Zidane ampa tano Ronaldo kuukaribia ubingwa

Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane amesifu kiwango cha mshambuliaji wa kikosi hicho, Cristiano Ronaldo kutokana na kiwango cha juu alichoonyesha msimu huu.

Mwanaspoti

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Mwananchi

Rodriguez ampa Zidane zawadi ya mwaka mpya

Mshambuliaji James Rodriguez amempa zawadi ya mwaka mpya kocha wake, Zinedine Zidane kwa mabao mawili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Sevilla juzi usiku kwenye raundi ya 16 ya Kombe la Mfalme (Copa del Rey).

 

1 year ago

Mwananchi

Zidane amtetea Ronaldo

Zinedine Zidane amesema Cristiano Ronaldo anapenda kucheza kama winga hali itakayomsaidia nyota huyo wa Real Madrid kurejea kati uwezo wake wa kufunga.

 

4 years ago

Mwananchi

Zidane, Ronaldo bado wamo

Wakongwe wa soka, Zinedine Zidane na Ronaldo kwa mara nyingine tena wamewakusanya wachezaji nyota mbalimbali wa zamani na kucheza mechi kwa ajili ya kukusanya fedha kusaidia maskini.

 

2 years ago

Mtanzania

Ronaldo ampagawisha Zinedine Zidane

RonaldoMADRID, HISPANIA

MSHAMBULIAJI wa klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo, amempagawisha kocha wake, Zinedine Zidane, baada ya mchezaji huyo kufunga mabao matatu katika ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Espanyol.

Mchezaji huyo amekuwa akitajwa kwamba kiwango chake kimeshuka kwa kiasi fulani, lakini Zidane amesisitiza kwamba bado mchezaji huyo yupo katika ubora wake kutokana na ushindi huo.

Mabao hayo yamemfanya awe sawa na mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez, mwenye mabao 19, sawa na mchezaji...

 

2 years ago

Mtanzania

Zidane: Ubingwa kwetu ni ndoto

zinedine-zidane-real-madridMADRID, HISPANIA

BAADA ya klabu ya soka ya Real Madrid juzi kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Malaga katika michuano ya Ligi Kuu nchini Hispania, kocha wa timu hiyo, Zinedine Zidane, ameweka wazi kwamba kuutwaa ubingwa msimu huu itakuwa ndoto kwao.

Kocha huyo anaamini kwamba wapinzani wao, Barcelona, wana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa huo msimu huu kutokana na jinsi wanavyoshinda kwenye michezo yao na kwa sasa wanaongoza Ligi wakiwa na alama 63, wakifuatiwa na Atletico Madrid ambao wana alama 55,...

 

2 years ago

Mtanzania

Zidane akana kumuuza Cristiano Ronaldo

Real Madrid Training and Press ConferenceMADRID, HISPANIA

KOCHA wa Real Madrid, Zinedine Zidane, amesema hawezi kumuuza mshambuliaji wake, Cristiano Ronaldo kwa kuwa mchango wake ni mkubwa.

Baadhi ya mashabiki wa klabu hiyo kupitia mitandao ya kijamii walidai mchezaji huyo auzwe kutokana na uwezo wake kuonekana kushuka katika baadhi ya michezo.

Ila Ronaldo aliwajibu mashabiki hao kwa vitendo ambapo alifanikiwa kutupia mabao manne katika ushindi wa 7-1 dhidi ya Celta Vigo katika michuano ya Ligi Kuu nchini Hispania na kumfanya...

 

1 year ago

Mwananchi

Zidane ampigia magoti Ronaldo asiondoke

 Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane amemuomba staa wa klabu yake, Cristiano Ronaldo kuendelea kubaki Santiago Bernabeu licha ya madai ya nyota huyo kutaka kuondoka katika dirisha hili kubwa la majira ya joto.

 

2 years ago

Mwananchi

Ronaldo amnunia Zidane, Real ikilazimishwa sare

Mshambuliaji Cristiano Ronaldo alimnunia bosi wake, Zinedine Zidane wakati Real Madrid ikilazimishwa sare 2-2 na Las Palmas juzi. 

 

2 years ago

Bongo5

Ronaldo amkingia kifua Zidane kwa mabosi wa Madrid

Mchezaji wa timu ya Real Madrid, Cristiano Roanaldo ameuomba uongozi wa Madrid wasimuachie kocha wa timu hiyo Zinedine Zidane aondoke msimu ujao.

zinedine-zidane-press-conference-march-2016

Zidane ambaye alichukuwa mikoba ya kuifundisha timu hiyo mwezi Januari kutoka kwa Rafael Benitez ambaye kwa sasa anaifundisha timu ya Newcastel United ya nchini Uingereza.

Tangu Zidane aanze kuifundisha timu ya Real Madrid wamefanikiwa kucheza michezo 23 na kushinda michezo 18 na kuanza kuiweka timu hiyo kwenye nafasi nzuri ya kuwania ubingwa wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani