YANGA YAPANIA KUBAKI NA KOMBE LA KAGAME

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

GPL

YANGA YAJIWINDA NA KOMBE LA KAGAME

Kocha Hans van Pluijm (mwenye kofia) akiwapa maelekezo wachezaji wake. Kocha Msaidizi, Charles Boniface Mkwasa, akitoa maelekezo kwa wachezaji.
Mchezaji mpya wa Yanga, Lansana…

 

4 years ago

Michuzi

KOMBE LA KAGAME: YANGA YAIFUNGA KMKM 2-0

 Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akimtoka beki wa KMKM, Khamis Ali Khamis wakati wa mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 2-0. Deus Kaseke akiwatoka wachezaji wa KMKM. Golikipa wa timu ya KMKM ya Zanzibar, Nassor Abdulla Nassor akiokoa moja ya hatari langoni mwake wakati timu yake ilipopambana na Yanga katika mchezo wa Kombe la Kagame.Donald Ngoma (kulia) akiwania na beki wa KMKM, Khamis Ali Khamis.Mashabiki wa Yanga...

 

4 years ago

Mwananchi

Yanga yaisaka rekodi ya Simba kombe la Kagame

Yanga itashiriki kwenye Mashindano ya Kombe la Klabu Bingwa Afrika Mashariki (Kagame Cup) yatakayofanyika hapa nchini kuanzia mwezi Julai baada ya Tanzania kupewa uenyeji wa mashindano hayo.

 

4 years ago

Vijimambo

Kazi ya kuliwinda kombe la Kagame yaanza YangaMABINGWA wa kandanda Tanzania bara, Young Africans kesho wanatarajia kuanza maandalizi ya ligi kuu msimu ujao pamoja na kombe la Kagame linalotarajia kuanza kutimua vumbi jijini Dar es salaam Julai 11 mwaka huu.Katibu mkuu wa Yanga, Dr. Jonas Tiboroha amesema mazoezi hayo yatakuwa yanafanyika uwanja wa Karume, Ilala, Dar es salaam chini ya kocha mkuu, Mholanzi, Hans van der Pluijm aliyetua Dar usiku wa kuamkia leo akitokea kwake nchini Ghana.
“Kazi imeanza, kesho asubuhi mazoezi ya kwanza...

 

5 years ago

Mwananchi

Yanga yaendeleza 'siasa' mashindano ya Kombe la Kagame

Uongozi wa Yanga umetaja sababu nane zilizowafanya kutaka kupelekea kikosi chenye idadi kubwa ya wachezaji wa timu yao ya vijana (Yanga B) katika mashindano ya Kombe la Kagame yanayoanza kesho mjini Kigali, Rwanda.

 

11 months ago

Zanzibar 24

Yanga kuchuana na Simba FC kombe la Kagame Cup

Klabu mbili mahasimu kutoka Tanzania, Simba na Yanga zimepangwa kundi moja kwenye michuano ya Kombe la Kagame inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Juni 28 hadi Julai 13, 2018 .

Timu hizo zimepangwa kundi C ambapo zimeungana na klabu nyingine za St. George kutoka Ethiopia na Dakadaha Somalia.

Makundi hayo ya michuano ya Kagame Cup yametangazwa leo na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na makundi mengine ni kama ifuatavyo hapa chini.

Michuano hiyo kwa mwaka huu inafanyika hapa nchini na...

 

3 years ago

Habarileo

Kombe la Kagame kufanyika Z’bar

CHAMA cha soka Zanzibar (ZFA ) kimethibitisha kuwa Zanzibar itakuwa mwenyeji wa mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati ‘Kombe la Kagame’ Julai mwakani.

 

4 years ago

Mwananchi

KOMBE LA KAGAME: Lazima tuwanyooshe

>Ni vita leo. Ndivyo unavyoweza kusema pale zinapokutana Yanga na Azam katika mchezo wa robo fainali ya mashindano ya Kagame kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

3 years ago

Habarileo

Twite akata tamaa kubaki Yanga

MCHEZAJI wa Yanga, Mbuyu Twite, amesema kukaa benchi kumepoteza matumaini ya kuwepo kwenye kikosi cha Yanga cha msimu ujao.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani