ZIJUE MECHI 5 ZILIZOACHA ALAMA KOMBE LA DUNIA

Ikiwa zimebaki siku nne kabla ya kuanza kwa mashindano ya kombe la Dunia nchini Urusi, kampuni ya michezo Gracenote imetoa michezo mitano ya kombe la Dunia ambayo ilitoa matokeo ambayo hayakutarajiwa na wapenzi wa soka.
Michezo ifuatayo ndiyo ilitoa matokeo ya kushangaza zaidi tangu kuanzishwa kwa mashindano ya kombe la Dunia kwa mujibu wa Gracenote.
5. Uruguay 2-1 Brazil 1950
Mchezo huu unashika nafasi ya tano ni kati Uruguay dhidi ya Brazil katika mashindano yaliyofanyika mwaka 1950 nchini...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Ingizo jipya katika kombe la dunia Brazil: alama ya chaki ya kupulizia inayoyeyuka....

Alama ya chaki ya kupulizia (spray) ni moja ya ingizo jipya kwenye michuano ya Kombe la Dunia nchini Brazil. Tayari refa ameshaitumia mara ya kwanza kwenye mechi ya ufunguzi kati ya Brazil na Croatia usiku wa kuamkia leo, pale refa alipochora kwa kupulizia na kuweka alama wapi wachezaji wasimame wakati wa kupigwa mpira wa adhabu (pichani chini), ili kuthibiti zogo la wachezaji, ama wapi mpira uwekwe kabla ya kupigwa.  Chaki hiyo, ambayo huyeyuka baada ya dakika chache, ilianza kutumika...

 

5 years ago

Michuzi

3 years ago

BBCSwahili

Mechi 14 za kufuzu kwa kombe la dunia leo

Mechi 14 za mkondo wa pili wa kufuzu kwa fainali za kombe la dunia la mwaka wa 2018 nchini Urusi zinachezwa leo kote barani Afrika

 

4 years ago

BBCSwahili

Kenya na TZ zashinda mechi za kufuzu Kombe la Dunia

Tanzania na Kenya zimeibuka na ushindi mechi zao za kwanza za kufuzu kwa Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.

 

5 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya Mechi za Kombe la Dunia iko hapa

fifa_world_cup_2014_wallpaper1

2014fwc Matchschedule Wgroups 22042014 en Neutral by moblog

 

2 years ago

BBCSwahili

Matokeo ya mechi za kombe la dunia la Vijana U20

Michuano ya kombe la dunia la vijana chini ya umri wa miaka 20 inaendelea kushika kasi huko nchini Korea ya kusini ikiwa katika ngazi ya makundi.

 

2 years ago

BBCSwahili

Uhispania washinda 8-0 mechi ya kufuzu Kombe la Dunia

Alvaro Morata na David Silva walikuwa miongoni mwa waliotikisa wavu viongozi wa Kundi G Uhispania walipolaza Liechtenstein 8-0.

 

2 years ago

BBCSwahili

Argentina wahangaika mechi za kufuzu Kombe la Dunia

Argentina wanashikilia nafasi ya tano katika msimamo wa kufuzu kwa Kombe la Dunia katika Amerika Kusini kukiwa na mechi mbili ambazo zimesalia kuchezwa.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani