ZARI : NIMEACHANA KABISA NA DIAMOND VITENDO VYAKE NA MA X WAKE VIMENIFANYA NIDHALILIKE


Zari Hassan maarufu Zari The Boss Lady amesema hafikirii na hatarajii kurudiana na mzazi mwenzake Naseeb Abdul 'Diamond'.


Zari aliyezaa watoto wawili na Diamond ambaye ni msanii maarufu wa muziki ndani na nje ya nchi amesema hayo jana Februari 23,2018 alipohojiwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC).

"Nilikaa muda mrefu nikafikiria vitu vingi ndipo nikasema unajua nini, nahitaji kufikia mwisho wa hili," amesema Zari alipoulizwa swali na mtangazaji Mariam Omary kuhusu ujumbe aliouweka...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Zari: Nimeachana na Diamond

Mashabiki wapokea kwa mshangao habari za kuvunjika kwa mahusiano kati ya Diamond na Zari.

 

4 years ago

GPL

DIAMOND AMJIBU KWA VITENDO EX WA ZARI

Diamond akiwa kwenye baiskeli huku Zari akiwa kwenye BMW X6. Baadhi ya post za King Lawrence Instagram akimkejeli Diamond. STAA wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, ameamua kumjibu kwa vitendo anayedai kuwa aliwahi kuwa mpenzi wa mwandani wake wa sasa, Zarinah Hassani ‘Zari’, King Lawrence ambaye amekuwa akimtupia maneno ya kumtusi na kejeli mitandaoni.… ...

 

3 years ago

Bongo5

Diamond: Sitaki kabisa kushika simu ya Zari naogopa kuumia!

Diamonnd n Zari-phone

Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa yeye na mpenzi wake Zari ni watu ambao huwa hawapendi
kupekuliana simu simu zao ili kuepukana na matatizo yanayoweza kusababishwa na simu za mikononi.

zari na dai

Simu za mikononi huwa ni moja ya chanzo cha ugomvi kwa wapenzi wengi, na tumekuwa tukisikia story za couple nyingi kuingia kwenye matatizo kutokana tu na mmoja kukuta ujumbe au picha zenye utata kwenye simu ya mwenzie hata kama haimaanishi kuwa anamsaliti.

Diamond na Zari wote ni watu maarufu ambao wana...

 

4 years ago

Vijimambo

SOMO LA KONDOM JAMAA KA FALL KABISA HATIMAYE DIAMOND AMPA UJAUZITO ZARI

USHAHIDI WA UJAUZITO HUOUsiku wa jana, Dimaond aliweka ujumbe unaosema “I can not wait to have you on my hands #Chibu_Junior” akimaanisha “siwezi kusubiri kukuweka kwenye mikono yangu #Chibu_Junior” huku akiambatanisha na picha ya Ultrasound aliyoupiga na Zari (Kama hujui Ultrasound ni nini Tafadhali google) na baadaye Zari naye akapost picha yake akichukuliwa vipimo hivyo bila kuandika kitu chochote na kuwaacha wananchi wakimwagika na comment za kutosha kuhusu picha hizo ambazo fika...

 

3 years ago

Bongo5

Zari akiri hadharani jinsi anavyompenda ‘mume’ wake Diamond

zarimond-1

Mapenzi ya Diamond Platnumz na Zari The Boss Lady yanaonekana kuwa imara kadri siku zinavyokwenda, kutokana na jinsi mastaa hao wanavyozidi kuudhihirishia ulimwengu jinsi wanavyopendana.

zarimond-1

Baada ya kumpata mtoto wao wa kwanza pamoja Princess Tiffah, couple hiyo imeendelea kushare na ulimwengu kupitia mitandao ya kijamii jinsi wanavyojiandaa kuja kuungana kuwa kitu kimoja hapo baadaye.

zarimond-2

Licha ya kupost picha nyingi zinazodhihirisha upendo wao, Zari ambaye ni mama wa watato wanne hakusita...

 

4 years ago

Dewji Blog

Diamond Platnumz atua na mpenzi wake Zari mjini Songea

1

Mwanamuziki Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari wakiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea tayari kwa kufanya onesho kubwa kwenye sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM zinazofanyika kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea leo ambapo viongozi mbalimbali wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho Dr. Jakaya Kikwete.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-SONGEA).

2

Diamond Platnumz akiongozana na mpenzi wake Zari wakiondoka kwenye uwanja wa ndege wa Songea kuelekea hotelini.

3

Mkuu wa wilaya ya...

 

2 years ago

MillardAyo

EXCLUSIVE: Diamond anaongelea ishu ya Zari kumpost mpenzi wake wa zamani (Ivan)

AyoTV Entertainment kila siku inakukutanisha na habari za mastaa ambapo kwenye hii video kuna majibu ya Diamond kuhusu Zari kumpost Instagram mpenzi wake wa zamani ambaye ni Ivan, imekua ikionekana mara kadhaa Zari akimpost Ivan mfano pale anapokua na tukio la kuwajulisha watu. Wengi wakawa wana-comment Diamond haioni hii? na kama anaiona anaichukuliaje mpenzi wake […]

The post EXCLUSIVE: Diamond anaongelea ishu ya Zari kumpost mpenzi wake wa zamani (Ivan) appeared first on...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani