YANGA YAPIGWA FAINI YA LAKI 5 MASHABIKI WAKE KURUSHA UWANJANI CHUPA ZINAZODAIWA KUWA NA MIKOJO

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara imeipiga faini ya sh. 500,000 (laki tano) mabingwa watetezi klabu ya Yanga baada ya kitendo cha mashabiki wake kurusha uwanjani chupa zinazosadikiwa kuwa na mikojo katika mchezo wao dhidi ya watani zao wa jadi Simba SC.
Kamati hiyo imeikuta klabu ya Yanga na hatia baada ya kupitia ripoti za michezo yote ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL).
Yanga SC inakabiliwa na adhabu hiyo kwa mujibu wa kanuni ya 42(1) kuhusu...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Taifa ya Jang’ombe yapigwa faini ya laki mbili kutokana na fujo za Mashabiki wake

Timu ya Taifa ya Jang’ombe (Wakombozi wa Ng’ambo) imepigwa faini ya Shilingi laki mbili kwa utovu wa nidhamu ambao umefanywa na Mashabiki wake ambao wamerusha chupa za maji na kusababisha mpira kusimama kwa dakika 10 kwenye mchezo wa jana wa ligi kuu soka ya Zanzibar Kanda ya Unguja uliopigwa katika Uwanja wa Amaan ambapo Taifa alifungwa bao 1-0.

Faini hiyo inatakiwa kulipwa si zaidi ya tarehe  4/5/2017 ambapo Maamuzi hayo yameamuliwa na kamati Tendaji ya ZFA Unguja iliyokutana asubuhi ya...

 

2 years ago

Mwananchi

Mashabiki 40,000 kuwaona Yanga, Mazembe uwanjani

Mashabiki 40,000 wakiwamo 500 wa TP Mazembe watashuhudia mchezo leo wa Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Yanga na TP Mazembe kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.

 

2 years ago

Bongo Movies

Picha:Mechi ya TP Mazembe na Yanga,Mashabiki Walivyofulika Uwanjani

Mechi ya kombe la Shirikisho kati ya timu za Yanga na TP Mazembe imekuwa ya aina yake na kuingia kwenye historia baada ya mashabiki kuingia uwanjani asubuhi na uwanja huo kujaa saa tano asubuhi na mageti kufunga, mechi hiyo itapigwa saa kumi jioni.

yanga566 yanga56 yanga678

 

2 years ago

Bongo5

Picha: Mashabiki wa Yanga wafika uwanjani alfajiri wakisubiri kuingia Uwanja wa Taifa

Klabu ya Yanga leo June 28 inaingia uwanjani katika mechi ya kombe la Shirikisho inawaalika klabu ya TP Mazembe kutoka DR Congo mchezo ambao utachezwa uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.

Mechi hiyo ambayo haina kiingilio ni bure tu kuingia uwanjani leo asubuhi mashabiki wanaoaminika kuwa ni wa Young Africans tayari wamejitokeza kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam wakisubiri muda wa kufunguliwa milango.

Mashabiki hao wapo tangu alfajiri wakisubiri kupewa utaratibu wa kuingia...

 

2 years ago

Michuzi

SIMBA, YANGA ZATOSHANA NGUVU TAIFA LEO, MASHABIKI WANG'OA VITI UWANJANI

 HAKUNA mbabe, ule mtanange uliokuwa unasuburiwa kwa hamu kubwa uliohusisha mahasimu wawili Yanga na Simba umemalizika jioni ya leo kwa timu hizo kutoka sare ya 1-1.
Katika mchezo huo uliokuwa na presha kubwa kwa kila upande, Yanga walifanikiwa kupata goli dakika ya 26, baada ya Amisi Tambwe kumzidi mbinu beki Novat Lufungo wa Simba na kuandika goli la kuongoza huku nahodha Jonas Mkude akipewa kadi nyekundu baada ya kumpiga mwamuzi kwa kudai kuwa Tambwe aliushika mpira kwa mkono.
Mpira...

 

2 years ago

MillardAyo

Baada ya Wenger kupata taarifa kuwa mashabiki wa Arsenal hawatokuja uwanjani leo April 21 2016

Arsenal-fans-protest

April 21 2016 hii inaweza ikawa siku ambayo kocha wa klabu ya Arsenal ya Uingereza Arsene Wenger hatoisahau kama kweli itatokea kama ambavyo inaripotiwa na mitandao, kuwa mashabiki wa Arsenal wamepanga kutokwenda uwanjani leo April 21 2016 katika mchezo kati ya Arsenal dhidi ya West Brom ili kushinikiza Wenger aondoke. Baada ya stori hizo kuenea mitandaoni […]

The post Baada ya Wenger kupata taarifa kuwa mashabiki wa Arsenal hawatokuja uwanjani leo April 21 2016 appeared first on...

 

2 years ago

StarTV

Chupa laki nne na nusu za damu salama zahitajika nchini

DAMU

Mpango wa Taifa wa damu salama nchini umesema bado kuna upungufu mkubwa wa damu kutokana na uchangiaji mdogo kutoka kwa wananchi ambao huchangia chupa 150,000 pekee kwa mwaka huku mahitaji yakiwa ni chupa 450,000.

Hatua hiyo inasababishwa na wananchi kutokuwa na wito wa kujitoa kuchangia damu hali inayosababisha upatikanaji wa chupa hizo zisizokidhi mahitaji ya watanzania

Zaidi ya wafanyakazi 50 wa benki ya Posta wamechangia damu.

 

2 years ago

Habarileo

Yanga yawatuliza mashabiki wake

KLABU ya Yanga imesema hakuna kulala wanaendelea na mapambano kuhakikisha wanaendelea kufanya vizuri katika mechi za mzunguko wa pili zitakazoanza mwishoni mwa wiki hii.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani