar, lakini ghafla wamebadili msimamo wao na kuamua kubaki jijini Dar es Salaam kwa madai huenda wakapata tabu ya uwanja wa kufanyia mazoezi wakiwa Zanzibar.
Katibu Mkuu wa Yanga, Jonas Tiboroha,...
1 year ago
Michuzi
USIRI WATAWALA YANGA NA SIMBA, KUVAANA LEO USIKU UWANJA WA AMAAN, ZANZIBAr

Na Zainab Nyamka,
Globu ya Jamii, ZanzibarIKIWA imebakia masaa machache kufikia mtanange wa watani wa jadi kuelekea nusu fainali ya kombe Mapinduzi, viongozi wa timu hizo mbili wamegoma kuzungumza na vyombo vya habari na zaidi wakisema mpira ni dakika 90.Wakati Simba wakiingia msituni wakitoka pale walipokuwa wanakaa toka kuanza kwa mashindano haya, Yanga wameendelea kusalia pale pale huku wakiwaficha wachezaji wao na kuamua kufanya mazoezi usiku kwenye Uwanja wa Amani.Mashabiki wa pande...
1 year ago
MichuziSIMBA WAENDA KUWEKA KAMBI ZANZIBAR TAYARI KWA KUWAKABILI WATANI WAO YANGA FEB 25
Wachezaji wa Simba wakiwa wanasubiri kukaguliwa tiketi getini...