Zimbabwe:ZANU-PF chamtimua Bi Mujuru

Aliyekuwa makamu wa rais nchini Zimbabwe Joice Mujuru amefukuzwa katika chama tawala ZANU-PF.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

StarTV

Zimbabwe:ZANU-PF yamtimua Bi Mujuru

Aliyekuwa makamu wa rais nchini Zimbabwe Joice Mujuru amefukuzwa katika chama tawala ZANU-PF.

Chama hicho kinasema alipanga njama za kumuondoa mamlakani rais Robert Mugabe mbali na kukiharibia jina chama hicho- madai ambayo ameyakana hapo mbeleni .

Bi Mujuru alipigana vita vya Guerilla pamoja na Mugabe miaka ya sabini dhidi ya uongozi wa weupe na alionekana kama mrithi wake,kabla ya kukosana naye mwaka uliopita swala lililomfanya kufutwa kazi kama makamu wa rais mnamo mwezi...

 

3 years ago

Zimbabwe News

Mujuru Barmy Refuses To Surrender Zanu PF Assets - ZimEye


ZimEye - Zimbabwe News
Mujuru Barmy Refuses To Surrender Zanu PF Assets
ZimEye - Zimbabwe News
Masvingo Ousted Zanu PF Provincial chairman Paradzai Chakona who was accused of being expelled Joice Mujuru's “barmy” has refused to hand over party assets as intra party fighting intensifies.

 

3 years ago

BBCSwahili

Mujuru kuanzisha chama Zimbabwe

Aliyekuwa makamu wa rais nchini Zimbabwe Joice Mujuru amethibitisha kwa chombo cha habari cha AFP kwamba ataanzisha chama chake.

 

2 years ago

BBC

Zimbabwe's Tsvangirai and Mujuru in anti-Mugabe alliance

Opposition leader Morgan Tsvangirai and ex-VP Joice Mujuru will join forces in next year's poll.

 

4 years ago

BBCSwahili

Makamu Rais Zimbabwe aondolewa ZANU-PF

Makamu Rais wa Zimbabwe,Joyce Muguru aondolewa kwenye Halmashauri kuu ya Chama, ZANU-PF

 

2 years ago

BBC

Zimbabwe's Zanu-PF confirms Mugabe as 2018 election candidate

Zimbabwe's governing Zanu-PF party confirms President Robert Mugabe as its sole candidate for the 2018 elections.

 

1 year ago

BBC

Zimbabwe military chief Chiwenga in Zanu-PF purge warning

General Constantino Chiwenga says he could step in, a week after President Mugabe sacked his deputy.

 

1 year ago

BBCSwahili

Jeshi laonya kuhusu mgogoro ndani ya Zanu-PF Zimbabwe

Kamanda mkuu wa jeshi la Zimbabwe ameonya kuingilia kati iwapo pande pinzani zitaendelea kuzozana ndani ya chama tawala cha Zanu-PF.

 

1 year ago

BBCSwahili

Chama tawala cha Zimbabwe ZANU - PF kumshtaki Mugabe

Viongozi wa ZANU-PF wanaamini mchakato wa kumshitaki rais Mugabe utaendelea kama ulivyopangwa baada ya kukataa kujiuzulu Jumapili kama ilivyotarajiwa

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani