Yussuf Poulsen: Mchezaji wa asili ya Tanzania kucheza Kombe la Dunia

Mchezaji ambaye babake ni Mtanzania ameteuliwa kwenye kikosi kamili cha wachezaji watakaoiwakilisha Denmark katika Kombe la Dunia nchini Urusi baadaye mwezi huu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

12 months ago

BBCSwahili

Paolo Guerrero: Mchezaji wa Peru aliyetetewa na wapinzani aruhusiwa kucheza Kombe la Dunia

Nahodha wa Peru Paolo Guerrero anaweza kucheza kwenye michuano ya Kombe la Dunia mwezi ujao nchini Urusi, jopo la mahakama nchini uswizi limeamua.

 

5 years ago

Mwananchi

Idris adai Tanzania imewahi kucheza Kombe la Dunia

Baada ya kuishiwa pointi ya kuchangia wakati wenzake wakizungumzia mpira wa miguu na jinsi nchi za Afrika zinavyoboroka katika mashindano ya kimataifa, mwakilishi wa Tanzania, Idris aliamua kutibua maongezi hayo kwa kusema Tanzania imewahi kucheza Kombe la Dunia.

 

2 years ago

Mwananchi

Kalou kucheza kombe la Dunia

Mshambuliaji wa Ivory Coast, Salomon Kalou hatacheza mashindano mengine ya Afcon kutokana na kutolewa kwao, lakini anaweza kubaki kwa ajili ya kucheza Kombe la Dunia 2018.

 

4 years ago

BBCSwahili

Marekani kucheza fainali Kombe la Dunia

Marekani imekata tiketi kucheza fainali za Kombe la Dunia baada ya kuibwaga Ujerumani 2-0 katika mchezo wa nusu fainali

 

12 months ago

BBCSwahili

Salah: Nina uhakika wa kucheza kombe la dunia

Mshambuliaji wa Liverpool na Misri Mohamed Salah amesema ana uhakika wa kuwepo kwenye michuano ya kombe la dunia baada ya kupata majeraha ya bega kwenye mchezo wa fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid.

 

4 years ago

BBCSwahili

Sudan Kusini kucheza mechi ya kwanza Kombe la Dunia

Sudan Kusini inajiandaa kucheza mechi yake ya kwanza kabisa ya kufuzu kwa Kombe la Dunia itakapokutana na Mauritania Jumatano.

 

4 years ago

StarTV

 Kombe la Dunia U-17: Mali, Nigeria kucheza fainali Jumapili.

Hatimaye ndoto ya timu mbili za Afrika kucheza fainali ya kombe la dunia chini ya umri wa miaka 17 imetimia baada ya timu za taifa za Mali na Nigeria  Golden Eaglets kushinda mechi kwa vipigo vizito na kutinga fainali ya michuano hiyo nchini Chile.

Timu ya taifa ya Mali imetinga fainali hiyo kwa mara ya kwanza  baada kuibuka  na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Ubeligiji iliyokuwa ya kwanza kujipataia bao kupitia Jorn Vancamp baada ya kuihadaa ngome ya Mali na likiwa ni bao la kwanza kufungwa...

 

4 years ago

Dewji Blog

Matokeo ya michezo ya jana ya kufuzu kucheza kombe la dunia Urusi 2018

taifa stars vs nigeria

Kikosi cha timu ya Taifa, Taifa Stars. Timu yetu ya Taifa Stars iliyochezwa jana usiku imeweza kufuta ndoto zake za kusonga mbele baada ya kupata matokeo mabaya zaidi kwa kufungwa 5-0, bao ambazo zinafanya matokeo kuwa 7-2, dhidi ya mabao ambayo Stars iliweza kuyapata awali mchezo uliochezwa nchini na kutoka sare ya 2-2.

CONMEBOL – Amerika Kusini
Columbia 0 – 1 Argentina

Venezuela 1 – 3 Bolivia

Paraguay 2 – 1 Bolivia

Uruguay 3 – 0 Chile

Brazil 3 – 0 Peru

CAF – Afrika
Rwanda 1 – 3 Libya

 

2 years ago

BBCSwahili

Mohamed Salah: Mchezaji aliyesaidia kuwafikisha Misri Kombe la Dunia

Mohamed Salah alifunga bao dhidi ya Congo mwezi Oktoba na kuwawezesha Misri kufuzu kwa mara ya kwanza kwa michuano ya Kombe la Dunia baada ya kipindi cha robo karne.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani