Zahera afunguka makombe anayoyataka akiondoa Mapinduzi Cup

Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera ameweka wazi makombe ambayo ni vipaumbele kwake na klabu huku katika hayo akiondoa Mapinduzi Cup na ameeleza kuwa hatopeleka kikosi cha kwanza kwenye michuano hiyo.

Akiongea leo na wanahabari Zahera amesema kama klabu ni lazima wawe na vipaumbele na wakitaka kushiriki kikamilifu katika kila kombe basi watajikuta wanakosa yote hivyo kipaumbele chake ni ligi kuu na kombe la shirikisho.

“Kufuatana na nguvu yetu tulionayo kwa maana ya wachezaji, inatubidi...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

TheCitizen

Dar giants for Mapinduzi Cup

Four Tanzania Mainland Premier League teams, Young Africans, Simba Sports Club, Azam Football Club and Mtibwa Sugar will feature in the Mapinduzi Cup tournament scheduled to kick off tomorrow in Zanzibar.

 

5 years ago

Tanzania Daima

Kumekucha Mapinduzi Cup Zanzibar

MICHUANO ya soka ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar 2013, inatarajiwa kuanza kutimua vumbi leo kwa mechi tatu zinazosubiriwa kwa hamu na mashabiki kwenye viwanja vya Amaan Unguja na Gombani, Chakechake,...

 

5 years ago

GPL

KCC BINGWA MAPINDUZI CUP

Wachezaji wa KCC, viongozi na mashabiki wao wakishangilia ushindi baada ya kutwaa kombe la Mapinduzi leo. Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein naye alikuwepo uwanjani kushuhudia mtanange huo kati ya Simba na KCC.…

 

5 years ago

Tanzania Daima

KCC yabeba Mapinduzi Cup

HESABU za Kocha mpya wa Simba, Zdravco Logalusic, kutwaa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi kuanza na mguu mzuri raundi ya pili ya Ligi Kuu ya Bara, jana zilitibuka baada ya...

 

3 years ago

BBCSwahili

Ura mabingwa wa Mapinduzi cup

Timu ya Ura ya Uganda imetwaa ubingwa wa michuno ya Mapinduzi kwa msimu wa 2016 kwa kuichapa Mtibwa, mabao 3-1.

 

3 years ago

BBCSwahili

Azam,Yanga sare Mapinduzi Cup.

Timu ya Yanga imetoshana nguvu na Azam FC, kufuatia sare ya bao 1-1 katika Mechi ya Kundi B la michuano ya Mapinduzi Cup 2016

 

3 years ago

BBCSwahili

Yanga-nusu fainali Mapinduzi Cup.

Mabingwa wa Tanzania Bara Timu ya Yanga, imefanikiwa kutinga hatua ya Nusu fainali kufuatia ushindi wa Bao 2-1 dhidi ya Mtibwa

 

3 years ago

BBCSwahili

Mapinduzi cup kutimu vumbi Januari 2.

Timu zitakazoshiriki Mashindano ya Mapinduzi Cup, ambayo yanatarajiwa kuanza Januari 2 visiwani Humo.

 

4 years ago

BBCSwahili

Yanga yachanja mbuga mapinduzi Cup

Yanga ilifanikiwa kutinga hatua ya robo fainali katika michuano ya Mapinduzi

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani