Yanga Yasonga Mbele Michuano ya CAF

YANGA (3)

Donald Ngoma akimtoka mchezaji wa Sagrada Esperanca.

YANGA (4) YANGA (5)

Kipa wa Yanga, Dida akiokoa hatari langoni mwake.

YANGA (6) YANGA (7)

Amissi Tambwe akiwania mpira na mchezaji wa Sagrada Esperanca.

YANGA (8) YANGA (9)

Sagrada Esperanca wakishangilia bao lao dakika ya 25.

YANGA (10)

Mbuyu Twite kazini.

YANGA (11)

Donald Ngoma (juu) akijaribu kuwatoka wachezaji wa Sagrada Esperanca.

YANGA (12)

YANGA (2)

Kikosi cha Sagrada Esperanca.

YANGA (1)

Mashabiki wa Sagrada Esperanca.

YANGA imesonga mbele kwenye hatua ya makundi katika michuano ya CAF mbali na kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

Yanga SC yasonga mbele CAF

Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania Bara wamefanikiwa kusonga mbele katika mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kwa jumla ya mabao 3-2, licha ya kulala ugenini kwa mabao 2-1 dhidi ya BDF ya Botswana.

 

3 years ago

BBCSwahili

Yanga yasonga mbele michuano ya Afrika

Young Africans ya Tanzania imesonga mbele michuano ya Kombe la Shirikisho kwa kuibwaga BDF ya Botswana magoli 3-2

 

3 years ago

Vijimambo

YANGA YASONGA MBELE HATUA YA 16 YAFUNGWA GOLI 1 NA PLATNUM

Timu ya Yanga imeweza kuvuka hatua ya 16 bora michuano ya kombe la shirikisho baada ya kufungwa goli 1-0 na timu ya Platnum ya Zimbabwe katika mechi ya marudiano iliyochezewa katika uwanja wa Zvishavane nchini Zimbabwe.

Mechi ya kwanza ya timu hizo iliyochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, timu ya Yanga ilishinda bao 5-1 dhidi ya timu hiyo ya Zimbabwe na kufanya timu ya Yanga kuibuka mshindi wa jumla ya mabao 5-2 dhidi ya Platnum,

Mchezaji Walter Msoma wa Platnum ndiye aliyeifungia...

 

2 years ago

Michuzi

YANGA YASONGA MBELE MASHINDANO YA KLABU BINGWA AFRIKA, YATOKA SARE NA APR

 Beki wa Timu ya Yanga, Haji Mwinyi akimtoka Mchezaji wa timu ya APR ya nchini Rwanda, katika Mchezo wa marudiani wa Klabu Bingwa barani Afrika, uliopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam. Mchezo huo umemalizika kwa timu zote kufungana bao 1-1, na kuifanya timu ya Yanga kuendelea na mbio za mashindano hayo, huku timu ya APR ikiyaaga baada ya   kukubali kipigo cha bao 2-1 katika mchezo wa awali uliopigwa nchini Rwanda.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI - MMG Kiungo wa Timu...

 

3 years ago

Vijimambo

YANGA YASONGA MBELE KWA USHINDI MWEMBAMBA SASA KUKUTANA NA AZAM JUMATATO PATACHIMBIKAJE


Mshambuliaji wa Yanga Amis Tambwe (katikati) akishangilia goli lake kwa kuwapungia mkono mashabiki
Mabingwa wa Tanzania bara Young Africans ‘Yanga’, leo wameibuka na ushindi mwembamba wa goli 1-0 mbele ya Khartoum Nalitonal Club katika mwendelezo wa michuano ya Kagame Cup mechi iliyopigwa leo jioni kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Salaam.
Mchezo ulianza kwa kasi lakini Khartoum walionekana kuwamudu vyema Yanga dakika za mwanzoni na walifanikiwa kutengeneza nafasi kadhaa lakini hawakuweza...

 

3 years ago

BBCSwahili

Azam, Yanga, kuelekea michuano ya CAF

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania ,limezitakia kheri na ushindi timu za Azam na Young Africans katika michezo yao ya marudiano.

 

2 years ago

Bongo5

Yanga yatinga hatua ya makundi Afrika michuano ya CAF

Klabu ya Yanga jana ilifungwa bao 1-0 na wenyeji Sagrada Esperanca katika mchezo wa marudiano wa mchujo wa kuwania hatua ya kufuzu kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika katika uwanja wa Esperanca mjini Dundo, Angola.

msuva saafi

Lakini Yanga wamefuzu hatua ya makundi kwa ushindi wa jumla wa 2-1, baada ya awali kushinda 2-0 Dar es Salaam, mabao ya Simon Msuva na Matheo Anthony.

Yanga inatinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho michuano ya CAF kwa mara ya pili tangu...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani