Zanzibar heroes waendelea kujifua, Selembe pekee kafika kutoka ligi kuu bara

Ikiwa leo ni siku ya nane tangu kuanza mtizi Kikosi cha timu ya Taifa ya Soka ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) kinaendelea na mazoezi yake kujiandaa na Mashindano ya CECAFA Chalenji CUP yanayotarajiwa kufanyika Novemba 25 na kumalizika Disemba 9, 2017 huko nchini Kenya. Mazoezi hayo yanayosimamiwa na kocha mkuu wa kikosi hicho Hemed Suleiman (Morocco) yanaendelea kila siku kuanzia saa 2:00 za asubuhi katika uwanja wa Amaan Mjini Unguja ambapo kocha huyo ametangaza kikosi cha awali cha...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

Zanzibar 24

Wachezaji wote wanaocheza ligi kuu bara huenda wakaachwa zanzibar heroes baada ya klabu zao kuwabania

Wachezaji wa timu ya Taifa ya Soka ya Zanzibar (Zanzibar Heroes), ambao wanacheza ligi kuu soka Tanzania bara huenda waachwa katika kikosi hicho kutokana na kutopewa ruhusa na vilabu vyao kujiunga na timu hiyo ya Taifa mpaka ligi kuu bara itakapokwenda mapumziko. Kocha mkuu wa Zanzibar Heroes Hemed Suleiman (Morocco) amesema kutokana na kutopewa ruhusa wachezaji hao huenda wakawasamehe na badala yake wakawachagua wachezaji wengine wanaocheza soka hapa hapa Zanzibar. Morocco amesema ikifika...

 

2 years ago

Mwananchi

LIGI KUU BARA: Ligi Kuu Bara kuwakosa Kiiza, Kipre, Maguli

Walikuwa silaha kali zilizomaliza kwenye tano bora

 

3 years ago

Vijimambo

HASHEEM THABEET ASHUHUDIA KIPIGO TANZANIA BARA CHA GOLI 7-1 KUTOKA KWA ZANZIBAR HEROES

 wachezaji na mashabiki wakipata ukodak moment na mchezaji wa kikapu wa Tanzania nchini Marekani Hasheem Thabeet wakati mchezaji huyo alipojumuika na Watanzania wenzake uwanjani hapo kusherehekea sherehe ya Muungano ya nyama choma na mechi ya mprira wa miguu kati ya Zanzibar Heroes na Tanzania Bara siku ya Jumamosi April 25, 2015 iliyodhaminiwa na Peoples Bank of Zanzibar na Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi kuwa mgeni rasmi. Gadaf akijipima urefu kwa kuruka juu iliamfikie  mchezaji wa kikapu...

 

3 years ago

Vijimambo

TANZANIA BARA YAKUBALI KIPIGO CHA GOLI 7-1 KUTOKA ZANZIBAR HEROES WADAI WAMEFUNGWA KUIMARISHA MUUNGANO

Mgeni rasmi Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na refa Mohammed kutoka Misri alipokua mgeni rasmi kwenye mechi ya Muungano kati Zanzibar Heroes walipoiadhibu timu ya Bara kwa bao 7-1 mechi iliyochezewa Capitol Heights, Maryland siku ya Jumamosi April 25, 2015 katika kuadhimisha miaka 51 ya sherehe ya Muungano zilizodhaminiwa na PBZRais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na nahodha wa timu ya Zanzibar Heroes Dedi Luba.Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na nahodha wa timu...

 

2 years ago

MillardAyo

Rasmi msimu ujao Ligi Kuu Tanzania bara hatutaziona timu kutoka Tanga

VPL-logo

May 22 2016 headlines kwa upande wa wapenda soka Tanzania ilikuwa ni habari kuhusu soka la Tanga, ambapo leo haikuwa siku nzuri kwa wapenda soka la mkoa huo, May 22 ndio siku rasmi soka la Tanga limepata bahati mbaya ya kushusha timu tatu Ligi Kuu. Baada ya Coastal Union na African Sports kushuka daraja, klabu […]

The post Rasmi msimu ujao Ligi Kuu Tanzania bara hatutaziona timu kutoka Tanga appeared first on MillardAyo.Com.

 

3 years ago

Michuzi

WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao.  NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...

 

3 years ago

Vijimambo

YANGA YABAMIZWA BAO 2 - 1 KUTOKA KWA AZAM NA KUWA MABINGWA WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA 2014 - 2015


Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2014- 2015, Yanga wakishangilia ubingwa wao huo mara baada ya kumalizika kwa mtanange wao dhidi ya Azam FC, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.Mtanange huo ulimalizika kwa Azam kushinda Bao 2-1. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.Mgeni Rasmi katika Mchezo huo, Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Mh. Dkt. Fenella Mukangara akimkabidhi Nahodha wa Timu ya Yanga, Nadir Haroub cheti cha pongezi kutoka kwa Rais wa Shirikisho la...

 

3 years ago

Mwananchi

LIGI KUU BARA : Bajeti za kibabe usajili wa Tanzania Bara

Usajili wa wachezaji Ligi Kuu Tanzania Bara kwa ajili ya msimu ujao umekaa kibabe tofauti na misimu mingine.

 

5 years ago

Tanzania Daima

Zanzibar Heroes waendelea kusota hotelini

WACHEZAJI wa timu ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’ wamepanga kujigharamia nauli zao wenyewe ili waweze kupanda mabasi kurejea nchini Tanzania. Heroes toka Jumanne iliyopita waliondolewa katika michuano ya Chalenji na kujikuta...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani