Ziara ya Rais Trump barani Asia, Ashindwa kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Mataifa ya Asia Mashariki

trump-asia-vietnam-ap-jt-171111_12x5_992

Rais wa Marekani Donald Trump ameondoka Ufilipino leo bila kuhudhuria mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mataifa ya Asia Mashariki, ASEN- kutokana na kucheleweshwa kwa ratiba ya mikutano.

Rais Trump amewaambia waandishi wa habari kuwa badala yake alitoa hotuba yake wakati wa chakula cha mchana na viongozi wa jumuiya hiyo .

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Rex Tillerson atahudhuria kwa niaba ya rais Trump mkutano huo unaofanyika leo.

Awali rais Trump alielezea ziara yake ya wiki mbili katika...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

VOASwahili

Tukio la kigaidi Manhattan New York na ziara ya Rais Donald Trump barani Asia.

Wiki hii katika Washington Bureau Mary Mgawe anaangalia tukio la kigaidi katika jiji la New York na pia ziara ya Rais Donald Trump katika bara la Asia.

 

11 months ago

Channelten

Ziara ya Rais Trump Barani Asia, Mazungumzo juu ya vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini yatawala

Donald-Trump-Asia-Tour-874463

Marekani na China zimeahidi kushirikiana kwa karibu katika mzozo wa Korea Kaskazini, biashara, dawa za kulevya na utulivu wa kimataifa.

Katika mazungumzo yao ya leo walipokutana mjini Beijing, Rais Xi Jinping wa China amemwambia mwenzake wa Marekani, Donald Trump, kwamba China inaamini ushirikiano kati ya nchi hizo mbili ndiyo chaguo pekee sahihi na kwamba uhusiano wao umeingia katika mwanzo mpya wa kihistoria, kwa maslahi ya watu wa nchi hizo pamoja na amani, ustawi na utulivu wa...

 

2 years ago

BBCSwahili

Obama amewasili Vietnam akianza ziara barani Asia

Rais wa Marekani Barack Obama amewasili nchini Vietnam wakati anaanza ziara ya wiki moja barani Asia.

 

2 years ago

CCM Blog

RAIS WA UGANDA MHE YOWERI KAGUTA MUSEVENI AWASILI NCHINI KUHUDHURIA MKUTANO WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akitambulisha wasaidizi wake kwa Mgeni wake, Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni, alipowasili Ikulu Dar es salaam jana jioni Septemba 7, 2017   tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hii leo .
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akipeana mkono na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni  alipowasili Ikulu Dar es salaam jana jioni Septemba 7, 2017 tayari kwa...

 

3 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWASILI SHARM EL SHEIKH KUHUDHURIA MKUTANO WA TATU WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI YA UTATU WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Uchukuzi wa Egypt, Hossam Kamal, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sharm El Sheikh, jijini Sharm El Sheikh Cairo Misri, kwa ajili ya kuhudhuri Mkutano Mkuu wa tatu wa Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Soko la pamoja la nchi za Kusini mwa Afrika (COMESA) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).Agenda ya mkutano huo ni kupokea taarifa ya...

 

11 months ago

VOASwahili

Rais Donald Trump akiwa ziarani Asia

Rais wa Marekani Donald Trump yuko katika ziara ya siku 13 ya nchi 5 za Asia ikiwa ndio safari yake ndefu tangu kuchukua madaraka mwaka 206.

 

3 years ago

BBCSwahili

Masoko ya hisa barani Asia yaanguka

Hisa nchini Uchina zimeendelea kushuka huku wasiwasi kuhusu ukuwaji mdogo wa uchumi nchini humo pamoja na msukosuko wa soko hilo ukisababisha hofu miongoni mwa wafanyibiashara.

 

3 years ago

BBCSwahili

Muungano wa mataifa ya Asia

Viongozi wa nchi kumi za muungano wa kusini mashariki mwa Asia zimetia sahihi makubaliano ya kubuni jamii ya kiuchumi ya ASEAN.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani