Yanga yataja silaha

KOCHA Mkuu wa Yanga,  Hans-van-der-Pluijm amesema silaha kubwa ya kuwaangamiza Stand United katika mchezo wa kesho ni kucheza kwa kujiamini, kujituma kwa umakini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Habarileo

Yanga yataja silaha zake za maangamizi

BAADA ya Yanga kupata ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya maafande wa JKT Ruvu mwishoni mwa wiki, Kocha Mkuu, Hans Pluijm ameweka hadharani mbinu zitakazowamaliza wenyeji wao Cercle de Joachim ya Mauritius katika mchezo ujao wa kimataifa.

 

2 years ago

MillardAyo

AyoTVMAGAZETI: CHADEMA yataja silaha yake, Kilango asimulia simu ya uteuzi wa Magufuli

Kila siku asubuhi ungana na Alice Tupa wa AyoTV ili akusomee habari zote kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania ambapo yuko tayari pia kukusomea ya leo January 23 2017 ukibonyeza play kwenye hii video hapa chini. ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV JANUARY 22 2017? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana […]

The post AyoTVMAGAZETI: CHADEMA yataja silaha yake, Kilango asimulia simu ya uteuzi wa Magufuli appeared first on...

 

1 year ago

Mwanaspoti

Azam yataja kiboko ya Yanga

KOCHA msaidizi wa Azam FC, Idd Cheche, amesema hawana wasiwasi kukosekana kwa John Bocco kwenye mechi yao ya kesho Jumamosi kwamba wana  kikosi  kipana. Anasema katika nafasi yake kuna wachezaji watatu wanaoweza kuziba pengo.

 

5 months ago

Michuzi

YANGA YATAJA KIKOSI KITAKACHOANZA DHIDI YA SINGIDA UNITED LEO

Zainab Nyamka, Globu ya jamii
KIKOSI cha Young Africans kitakachoanza dhidi ya Singida United katika mechi ya Ligi Kuu Bara inayochezewa leo Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mlinda mlango ni  Youthe Rostand, namba mbili ni Hassan Kessy, namba tatu Haji Mwinyi, namba 4 Abdallah Shaibu, namba 5 Kelvin Yondani, namba 6 Papy Tshishimbi wakati namba 7 ni  Yusuph Mhilu.
Namba 8 atacheza Raphael Daudi, namba 9 Obrey Chirwa, namba 10 Pius  Buswita na namba 11 ni Ibrahim Ajibu

Wakati kikosi cha...

 

8 months ago

Michuzi

CAF YATAJA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA MECHI YA YANGA NA SAINT LOUIS FC LIGI YA MABINGWA

Shirikisho la Mpira wa miguu Barani Africa CAF limetaja waamuzi watakaochezesha mchezo wa kwanza na mchezo wa pili wa Ligi ya mabingwa Africa kati ya Yanga ya Tanzania dhidi ya Saint Louis FC ya Seychelles.
Mchezo wa kwanza utachezwa Februari 10, 2018 uwanja wa Taifa na utachezeshwa na waamuzi kutoka Ethiopia na Kamishna wa mchezo akitokea nchini Namibia.
Mwamuzi wa kati atakuwa Belay Tadesse Asserese akisaidiwa na mwamuzi msaidizi namba moja Tigle Gizaw Belachew na mwamuzi msaidizi namba...

 

3 years ago

Mwananchi

Silaha mpya zatua Yanga

Yanga imezidi kujiimarisha kwa msimu ujao wa ligi na mashindano ya kimataifa baada ya kuwasajili wachezaji wapya watatu.

 

2 years ago

Mwananchi

Yanga kutumia silaha ya mwisho

Kwa wawindaji wa zamani, wanafahamu vyema umuhimu wa mshale wa mwisho. Umuhimu huo ni kuutumia ili kummaliza kabisa adui yako.

 

3 years ago

Mwananchi

Kerr aandaa silaha zote kuiua Yanga

Kocha mkuu wa Simba, Dylan Kerr anacheza na nyakati na ni mjanja kweli kweli.

 

3 years ago

Michuzi

WAMILIKI WA SILAHA WATAKIWA KUHAKIKI SILAHA ZAO KWA WAKATI

Kamanda Liberatus Sabas, alipokuwa akifunga Kampeni za ABIRIA PAZA SAUTI, Jijini Arusha,
 Na Vero Ignatus wa Wazalendo 25 Blog, Arusha.
Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limewataka watu wote wanaomiliki silaha kwa njia halali wafike kwenye kituo cha polisi kuhakiki silaha zao na kuzilipia kama inavyostahili na kwa kufuata utaratibu kama sheria inavyoagiza.  Hayo yamesemwa na Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Liberatus Sabas, na kufafanua kwamba kila mwaka huwa kila mwenye silaha ...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani