ZATU yawataka Wanachama wake kujitokeza kwenye chaguzi

CHAMA cha Walimu Zanzibar (ZATU) tayari kimefanya uchaguzi kwa ngazi za Skuli,Wilaya, na sasa kuelekea ngazi ya Kanda na Kufanya mkutano Mkuu ifikapo tarehe 10-11 Febuari mwaka 2018.

Hayo aliyasema Katibu Mkuu wa chama cha Walimu Zanzibar  (ZATU) Omar Mussa Tafurwa huko katika Ofisi ya chama hicho kijagwani Mjini Zanzibar  wakati akizungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na uchaguzi wa chama hicho unaoendelea pamoja na kuelekea kufanyika  kwa Mkutano Mkuu.

Alisema mkutano huo utazungumzia...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

UWT YAIPONGEZA KAMATI KUU YA CCM,YAWAHAMASISHA WANACHAMA WAKE WENYE SIFA KUJITOKEZA KWA WINGI KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI ZA UONGOZI

Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT, Amina Makilagi akizungumza na waandishi wa habari, leo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.
Bi Makilagi alizungumza mambo mbalimbali ikiwemo na kutoa pongezi nyingi kwa Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM ikiongozwa na Mwenyekiti wake,Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa uamuzi wake wa kuteua wagombea wa Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki kwa uwiano ulio sawa baina ya Wanaume na Wanawake.
Bi Makilaki amesema...

 

2 years ago

Michuzi

PPF YAWATAKA WASTAAFU KUJITOKEZA KATIKA ZOEZI LA UHAKIKI LINALOENDELEA NCHINI.

 
Na Beatrice Lyimo-MAELEZO

MFUKO wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF) umewataka wanachama wastaafu wa mfuko huo PPF kujitokeza katika zoezi la uhakiki linaoendelea na kumalizika nchini kote tarehe 28 Oktoba mwaka huu.

Akizungumza na waandsihi wa habari leo jijini Dar es salaam Meneja Kiongozi wa Shughuli za Pensheni na Huduma kwa Wanachama, John Mwalisu alisema uhakiki huo hufanyika kila baada ya miaka miwili kwa lengo la kuwa na taarifa sahihi za wanachama wanaolipwa pensheni...

 

4 years ago

Michuzi

DRFA yawataka mashabiki wa soka kujitokeza kwa wingi kuzishangilia timu za Dar

Uongozi wa chama  cha soka mkoa wa Dar es salaam, DRFA,umewaomba,mashabiki na wote wenye mapenzi mema ya kandanda,kujitokeza kwa wingi kuzishangilia timu za Dar es salaam zinazoshiriki ligi kuu,Daraja la kwanza na michuano ya taifa Cup wanawake ,ili kutoa hamasa kwa wachezaji.
Leo (januari 28) kutakuwa na mchezo mmoja wa ligi kuu kwa timu ya Simba ya Dar es salaam dhidi ya Mbeya City ya Mbeya,mchezo ambao utakaopigwa katika uwanja wa taifa jijini.
Itakumbukwa kwamba katika mechi mbili za ligi...

 

3 years ago

Michuzi

Posta na Simu Saccoss yawataka wanachama kuchukua viwanjaMwenyekiti wa Posta na Simu SACCOS, Bw. Lawrence Mwasikili (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kuanza kuuzwa kwa viwanja 1,500 vilivyoko Msata, wilaya ya Bagamoyo kwa wanachama wake.  Walioambatana naye katika mkutano huo wa waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam ni Afisa Mkuu Mtendaji wa Ushirika huo, Bw. Deogratias Ngalawa (kushoto) na Afisa Tawala, Bw. Jeremiah Miselya. Afisa Mkuu Mtendaji wa Posta na Simu SACCOS, Bw. Deogratias...

 

2 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA YANGA KUFANYIKA JUMAPILI, MANJI AWATAKA WANACHAMA KUJITOKEZA KWA WINGI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
MWENYEKITI wa Yanga, Yusuf Manji amewataka wanachama wa klabu hiyo kujitokeza kwa wingi katika mkutano mkuu wa dharula  unaotarajiwa kufanyika Oktoba 23, Jumapili kwenye  Uwanja wa Kaunda Makao makuu ya Jangwani.
Akizungumza na wanahabari, Manji amesema kuwa wanachama wote wajitokeze siku hiyo kwani katika njia mojawapo ya kuijenga Yanga Imara ni wanachama kuchangia katika suala la maendeleo ikiwemo mabadiliko yanayotarajiwa kujitokeza ya kwenda kwenye mfumo...

 

5 years ago

Mwananchi

Rushwa kwenye chaguzi, ufisadi vyamchukiza Sumaye

>Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amesema angefarijika kama wanasiasa wanaojiandaa kugombea Urais mwaka 2015, wangekemea vitendo vya rushwa na ufisadi hadharani.

 

2 years ago

Zanzibar 24

CCM, Ukawa na ACT kuchuana kwenye chaguzi ndogo

Baada ya mwaka mzima wa Serikali kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama siasa, vyama vya CCM, Ukawa, ACT Wazalendo na vingine vinatarajiwa kuwasha moto kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Dimani, Zanzibar na chaguzi za madiwani katika kata 22 kwenye halmashauri 21 za Tanzania Bara kwa mwezi mzima.

Mbali na ubunge, mtifuano huo utafanyika katika mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro, Singida, Mwanza, Dodoma, Iringa, Manyara, Mara, Arusha, Katavi, Ruvuma, Kagera, Shinyanga, Kilimanjaro,...

 

1 year ago

Michuzi

SHAKA AWAONYA WATAKAOJIHUSISHA NA RUSHWA KWENYE CHAGUZI ZA UVCCM

 Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM, Shaka Hamdu Shaka akizungumza na Waandishi wa Habari wakati akitoa taarifa ya mwenendo wa mchakato wa uchaguzi wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi(UVCCM) na kusema kuwa yoyote atakaye jihusisha na vitendo vya Rushwa asitegemee nafasi ndani ya jumuiya hiyo au chama Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka, akisisitiza jambo kwa Waandishi wa habari juu ya mwenendo wa Jumuiya hiyo nchini na mafanikio waliyoyapata ndani ya miaka mitatu  Waandishi wa  Habari...

 

2 years ago

MillardAyo

CCM yataja siri zilizofanya Washinde kwenye chaguzi ndogo za juzi

Katibu wa itikadi na uenezi CCM Humphrey Polepole ameeleza siri za kushinda katika uchaguzi mdogo wa jimbo la dimani Zanzibar na kata 20 uliofanyika January 20 2017 sehemu mbalimbali Tanzania kwenye ngazi ya Udiwani. Ameelezea pia sababu ya chama cha wananchi wa CUF kushindwa katika uchaguzi wa ubunge wa jimbo la Dimani Zanzibar kuwa chanzo […]

The post CCM yataja siri zilizofanya Washinde kwenye chaguzi ndogo za juzi appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani