Yusuph Mlela Amfungukia Nay wa Mitego

Msanii wa filamu nchini Yusuph Mlela amemtusi rapa Nay wa Mitego kwa kile anachodai kuwa msanii huyo anapotosha jamii juu ya maandamano waliofanya baadhi ya wasanii  wa filamu nchini.

Yusuph Mlela ambaye kwenye post yake ameonekana kushindwa kutumia lugha ya staha huku akionesha kutokwa na povu jingi kutokana na mapokeo ya mashabiki wa filamu ambao walio wengi wamekuwa wakiwachana wasanii hao na kuwataka kufanya kazi zenye ubora.

Rapa Nay wa Mitego alisikika akisema kuwa baadhi ya wasanii...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo Movies

Yusuph Mlela Ataka Wazichape na Nay wa Mitego

Muigizaji wa filamu za bongo Yusuph Mlela leo amezungumza na kumtaka msanii wa muziki wa hip hop na Bongo fleva Nay wa Mitego, kuheshimu na kutoziingilia kazi za wasanii wengine kama anavyoheshimu kazi zake.

Muigizaji wa filamu za bongo Yusuph Mlela

Yusuf Mlela aliendelea kwa kusema kuwa kama Nay wa Mitego anaona ameshafanikiwa kimaisha basi awapishe wasanii wengine waendelee kujitafutia riziki kwani bado wana safari ndefu kimaisha.

‘Mimi namuomba sana Nay ajiheshimu sana, asiingilie kazi za...

 

2 years ago

Bongo5

Yusuph Mlela aomba pambano la ngumi na Nay wa Mitego

Msanii wa filamu nchini Yusuph Mlela aamemshutumu rapa Nay Wa Mitego kwa kile anachodai kuwa msanii huyo anapotosha jamii juu ya maandamano waliofanya baadhi ya wasanii wa filamu nchini.

Baada ya wasanii hao kuandamana wakipinga uingizwaji wa filamu za nje ambazo hazilipi kodi, kwa madai ziwaaribia soko lao la filamu za ndani, rapa Nay wa Mitego alisikika akisema kuwa baadhi ya wasanii wa filamu ambao waliandamana ni mataahira kwani kitendo cha wao kutaka filamu za nje zizuiliwe, hakina...

 

2 years ago

Bongo Movies

Beef ya Nay wa Mitego na Yusuph Mlela Yafika Pabaya

Baada ya muigizaji wa filamu, Yusuph Mlela kuomba pambano la ngumi na rapa Nay wa Mitego, rapa huyo amemjibu muigizaji huyo kwa maneno ya kejeli.

Wawili hao waliingia kwenye bifu hilo baada ya Nay wa Mitego, kuwaita wasanii wa filamu ‘mataahira’ kisa kuandamana kupinga biashara ya filamu ‘feki’ za nje ambazo hazilipi kodi.

Rapa huyo amedai hawezi kupigana na muigizaji huyo huku akimkejeli kwa kumuita Mlela ni mwanamke.

“Nasikia kuna mwanaume/mwanamke yupo Bongo Movie anataka kupigana na...

 

2 years ago

Malunde

MSANII WA FILAMU YUSUPH MLELA AMMWAGIA MATUSI RAPA NAY WA MITEGO

Msanii wa filamu nchini Yusuph Mlela amemtusi rapa Nay wa Mitego kwa kile anachodai kuwa msanii huyo anapotosha jamii juu ya maandamano waliofanya baadhi ya wasanii  wa filamu nchini.
Yusuph Mlela ambaye kwenye post yake ameonekana kushindwa kutumia lugha ya staha huku akionesha kutokwa na povu jingi kutokana na mapokeo ya mashabiki wa filamu ambao walio wengi wamekuwa wakiwachana wasanii hao na kuwataka kufanya kazi zenye ubora.
Rapa Nay wa Mitego alisikika akisema kuwa baadhi ya wasanii wa...

 

2 years ago

MillardAyo

EXCLUSIVE: Majibu ya Nay wa Mitego baada ya kuombwa pambano la ngumi na Yusuph Mlela

Siku chache sasa zimepita tangu muigizaji staa wa Bongo movie Yusuph Mlela kuomba pambano la ngumi dhidi ya rapa Nay Wa Mitego, sasa kinachoendelea ni kwamba ujumbe huo umemfikia mhusika. Kutokana na ujumbe huo wa Yusuph Mlela kwenye EXCLUSIVE interview na Ayo TV Entertainment na millardayo.com Nay ameelezea majibu ya ombi hilo ambapo mbali na kuzungumzia pambano […]

The post EXCLUSIVE: Majibu ya Nay wa Mitego baada ya kuombwa pambano la ngumi na Yusuph Mlela appeared first on...

 

3 years ago

Bongo Movies

Niva Amfungukia Nay wa Mitego Baada ya Kuchanwa Kwenye ‘Shika Adabu Yako’

niva42

Baada ya msanii Nay wa Mitego Kumchana Niva Kwenye ‘Shika Adabu Yako’ kupitia mtandao wa instagram Niva amefunguka haya;

Alianza kuwa kuandika haya;

“Jioni ya Leo ndio watu watajua. Kama natafuta Kiki kwako au wewe @naytrueboy umeamua kuipata Kiki kwangu coz ney watu wameanza kukujua 2013… mimi watu wameanza kunijua tangia elfu mbili na sita kupitia tamthili ya jumba la dhahabu kipindi hiko wewe upo manzese unatafuta kutoka.. mwenzio nikitajaga tamthili ya jumba la dhahabu uwa nawaumizaga...

 

4 years ago

Raia Tanzania

Yusuph Mlela: Nikikupikia biriyani

YUSUPH  Mlela ni msanii maarufu wa  filamu nchini  aliyeweza   kujijengea jina kutokana na kumudu kazi yake kwa kuigiza sehemu  tofauti bila kujali uhusika anaouvaa.

Ni miongoni mwa wasanii wachache ambao  wameweza kutunza heshima yao  tofauti na wasanii wengine wanaotafuta umaarufu kwa kufanya mambo yanayokwenda kinyume na maadili.

Raia Tanzania imezungumza na Mlela  ili kujua mambo mbalimbali ya maisha yake  awapo nje ya sanaa kama ifuatavyo:

Raia Tanzania: Ukimzungumzia mlela...

 

3 years ago

Bongo Movies

Yusuph Mlela Apata Dili Hili Kenya

Msanii wa Bongo Movie,Yusuph Mlela amefunguka juu ya dili lake la nchini kenya.

yusuph

Yusuph Mlela

Akizungumza na Enewz Mlela amesema kuwa anashukuru Mungu kwakuwa hiyo ndiyo nafasi kwake katika kuiwakilisha nchi yetu.

“Project yangu ya Kenya imenipa Exposure kubwa sana kiasi kwamba imenitanua katika kila kitu na watu wategemee kitu kikubwa zaidi”, amesema Mlela huku akiongezea kuwa majukumu ya familia ndiyo yalimfanya atulie zaidi na kuwa kimya huku akihusika zaidi na kazi zake...

 

3 years ago

Bongo Movies

Wastara: Yusuph Mlela Anafanana Vitu Vingi na Sajuki

Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma amefunguka na kumwagia sifa muigizaji mwenzake, Yusuph Mlela kuwa ni mtu ambaye anafanana vitu vingi na aliyekuwa mume wake, marehemu Sajuki  na kusisitiza kuwa huwa hachoki kufanya naye kazi.

Kupitia ukurasa wakekwenye mtandao wa instagram, Wastara aliweka picah hiyo hapo juu na kuandika;

“Mama na mwana mama na baba nimeipenda kma ilivyo ila kiukweli huyu jamaa nampenda mfano hakuna mpole muelewa hana makuu anao ubinadaamu hana ugomvi na mtu mpole ajui...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani