Zinedine Zidane aachia ngazi Real Madrid

Zinedine Zidane amesema anaachia ngazi Real Madrid siku tano baada ya kuwaongoza kushinda Ligi ya Mabingwa Ulaya.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Michuzi

BREAKING NEWS:: ZINEDINE ZIDANE AACHIA NGAZI REAL MADRID

Na Bakari Madjeshi, Globu ya JamiiAliyekuwa Kocha Mkuu wa Real Madrid, Zinedine Zidane 'Zizzou' mchana wa leo ametangaza kuachia ngazi kama Kocha Mkuu wa kikosi hivyo baada yakutwaa mataji matatu mfululizo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA CHAMPIONS LEAGUE).
Zidane (45) alijiunga na Real Madrid mwaka 2014 akianza kukinoa kikosi cha Castilla (Real Madrid B).
Zidane alichukua mikoba ya Rafael Benitez aliyeondoka kwenye Kikosi cha kwanza hapo January 2016 .
Kwenye Mkutano wake na Waandishi wa Habari...

 

11 months ago

BBCSwahili

Zinedine Zidane anaachia ngazi Real Madrid: Je Real Madrid itafanya nini?

Uamuzi wa Zinedine Zidane kuondoka Real Madrid unawacha maswali mengi ikiwemo la ni nani atakayemrithi

 

1 year ago

BBCSwahili

Zinedine Zidane: Sioni Real Madrid bila Cristiano Ronaldo.

Mkufunzi wa Real Madrid Zinedine Zidane anaamini kwamba mshambuliaji nyota Cristiano Ronaldo atasalia katika klabu hiyo na haoni sababu za yeye kuondoka katika klabu hiyo ya Uhispania

 

1 year ago

BBCSwahili

Klabu bingwa Ulaya: Je Zinedine Zidane ataepuka shoka Real Madrid?

Baada ya msimu mbaya ambao ni vigumu kuelewa , je ufanisi wa michuano ya klabu bingwa itanusuru kazi Zinedine Zidane katika klabu ya Real Madrid?

 

2 years ago

BBCSwahili

Zinedine Zidane: Mkufunzi mkuu wa Real Madrid kutia saini mkataba mpya

Kiungo huyo wa kati wa zamani wa Real, katika katika miezi 18 ambayo amekuwa kwenye usukani, ameshinda Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya mara mbili na taji la La Liga mara mbili.

 

3 years ago

BBCSwahili

Benitez nje Real Madrid,Zidane atawazwa

Klabu ya Hispania ya Real Madrid umemtimua kocha wake Rafael Benitez na nafasi yake imechukuliwa na mchezaji mkongwe mfaransa Zinedine Zidane.

 

3 years ago

MillardAyo

Zidane amegombana na Rais wa Real Madrid, kisa ?

Martin-Odegaard-on-Real-Madrid-pre-season-tour-July-2016

Julya 19 2016 headlines za kocha na staa wa zamani wa Real Madrid Zinedine Zidane zimekuwa stori kubwa mitandaoni, Zidane anaripotiwa na mtandao wa dailyamail.co.uk kuwa ametofautiana na Rais wa klabu ya Real Madrid Fiorentino Perez. Perez na Zidane wanatajwa kupishana kutokana na Zidane kutokuwa tayari kumjumuisha kinda Martin Odegaard katika kikosi chake kinachoanza maandalizi […]

The post Zidane amegombana na Rais wa Real Madrid, kisa ? appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Mwananchi

Kocha Zidane, Rais wa Real Madrid wakwaruzana

Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane amekwaruzana na rais wa klabu hiyo, Florentino Perez kabla ya kuanza kwa ziara ya maandalizi ya msimu ujao nchini Canada.

 

2 years ago

Dewji Blog

Zidane ahofia Real Madrid kupangwa na Juventus

Michezo ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imekamilika na timu 16 kufuzu hatua inayofuata ambapo timu za Arsenal, PSG, Napoli, Benfica, Barcelona, Manchester City, Atletico Madrid, Bayern Munich, Monaco, Bayer Leverkusen,Borussia Dortmund, Real Madrid, Leicester City, Porto, Juventus na Sevilla zimefuzu.

Katika timu zote ambazo zimefuzu, kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane amesema hofu yake kwa sasa ni kupangwa na klabu yake ya zamani ya Juventus ya Italia.

Zidane aisema hawezi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani