ZIARA YA NAIBU WAZIRI MHANDISI MASAUNI NA WAZIRI BARANDAGIYE WA BURUNDI KATIKA KAMBI ZA WAKIMBIZI NDUTA NA MTENDELI MKOANI KIGOMA

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika mkutano wa hadhara na wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika kambi za Nduta na Mtendeli, mkoani Kigoma, ikiwa ni ziara ya kikazi kukagua zoezi la urejeshwaji wa wakimbizi hao katika nchi yao. Katika ziara hiyo Naibu Waziri aliongozana na Waziri wa Mambo ya Ndani na Mafunzo ya Uzalendo kutoka serikali ya Burundi, Pascal Barandagiye (hayupo pichani).Waziri wa Mambo ya Ndani na Mafunzo ya Uzalendo kutoka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Dewji Blog

Ziara ya Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Masauni, Kigoma (Picha)

Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amefanya ziara mkoani Kigoma ili kukagua shughuli mbalimbali za maendeleo. Mo Blog imekuandalia habari picha za waziri huyo.

PICHA 01

Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akisalimiana na wafanyakazi wa Mashirika mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa yanayohudumia wakimbizi katika Kambi ya muda ya NMC, iliyoko mkoani Kigoma, kushoto ni Mratibu wa Wakimbizi  Mkoani  Kigoma, Tonny...

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA MKOANI KIGOMA,ATEMBELEA KAMBI ZA WAKIMBIZI, AWAONYA KUTOJIHUSISHA NA UHALIFU


 Sehemu ya Wakimbizi wa Kambi ya Nduta, Wilaya ya Kibondo, mkoani Kigoma wakimsikiliza Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa (hayupo pichani)  wakati alipokuwa akizungumza na wakimbizi hao. Majaliwa aliwaonya wakimbizi hiyo kutojihusisha na uhalifu ili waweze kuishi kwa usalama katika kambi hiyo.  Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akipanda mti wa kumbukumbu katika eneo la Kambi ya Nduta, Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma wakati alipofanya ziara katika kambi hiyo. Katika hotuba yakekwa...

 

4 years ago

Michuzi

ZOEZI LA KUWAPOKEA WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI LAENDELEA VIZURI KATIKA KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU MKOANI KIGOMA

 Mkuu wa kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu B iliyopo wilayani Kasulu Mkoani Kigoma, Fredrick Nisajile akiongea na wakimbizi walio katika mpango wa kuhamishiwa kwenye kambi za Nduta, Mtendeli na Karago.Wakimbizi hao waliopokelewa kutoka nchini Burundi hivi karibuni kwa sasa wanahifadhiwa kwa muda katika kambi ya Nyarugusu. Wakimbizi kutoka Burundi walioko katika Kambi ya Nyarugusu wakiandaa mboga ya kisamvu kama walivyokutwa na mpiga picha wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi aliyeko katika...

 

3 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU KITUO KIPYA CHA POLISI NA OFISI YA UHAMIAJI MABAMBA MKOANI KIGOMA

Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akisalimiana na wafanyakazi wa Mashirika mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa yanayoshirikiana na Serikali ya Tanzania kutoa huduma katika Kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu, iliyoko wilayani Kasulu, mkoani Kigoma.Naibu Waziri yuko mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi ikiwemo kutembelea kambi za wakimbizi zilizopo ndani ya mkoa wa Kigoma.Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kulia),...

 

3 years ago

Michuzi

Kambi ya wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo mkoani Kigoma yawatengea watu wenye ulemavu wa ngozi eneo la kuishi

Mkuu wa Kambi ya wakimbizi ya Nduta iliyopo wilayani Kibondo, Mkoa wa Kigoma Bw. Peter Buluku akizungumza na wanahabari kwenye Ofisi ndogo ya Wizara ya Mambo ya ndani kuhusu kutenga eneo kwa ajili ya wakimbizi wenye ualbino.
Habari na  picha na Jacquiline Mrisho- MAELEZO Kigoma 
Kambi ya wakimbizi ya Nduta iliyopo wilayani Kibondo Mkoa wa Kigoma imewatengea eneo maalumu la kuishi watu wenye ulemavu wa ngozi ili kulinda usalama wa maisha yao.Hayo yamesemwa na Mkuu wa Kambi hiyo, Peter Buluku...

 

2 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MHANDISI MASAUNI AWASILI LEO JIJINI MBEYA KWA ZIARA YA KIKAZI

Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kushoto), akisalimiana na viongozi wa Idara za wizara yake hiyo jijini Mbeya baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe kwa ziara ya kikazi.( Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akiweka saini katika kitabu cha wageni baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe, jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi.Wengine ni...

 

1 year ago

Michuzi

UNHCR YAWAWEZESHA WAKIMBIZI WENYE MAHITAJI MAALUM KUKABILIANA NA CHANAGAMOTO ZA MAISHA NDANI YA KAMBI YA NDUTA WILAYA KIBONDO MKOANI KIGOMA

Ujumbe wa Wanahabari na wafanyakazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la  Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR)  Wakiwa na Maofisa wa Shirika la Help Age International wakizungumza na Kikongwe cha Miaka 80 ambaye anapata huduma za kijamii kutoka UNHCR Kupitia  Shirika la Help age ndani ya Kambi ya Wakimbizi ya Nduta Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma. Wazee na Walemavu katika Kambi hizo za wakaimbizi wamekuwa na Changamoto kubwa ya kuweza kujipatia mahaitaji ya kila siku na kufanya shughuli zingine...

 

3 years ago

Dewji Blog

Ziara Mhandisi Hamad Masauni mkoani Kigoma (Picha)

Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni atembelea kambi ya wakimbizi Nyarugusu kituo kipya cha Polisi   na ofisi ya uhamiaji Mabamba mkoani Kigoma, zifuatazo ni picha za ziara yake.

Hamad Masauni

Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akisalimiana na wafanyakazi wa Mashirika mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa yanayoshirikiana na Serikali ya Tanzania kutoa huduma katika Kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu, iliyoko wilayani Kasulu, mkoani...

 

3 years ago

Dewji Blog

Ziara ya Mhandisi Hamad Masauni mkoani Kigoma (Picha)

Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni atembelea kambi ya wakimbizi Nyarugusu kituo kipya cha Polisi   na ofisi ya uhamiaji Mabamba mkoani Kigoma, zifuatazo ni picha za ziara yake.

Hamad Masauni

Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akisalimiana na wafanyakazi wa Mashirika mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa yanayoshirikiana na Serikali ya Tanzania kutoa huduma katika Kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu, iliyoko wilayani Kasulu, mkoani...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani