Zari na Diamond watuma ujumbe kuwa mambo ni shwari licha ya kuwepo tetesi za mgogoro wa familia

Kuna tetesi nyingi sana zimevuma kwenye mitandao ya kijamii wiki hii kuhusiana na Diamond na Zari. Miongoni mwa tetesi hizo ni pamoja na kuwa Zari haelewani kabisa na ndugu zake Diamond akiwemo mama mkwe wake na wifi yake, Esma.

13671776_891481664330652_1595155428_n

Hilo Zari alilielezea kwa mafumbo kwenye Snaochat na kudai kuwa hajali kama nchini au ukoo usipomkubali, ilimradi tu wanapendana na mpenzi wake.

Tetesi nyingine ni kuwa staa huyo wa ‘Utanipenda’ si mwaminifu kwenye uhusiano wao na kwamba huenda akawa na ukaribu...

Bongo5

Read more

Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo Movies

Kufuatia Tetesi za Kuwepo kwa Mgogoro wa Kifamilia, Zari na Diamond Watuma Ujumbe Huu

Kuna tetesi nyingi sana zimevuma kwenye mitandao ya kijamii wiki hii kuhusiana na Diamond na Zari. Miongoni mwa tetesi hizo ni pamoja na kuwa Zari haelewani kabisa na ndugu zake Diamond akiwemo mama mkwe wake na wifi yake, Esma.

zari902

Hilo Zari alilielezea kwa mafumbo kwenye Snaochat na kudai kuwa hajali kama nchini au ukoo usipomkubali, ilimradi tu wanapendana na mpenzi wake.

Tetesi nyingine ni kuwa staa huyo wa ‘Utanipenda’ si mwaminifu kwenye uhusiano wao na kwamba huenda akawa na ukaribu usio...

2 years ago

Bongo5

Exclusive: Diamond azungumzia familia ilivyombadilisha, tetesi za kumsaliti Zari, nyumba, ziara na Ne-Yo (Video)

Nilipokuwa Lagos, Nigeria, siku mbili kabla ya kufanyika kwa tuzo za Afrima, nilikaa kitako na Diamond Platnumz kuzungumza mambo mbalimbali kuhusu muziki na maisha yake binafsi. Haya ni sehemu ya tuliyozungumza kwenye interview hiyo.

Kuhusu jinsi familia ilivyombadilisha

Nafikiri familia imenifanya niwe nazingatia kile ninachokifanya, nikimaanisha kwamba kuwa makini kwasababu nikifeli sio tu timu yangu bali nafelisha na familia yangu. Kwahiyo nakuwa najitahidi kufanya sababu ya nchi yangu,...

3 years ago

Bongo5

Zulehah azizima tetesi za kuwa ni mtoto wa Zari kwa picha hizi 2 za familia yao enzi watoto

Kuanzia jana staa wa Instagram, Mange Kimambi alikuwa akimshambulia Zari the Bosslady kwa mfululizo wa post za kudai kuwa amepewa taarifa na watu wa karibu wa familia hiyo kuwa Zari ana mtoto mkubwa wa kike na kwamba ni Zulehah, ambaye muda wote inafahamika kuwa ni mdogo wake.

13473384_656927457789800_776486571_n
Zulehah Hassan

Mange ambaye amekuwa controversial mtandaoni kwa muda sasa, alidai kuwa na vitibitisho vingi vya kumuumbua mchumba huyo wa Diamond kuwa amekuwa akiudanganya umma kwa muda mrefu.

“This is not Zari’s...

2 years ago

Dewji Blog

AUDIO: Watu 15 waliofukiwa na kifusi mgodini Geita watuma ujumbe kuwa wapo hai

Watu 15 ambao walifukiwa na kifusi katika mgodi wa RZ uliopo mkoani Geita wametuma ujumbe kuwa wote ni wazima na hakuna ambae amepoteza maisha lakini wananjaa na wanahitaji chakula.

Aidha watu hao wamesema kuwa mmoja kati yao hali sio nzuri na hata kushindwa kuongea kutokana na kuwa na njaa kali lakini inaelezwa kuwa tayari wameanza kuwatumiwa chakula pamoja na glucose ili wapate nguvu.

Zaidi waweza kumsikiliza ripota wa Azam Tv kutoka Geita akielezea hali jinsi ilivyo kwa sasa.

4 years ago

Michuzi

TAMKO LA SERIKALI KUHUSU TETESI ZA KUWEPO MGONJWA ANAYEHISIWA KUWA NA UGONJWA WA EBOLA MKOANI KILIMANJARO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII 
TAMKO LA SERIKALI KUHUSU TETESI ZA KUWEPO MGONJWA ANAYEHISIWA KUWA NA UGONJWA WA EBOLA  MKOANI KILIMANJARO Utangulizi
Mnamo tarehe 22 Oktoba 2014, Wizara ilipokea taarifa kutoka Ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ya kuwepo kwa mgonjwa aliyehisiwa kuwa na dalili za ugonjwa wa Ebola. Mgonjwa huyu mwanaume ana umri wa miaka 37, na mkazi wa Dar es salaam (Kimara ) ambaye alikwenda Kilimanjaro tarehe 20 Oktoba 2014 katika...

4 years ago

Vijimambo

TAMKO LA SERIKALI KUHUSU TETESI ZA KUWEPO MGONJWA ANAYEHISIWA KUWA NA UGONJWA WA EBOLA MKOANI KILIMANJARO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
TAMKO LA SERIKALI KUHUSU TETESI ZA KUWEPO MGONJWA ANAYEHISIWA KUWA NA UGONJWA WA EBOLA MKOANI KILIMANJARO
Utangulizi
Mnamo tarehe 22 Oktoba 2014, Wizara ilipokea taarifa kutoka Ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ya kuwepo kwa mgonjwa aliyehisiwa kuwa na dalili za ugonjwa wa Ebola. Mgonjwa huyu mwanaume ana umri wa miaka 37, na mkazi wa Dar es salaam (Kimara ) ambaye alikwenda Kilimanjaro tarehe 20 Oktoba 2014 katika...

3 years ago

GPL

FAMILIA YA DIAMOND YAMMWAGA RASMI ZARI!

Brighton Masalu THE game is over! Sasa ni wazi kuwa familia ya staa mkubwa wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnamz’ imemtema rasmi mzazi mwenzake Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kwa kile wanachodai …. “Tumechoshwa na uzungu wake”, Risasi Mchanganyiko linaweza kuandika.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1RVi9bR

2 years ago

Bongo Movies

Ujumbe wa Diamond na Zari kwa Tiffah

Familia ya Diamond na mpenzi wake Zari The Bosslady Jumapili ya leo wamepata furaha kubwa zaidi ambayo inawafanya wakumbuke miaka miwili iliyopita.

Furaha ambayo wapo nayo familia hiyo kwa sasa ni kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa mtoto wao wa kwanza Princess Tiffah ambaye anatimiza maiaka miwili ya kuzaliwa kwake.

Kupitia mtandao wa instagram, wazazi hao wameshindwa kuzuia furaha zao juu ya mtoto wao huyo. Diamond ndio amekuwa wa kwanza kuandika ujumbe wake kwenye mtandao huo, “Happy 2...

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani