Yusuf Manji Apelekwa Hospitali na Ambulance

DAR ES SALAM: Mfanyabiashara Yusuf Manji ametolewa kwenye Kituo Kikuu cha Polisi muda mfupi uliopita na kupandishwa kwenye gari la wagonjwa ambalo lilipita Barabara ya Sokoine kuelekea Posta Mpya.

Mwanahabari aliyekuwa eneo hilo ameshuhudia Manji akipanda gari hilo la Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) lakini hawakufahamu mara moja alikoelekea.

Manji alikuwa amevaa fulana, suruali na viatu vya wazi vyote vya rangi nyeusi.

Save

The post Yusuf Manji Apelekwa Hospitali...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

MBOWE AKABIDHI AMBULANCE MBILI KWA HOSPITALI YA WILAYA YA HAI NA HOSPITALI YA MACHAME

Mbunge wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe akiwa amembeba mtoto mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Kuni na kulakiwa na wananchi katika jimbo hilo.Baadhi ya viongozi mbalimbali waliohudhuria shighuli ya makabidhiano iliyofanyika katika uwanja wa Kuni ,Bomang'ombe wilayani Hai.Wananchi wakiwa wamezingira magari hayo wakiyatizama kwa karibu.Mbunge wa jimbo la Hai ,akiuzungumza juu ya msaada huo kwa watu wa jimbo la Hai.Mbunge wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe akikabidhi nyaraka mbalimbali za...

 

2 years ago

MillardAyo

PICHA: Lilipoonekana Gari la Manji baada ya kuchukuliwa na Ambulance Polisi

Leo jioni February 12 2017 Mfanyabiashara maarufu Yusuph Manji kwenye kituo cha Polisi Kati Dar es salaam alionekana akichukuliwa na gari la Wagonjwa aina ya Land Cruiser ikiwa ni baada ya kuhojiwa na Polisi toka Alhamisi February 9. Baada ya gari hilo kumchukua haikujulikana alikopelekwa lakini halikuondoka peke yake kituoni hapo, gari lililoongoza msafara huo […]

The post PICHA: Lilipoonekana Gari la Manji baada ya kuchukuliwa na Ambulance Polisi appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Who is Yusuf Manji?


Tanzania: Who is Yusuf Manji?
AllAfrica.com
Cape Town — Yusuf Manji, is a name which has been trending in the Tanzanian news recently. Although he is well-known for his successful business life, right now it's happening for all the wrong reasons. A series of scandals led us to ask - who is this ...

 

4 years ago

Daily News

Dar disqualifies Yusuf Manji


Dar disqualifies Yusuf Manji
Daily News
CHAMA Cha Mapinduzi in Dar es Salaam region announced names of candidates for councillorship in its ten constituencies. The ruling party also disqualified two candidates -- businessman Mr Yusuf Manji and Mr Abuu Juma who was a long-serving ...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Yusuf Manji avuliwa udiwani

Mfanyabiashara Yusuf Manji amepoteza sifa ya kuwa Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu kutokana na kutohudhuria vikao zaidi ya sita na vikao vya kamati vya maendeleo ya halmashauri ya Temeke zaidi ya vitatu. Meya wa Manispaa ya Temeke, Abdallah Chaurembo amesema hayo leo Jumatano wakati akizungumza na waandishi wa habari na kusema kutokana na Yusuf  Manji kutoonekana katika vikao hivyo wameamua kumuondoa kwenye nafasi ya udiwani kwa kukosa sifa.

The post Yusuf Manji avuliwa udiwani appeared first...

 

1 year ago

MwanaHALISI

Makubwa ya Yusuf Manji mahakamani

DAWA zinazotumikia kwenye matibabu ya ugonjwa wa moyo wa mfanyabiashara, Yusuf Manji zimezua mjadala kwenye ushahidi wa kesi inayomkabili ya matumizi ya dawa za kulevya, anaandika Faki Sosi. Mbele ya Hakimu Mfawidhi, Cyprian Mkeha upande wa utetezi ulileta mashahidi wake. Shahidi wa kwanza alikuwa mtuhumiwa mwenyewe Manji na kufuatiwa na Wakili wa utetezi. Wakili wa ...

 

3 years ago

Michuzi

2 years ago

Mwananchi

Mali za Yusuf Manji hatarini kukamatwa

Siku moja baada ya mfanyabiashara Yusuf Manji kuhama kwenye jengo la Quality Plaza, uongozi wa kampuni ya udalali ya Yono umesema kinachosubiriwa ni mfanyabiashara huyo kulipa deni au kukamatwa kwa mali zake.

 

2 years ago

Michuzi

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani