ZECO yajipanga kuboresha huduma ya nishati ya umeme

Shirika la Umeme Zanzibar ZECO limekusudia kuimarisha  huduma ya Nishati ya Umeme kwa wananchi ili kuwaondoshea usumbufu wanaokumbana nao wakati wakihitaji huduma hiyo.

Akizungumza na Waandishi wa Habari baaada ya Kufunga mafunzo ya Siku tatu kwa taasisi Zinazosimamia Nishati Zanzibar, Meneja Mkuu wa Shirika hilo Hassan Ali Mbarouk amesema kutokana na mafunzo waliopewa wasisimamizi wa taasisi za Nishati ,wataweza kutoa huduma Bora kwa wananchi.

Amesema katika mafunzo hayo wamejifunza namna...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

Zanzibar 24

Airtel yatangaza huduma mpya yajipanga kuboresha huduma zake

Kampuni ya simu za mkononi Airtel Tanzania imehaidi kuendelea kutoa huduma bora na za kisasa kwa wateja wake. Hii ni kutatua kero na changamoto ambazo zimekuwa zikiikumba sekta ya mawasiliano hapa nchini.

Akiongea jijini Dar es Salaam jana jioni baada ya futari iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa wateja na washirika wake, Mkurugenzi wa Biashara kwa wateja maalum Airtel Tanzania Boniface Bwambo alisema kampuni hiyo itaendelea kutoa huduma bora na za kisasa ili kukidhi matakwa ya wateja wake...

 

2 years ago

Michuzi

SERIKALI YADHAMIRIA KUBORESHA HUDUMA ZA MAJI NA UMEME NCHINI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kumaliza tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama pamoja na huduma ya umeme katika maeneo mbalimbali nchini zikiwemo wilaya za Chemba na Kondoa mkoani Dodoma.
Amesema Serikali kupitia Kampeni ya Rais Dkt. John Magufuli ya kumtua mama ndoo, itahakikisha wananchi katika maeneo yote nchini watapata huduma ya maji safi na salama katika umbali usiozidi mita 400 kutoka kwenye makazi yao.
Waziri Mkuu aliyasema hayo jana (Jumatano, Septemba...

 

4 years ago

Vijimambo

MKUU WA MKOA WA MOROROGORO - M-POWER PUNGUZENI BEI YA HUDUMA YA NISHATI YA UMEME

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Dkt.Rajabu Rutengwe akisalimiana na wafanyakazi wa kampuni ya M-POWER mara baada ya kuwasili kwenye ufunguzi wa ofisi wa kampuni hiyo katika kata ya kihonda magorofani mkoani hapa.Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt.Rajabu Rutengwe akikata utepe wa kufungua ofisi ya kampuni ya M-POWER inayohusika na kusambaza umeme wa jua hapa  nchini,kulia ni Mkurugenzi wa Usambazaji wa kampuni hiyo Raphael Robert.
 Mkurugenzi wa Usambazaji wa kampuni ya M-POWER Tanzania,Raphael Robert...

 

2 years ago

Zanzibar 24

ZECO yapandisha bei ya umeme Zanzibar

Shirika la umeme Zanzibar ZECO limeamua kuongeza bei ya kuuzia umeme kwa asilimi 20 kuanzia leo. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari, Waziri wa ardhi, maji, nishati na mazingira, Bi Salama Aboud Talib akitangaza mabadiliko ya bei hizo, amesema watumiaji wa majumbani wenye uwezo ambao wanatumia hadi uniti 50 sasa watanunua umeme kwa shilingi 79 kwa uniti  badala ya bei ya zamani ya shilingi 66. Amesema watumiaji wanaozidi uniti 51 sasa watalipa shilingi 480 kwa uniti badala ya shilingi 400...

 

2 years ago

Zanzibar 24

ZECO yaombwa kupunguza Gharama za umeme

Mwakilishi wa Jimbo la Chaani Nadir Abdul latif  ameiomba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuaandaa utaratibu wa kuwapunguzia wananchi Gharama za kuunga umeme katika nyumba zao ili waweze kunufaika na nishati hiyo kwa wakati.

Akichangia taarifa ya Utekelezaji ya Wizara ya Ardhi, Maji Nishati na Mazingira,Mwakilishi huyo amesema  kumekuwa na tabia kwa Baadhi ya watendaji wa Shirika la Umeme kuwatonza gharama kubwa wananchi wanapohitaji huduma hiyo katika makaazi yao.

Wamesema kutokana na...

 

3 years ago

Zanzibar 24

NAFASI ZA KAZI SHIRIKA LA UMEME ZANZIBAR (ZECO) 

Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) linakaribisha maombi ya kujaza nafasi tupu katika kada mbali mbali kwa waombaji wenye sifa stahili kwa ajili ya Unguja na Tawi la Pemba kama ifuatavyo: UNGUJA  1. MHANDISI UMEME ( ELECTRICAL ENGINEER) – Nafasi 1  Sifa za muombaji: © Awe na shahada au stashahada ya juu ktk fani ya umeme (degree or advance diploma in Electrical Engineering or Electrical and Electronics Engineering ) © Umri usiozidi miaka 40 ifikapo mwezi wa septemba,2016. © Ujuzi wa kutumia...

 

2 years ago

Zanzibar 24

ZECO: Kila mwananchi anawajibu kuripoti matukio yanayohusiana na umeme

Shirika la umeme Zanzibar ZECO limesema kila mwananchi anajukumu la kuripoti matukio mbalimbali ya umeme ambayo yanaweza kuleta athari kubwa kwa jamii pindipo yatachelewa kuripotiwa.

Akizungumza na Mwanahabari wetu  huko ofisini kwake Gulioni Afisa uhusianao wa ZECO Salum A Hassan amesema wananchi wengi wanaripoti taarifa sehemu zisizokuwa sahihi jambo ambalo husababisha kukosa huduma muhimu wakati wa matukio ya hatari.

Aidha amesema mwenye jukumu la kuunga umeme na kutatua matatizo...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Balozi Seif azungumzia deni la umeme la ZECO kwa TANESCO

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Serikali ililiamuru Shirika la Umeme Zanzibar {ZECO} kulipa deni wanalodaiwa na  Shirika la Umeme Tanzania {TANESCO} kwa kiwango cha Shilingi Bilioni Mbili kwa Mwezi.

Balozi Seif aliyasema hayo wakati wa kutoa Hoja ya kuahirisha Mkutano wa Tisa wa Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar uliokuwa ukifanyika katika Majengo ya Baraza hilo Chukwani Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi...

 

3 years ago

Mtanzania

Zantel, ZECO wazindua huduma mpya

Mkuu wa Zantel visiwani Zanzibar, Mohamed Mussa akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya kununua umeme kwa kutumia Ezypesa visiwani humo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel, Benoit Janin.

Mkuu wa Zantel visiwani Zanzibar, Mohamed Mussa akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya kununua umeme kwa kutumia Ezypesa visiwani humo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel, Benoit Janin.

KAMPUNI ya simu ya Zantel kwa kushirikiana na Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO), wamezindua upya huduma ya kununua umeme kwa kutumia huduma ya Ezypesa visiwani Zanzibar.

Huduma hiyo inayojulikana kama ‘Tukuza’, ilisitishwa miezi michache iliyopita kutokana na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani