Young Dee afunguka tuhuma za kumtelekeza mtoto ‘Mtoto ni wangu nimempokea’

Msanii wa muziki wa hop hop, Young Dee amefunguka na kuweka mambo sawa kuhusu tuhuma ambazo zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa amemtelekeza mtoto.
dee

Uvumi huo ulikuwa zaidi baada ya rapa huyo kuhojiwa katika kipindi cha U-Heard cha Clouds FM juu ya tuhuma hizo na yeye kudai kuwa hamtambui mwanamke huyo ambaye anadai amezaa naye.

Baada ya kuona mambo yanaenda mbali zaidi, Young Dee alikaa na uongozi wake na kuamua kutoa taarifa hii..

Nawashukuru sana watu wote ambao wamekuwa waki-support...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo Movies

VIDEO:Young Dee: Sijatelekeza Mtoto Wangu

Msanii Young Dee a.k.a Pakarasta amesema yeye hawezi kulea mtoto wake na wala hajui ulezi na ndiyo maana mtoto wake amempeleka kwa mama yake ili aweze kupata malezi mazuri na misingi ya kiimani zaidi.

Young Dee a.k.a Pakarasta

Young Dee amebainisha hayo baada ya kuenea kwa taarifa mbalimbali kutoka katika mitandaoni ya kijamii ambazo zilikuwa zikidai msanii huyo amemtelekeza mtoto wake pamoja na mzazi mwenzake.

“Mimi sijui kulea, sijui ulezi..Mimi mwenyewe nimelelewa.. No mimi mtoto wangu...

 

2 years ago

Bongo5

Amber Lulu ajifunga kwa mtoto wa Young Dee

Huenda mtoto wa Young Dee, Tammy akawa amewarudisha tena karibu Young Dee na Amber Lulu. Wawili hawa waliwahi kuwa wapenzi lakini kwa mujibu wa mwanamitindo huyo alipoongea na U-Heard ya Clouds FM alionyesha kuwa tayari wameachana na rapper huyo.

Lakini kutokana na ujumbe aliouandika model huyo kwenye picha aliyoiweka kwenye mtandao wa instagram unaonyesha kuwa sasa kila kitu kipo sawa kati yao na ameahidi kumlea mtoto wa Dee kwa mapenzi yote.

“Tammy wetu 😍😍💪💪💪💪 Nakulea mwenywe mom nakupromise...

 

2 years ago

Bongo Movies

VIDEO : Young Dee Amkana Mama wa Mtoto Wake

Msanii Young Dee a.k.a Pakarasta amemkana mzazi mwenzake Mamisa na kusema hakuwahi kuwa na mahusiano naye ya kimapenzi japo kuwa wamepata mtoto kama baraka tu kwake.

Young Dee amesema hayo kupitia kipindi cha 5 Selekt cha EATV na kudai kitendo kilichotokea hakikuwa katika mipango yake hivyo sasa hivi kila mmoja ana maisha yake.

“Am single and am busy’, sina mahusiano, ni kitu ambacho naweza kusema kibinadamu kinatokea kama baraka tu kwa sababu hakuwahi kuwa mpenzi wangu na imebaki kama...

 

4 years ago

Vijimambo

LADY JAY DEE AFUNGUKA KUHUSU KUWA NA MTOTO!

Jide akiwa na Mokonyo (mtoto wa mdogo wake Dabo)Lady Jaydee ameendelea kujibu maswali ya mashabiki wake kupitia Instagram, na maswali mengine aliyokutana nayo ni kuhusu kama ana mtoto au ameasili mtoto ambaye huonekana kwenye kipindi chake cha ‘Diary Ya LadyJaydee’ kinachorushwa kupitia EATV. “SWALI: Una watoto wangapi?JIBU : Sina mtoto wala watoto 
SWALI:Utazaa lini?JIBU : Sijajua mpk sasa nitazaa lini, ila siku yoyote ile ikitokea naweza kuzaa 
SWALI: Kwanini huna mtoto /watoto?JIBU : Sina...

 

2 years ago

Bongo5

Young Dee: Baada ya kupata mtoto nimejisikia furaha ambayo sijawahi kuwa nayo (Audio)

Rapper Young Dee amesema kupata mtoto kumempa furaha ambayo hawajawahi kuwa nayo katika maisha yake.

Akiongea kwa hisia kali na Bongo5, Young amesema:

Kwa mara ya kwanza nimejisikia tofauti sana baada ya kumbeba tu mwanangu. Yaani nimejisikia tofauti hali ambayo sijawahi kuisikia wala kutegemea nitaisikia. Kwahiyo ni feeling mpya kabisa, yaani amenifanya nimepata kitu ambacho sijawahi kuwa nacho, nimepata kama nguvu hivi. Amenipa kila sababu ya kuamka asubuhi kwa kumfikiria yeye, chochote...

 

2 years ago

Habarileo

Baba aangua kilio mkewe kumtelekeza na mtoto

MKAZI wa Sumbawanga Mkoa wa Rukwa, Andrew Komba, ameangua kilio mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda baada ya kudai kuwa mke wake, alimtelekeza na mtoto anayesumbuliwa na uvimbe kichwani.

 

2 years ago

BBCSwahili

Makamu wa Rais Kenya akana kumtelekeza mtoto

Nakala zinasombaa kwenye mitandao zinaonyesha kuwa Makamu wa Raia nchini Kenya William Ruto, anashtakiwa kwa kushindwa kuchangia malezi ya mtoto.

 

2 years ago

MillardAyo

U HEARD: Dancer wa Diamond Platnumz adaiwa kumtelekeza mtoto

screen-shot-2017-01-10-at-3-49-03-pm

Ni kawaida yangu kila siku kukuletea stori zote za Entertaiment zinazotokea na leo January 10 2016 nakukutanisha na hii kutoka kwenye U Heard ya Soudy Brown kuhusu dancer wa Diamond Platnumz anayefahamika kwa jina la Zungu kumtelekeza mtoto wake, Soudy Brown kapiga stori na mama wa mtoto huyo….. >>>’Mimi nimezaa na Dancer wa Diamond anaitwa […]

The post U HEARD: Dancer wa Diamond Platnumz adaiwa kumtelekeza mtoto appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Baada ya kudaiwa kumtelekeza mtoto, Barakah da Prince kafunguka ya moyoni….(+Video)

vlcsnap-2016-03-02-02h26m44s996

Stori kwenye U Heard ya clouds FM March 1 2016 ilikuwa ni hii ya staa wa bongofleva Baraka da Prince, kuhusiana na  tuhuma za kumtelekeza mtoto, Soudy Brown alipiga stori na msichana ambaye anadaiwa kupata mtoto  na Barakah na kuelezea kuwa>> ‘tatizo sasa hatoi huduma ya mtoto, yani kila siku nikimpigia simu yuko busy anadai yuko […]

The post Baada ya kudaiwa kumtelekeza mtoto, Barakah da Prince kafunguka ya moyoni….(+Video) appeared first on...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani