YANGA YATAJA KIKOSI KITAKACHOANZA DHIDI YA SINGIDA UNITED LEO

Zainab Nyamka, Globu ya jamii
KIKOSI cha Young Africans kitakachoanza dhidi ya Singida United katika mechi ya Ligi Kuu Bara inayochezewa leo Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mlinda mlango ni  Youthe Rostand, namba mbili ni Hassan Kessy, namba tatu Haji Mwinyi, namba 4 Abdallah Shaibu, namba 5 Kelvin Yondani, namba 6 Papy Tshishimbi wakati namba 7 ni  Yusuph Mhilu.
Namba 8 atacheza Raphael Daudi, namba 9 Obrey Chirwa, namba 10 Pius  Buswita na namba 11 ni Ibrahim Ajibu

Wakati kikosi cha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Hiki ndicho kikosi cha Yanga kitakachoanza kwenye mechi yake ya leo dhidi ya Madeama SC

Timu ya Yanga imekitaja kikosi chake kitakachoanza leo kwenye mechi yake dhidi ya wenyeji wao Madeama SC ya Ghana kwenye hatua ya makundi ya kombe la shirikisho.

yanga-vs-medeama_1jbj2prvw2n814jyxmrvr5964

Julai 16 mwaka huu timu hizo zilikutana kwenye uwanja wa taifa, Dar es Salaam walitoka sare ya kufungana bao moja kwa moja.

Timu ya Yanga inatakiwa ishinde kwenye mechi hiyo ili ijiweke kwenye mazingira mazuri ya kuwania nafasi mbili za kufuzu kwenye kundi lake ikiwa kwa sasa inaburuza mkia ikiwa na pointi moja na Tp Mazembe ndiyo...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Kikosi cha Simba kitakachoanza Leo dhidi ya Mtibwa Sugar.

Kikosi cha Simba leo kinacheza mchezo wa 19 katika ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Mtibwa Sugar.

The post Kikosi cha Simba kitakachoanza Leo dhidi ya Mtibwa Sugar. appeared first on Zanzibar24.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Kikosi cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Majimaji Fc ligikuu

Kikosi cha Simba Leo kinacheza mchezo wake wa 21 kwenye ligi kuu dhidi ya Majimaji Fc mkoani Ruvuma .

 

The post Kikosi cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Majimaji Fc ligikuu appeared first on Zanzibar24.

 

3 years ago

Global Publishers

Simba kesho itashusha kikosi kamili dhidi ya Singida United

Simba-Day-559x520
SIMBA haitaki mchezo kwani kesho Jumapili itashusha kikosi kamili kupambana na Singida United katika mchezo wa Kombe la FA kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Simba itaingia uwanjani na kumbukumbu ya kufungwa mabao 2-0 na Yanga wikiendi iliyopita kwenye uwanja huo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara.

SIMBA-5.jpg
Kocha wa Simba, Jackson Mayanja, ameliambia Championi Jumamosi kuwa katika mechi hiyo hatafanya masihara na atahakikisha anatumia silaha zake zote ili kupata ushindi.
“Sitaki aibu kwani...

 

11 months ago

Michuzi

YANGA TENA UGENINI DHIDI YA SINGIDA UNITED KOMBE LA FA


Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
Droo ya upangaji wa ratiba ya michezo ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam sports Federation Cup (ASFC) imefanyika mapema mda huu na kila timu kumfahamu mpinzani wake.
Droo hiyo iliyokuwa inachezwa moja kwa moja na kituo cha Azam Tv imekamilika kwa Singida United kuwa mwenyeji wa Yanga katika uwanja wa Namfua Mkoani Singida.
Michezo mingine ni Tanzania Prisons wakiwakaribisha JKT Tanzania kwenye Uwanja wa Sokoine Mkoani Mbeya huku Azam wakiwa wenyeji...

 

2 years ago

BBCSwahili

Harambee stars yataja kikosi dhidi ya Angola

Kenya inashikilia nafasi ya 78 kwneye orodha mpya iliyotolewa na shirikisho la soka duniani FIFA

 

2 years ago

Global Publishers

Kikosi cha Yanga Dhidi ya Madeama leo Ghana

kikosi yanga

Mechi ya Yanga  dhidi ya Madeama ni leo Jumanne, saa 12:00 jioni, jiji la Takoradi, Ghana.

 

3 years ago

Michuzi

KOCHA MKUU WA YANGA ASEMA ANAIMANI NA KIKOSI CHAKE CHA LEO DHIDI YA MO BEJAIA

Na Zainab Nyamka,Globu ya Jamii
KOCHA mkuu wa Yanga, Hans Van De Pluijm amesema kuwa ana imani na kikosi chake kuwa kitacheza vizuri kwani ameweza kukaa nao kwa siku kadhaa na amewapa mbinu mbalimbali hasa wanapokuwa wapo ugenini na zaidi amewataka kutokufuata mchezo wa wapinzani wao.
Pluijm amesema hayo kupitia kwenye mtandao wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) na kusema wameenda nchini Algeria kwa ushindi ila hawatataka kupoteza mchezo huo zaidi ushindi ndio wanachokitaka au kupata...

 

2 years ago

BBCSwahili

Rooney nje ya kikosi cha Man United dhidi ya Feyenoord

Wengine ambao wameachwa nje ni pamoja na Luke Shaw, Antonio Valencia na Jesse Lingard

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani