Zidane amegombana na Rais wa Real Madrid, kisa ?

Martin-Odegaard-on-Real-Madrid-pre-season-tour-July-2016

Julya 19 2016 headlines za kocha na staa wa zamani wa Real Madrid Zinedine Zidane zimekuwa stori kubwa mitandaoni, Zidane anaripotiwa na mtandao wa dailyamail.co.uk kuwa ametofautiana na Rais wa klabu ya Real Madrid Fiorentino Perez. Perez na Zidane wanatajwa kupishana kutokana na Zidane kutokuwa tayari kumjumuisha kinda Martin Odegaard katika kikosi chake kinachoanza maandalizi […]

The post Zidane amegombana na Rais wa Real Madrid, kisa ? appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

12 months ago

BBCSwahili

Zinedine Zidane anaachia ngazi Real Madrid: Je Real Madrid itafanya nini?

Uamuzi wa Zinedine Zidane kuondoka Real Madrid unawacha maswali mengi ikiwemo la ni nani atakayemrithi

 

3 years ago

Mwananchi

Kocha Zidane, Rais wa Real Madrid wakwaruzana

Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane amekwaruzana na rais wa klabu hiyo, Florentino Perez kabla ya kuanza kwa ziara ya maandalizi ya msimu ujao nchini Canada.

 

3 years ago

StarTV

Zidane atibuana na rais wa real Madrid Florentino Perez

zidane

Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane amekwaruzana na rais wa klabu hiyo, Florentino Perez kabla ya kuanza kwa ziara ya maandalizi ya msimu ujao nchini Canada.

Ugomvi wao ulitokana na uamuzi wa Perez kulazimisha kinda wa miaka 17, Martin Odegaard aliyesajiliwa Januari ajumuishwe kwenye kikosi kilichosafiri na kufanya ziara Amerika Kaskazini.

Zidane anaiongoza Real Madrid kuzuru Canada kwa maandalizi ya msimu ujao akiwa amefuatana na wanae, Luca na Enzo.

Kocha huyo alidhamiria kumtoa...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Rais wa Real Madrid atangaza kumuongezea mkataba Zidane akirudi likizo Hispania

Rais wa Madrid, Florentino Perez kwa mara ya kwanza amezungumzia kibarua cha Zinedine Zidane, huku akisema jambo la kwanza sasa itakuwa ni kushughulikia suala la mkataba wa kocha huyo.

 

4 weeks ago

BBCSwahili

Changamoto zinazomkabili Zidane Real Madrid

Miezi 10 tu baada ya kuiambia Real Madrid kwamba: ''Ningependa kuendelea kubaki, sasa ameamua kurudi katika kiti moto cha Santiago Bernabeu

 

3 years ago

BBCSwahili

Benitez nje Real Madrid,Zidane atawazwa

Klabu ya Hispania ya Real Madrid umemtimua kocha wake Rafael Benitez na nafasi yake imechukuliwa na mchezaji mkongwe mfaransa Zinedine Zidane.

 

2 years ago

Dewji Blog

Zidane ahofia Real Madrid kupangwa na Juventus

Michezo ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imekamilika na timu 16 kufuzu hatua inayofuata ambapo timu za Arsenal, PSG, Napoli, Benfica, Barcelona, Manchester City, Atletico Madrid, Bayern Munich, Monaco, Bayer Leverkusen,Borussia Dortmund, Real Madrid, Leicester City, Porto, Juventus na Sevilla zimefuzu.

Katika timu zote ambazo zimefuzu, kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane amesema hofu yake kwa sasa ni kupangwa na klabu yake ya zamani ya Juventus ya Italia.

Zidane aisema hawezi...

 

1 year ago

Michuzi

ZIDANE AKALIA 'KUTI KAVU' REAL MADRID

Na Agnes Francis, Globu ya Jamii
KOCHA Mkuu wa kikosi cha Real Madrid, Zinedine Zidane ameendelea kusakamwa na matokeo mabaya anayoyapata baada ya jana kuondolewa kwa jumla ya mabao 2-2 dhidi ya Leganes.
Matokeo hayo yameifanya Madrid kuondolewa katika michuano ya Kombe la Mfalme(Copa del Rey).Mtanange huo uliopigwa Uwanja wa Santiago Bernabeu, Madrid imeondolewa kwenye michuano hiyo licha ya ushindi walioupata wakiwa ugenini wa bao 1 - 0 wakati jana Madrid walipokea kichapo cha bao 2 - 1 bila...

 

12 months ago

BBCSwahili

Zinedine Zidane aachia ngazi Real Madrid

Zinedine Zidane amesema anaachia ngazi Real Madrid siku tano baada ya kuwaongoza kushinda Ligi ya Mabingwa Ulaya.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani