Yanga yazidi kuikaribia Simba, bado tatu

YANGA imerudi nafasi ya pili baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hiyo ni kutokana na kufikisha pointi 43 baada ya kucheza mechi 20, sasa ikizidiwa pointi tatu tu na vinara, Simba SC. Katika mchezo huo uliochezeshwa na ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwanaspoti

Simba yazidi kuikacha Yanga

BAADA ya kupata ushindi mnono wa mabao 6-2 dhidi ya Kagera Sugar, Yanga ilipanda hadi nafasi ya pili na mashabiki wake kuamini bado kidogo iwakamate watani zao Simba waliopo kileleni mwa Ligi Kuu Bara.

 

2 years ago

Dewji Blog

Kichuya aimaliza Yanga, Simba yazidi kupaa kileleni katika msimamo wa VPL

Kama kuna majina ambayo yanatamkwa zaidi kwa sasa na mashabiki wa soka basi huwezi kuacha kulitaja jina la Shiza Kichuya ambaye anakipiga Simba Sports Club ya Dar es Salaam.

Jina la Kichuya limechukua nafasi na kuwa gumzo mjini kufuatia uwezo ambao ameonyesha katika mchezo wa wapinzani wa jadi, Simba na Yanga mara baada ya kutokea benchi na kuisaidia timu yake kusawazisha goli kisha yeye mwenyewe kufunga goli la pili na la ushindi.

Kichuya aliingia kipindi cha pili akichukua nafasi ya...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Simba imefunika, Yanga bado

DIRISHA la usajili kwa Tanzania Bara limefunguliwa jana Alhamisi, klabu za Ligi Kuu, Ligi Daraja la Kwanza na Daraja la Pili, sasa zinaruhusiwa kufanya usajili wa wachezaji kwa kadiri zinavy oona inafaa. Cha muh imu vigezo na mash arti vizing atiwe.

 

2 years ago

Mwananchi

Yanga yarudi Shamba la Bibi, Simba bado

Licha ya Yanga kuomba kutumia Uwanja wa Amaan Zanzibar kwa mechi za Ligi Kuu Bara, Bodi ya Ligi (TPL-Board), imeirudisha kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam ambako itaanza kuutumia kwenye mchezo wao wa Jumatano dhidi ya Mtibwa Sugar.

 

3 years ago

Habarileo

Yanga kila siku kwao sherehe, Simba bado

YANGA jana ilizidi kuchanja mbuga kuelekea kutetea taji lake la Ligi Kuu baada ya jana kuifunga Mbeya City mabao 3-0. Ushindi huo umeifanya Yanga ifikishe pointi 33 kwenye msimamo ikiwa kileleni.

 

2 years ago

Mwanaspoti

NINACHOKIAMINI : Simba, Yanga, Azam bado safari ndefu kimataifa

WATANZANIA wanajua kila kitu, wanaweza kujadili kila kitu. Wanazungumza sana kuliko kutenda, wanaamini wanajua, lakini katika vitendo huwezi kuwaona, hubaki nyuma wakishangaa.

 

2 years ago

Michuzi

MTANANGE WA YANGA NA SIMBA NGOMA BADO NGUMU MPAKA SASA

Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima akiwania mpira wa mshambuliaji wa Yanga Donald ngoma katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Ngao ya Jamii unaoendelea hivi Uwanja wa Taifa.Kiungo wa Yanga Rafael Daud akimruka beki wa Simba Method Mwanjali katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Ngao ya Jamii unaoendelea hivi sasa Uwanja wa TaifaBeki wa kati wa Yanga Kelvin Yondani na mshabuliaji wa Simba Laudit Mavugo wakigombania mpira katika mchezo wa ufunguzi wa ligi wa Ngao ya Jamii unaoendelea hivi sasa Uwanja wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani