Zinedine Zidane: Sioni Real Madrid bila Cristiano Ronaldo.

Mkufunzi wa Real Madrid Zinedine Zidane anaamini kwamba mshambuliaji nyota Cristiano Ronaldo atasalia katika klabu hiyo na haoni sababu za yeye kuondoka katika klabu hiyo ya Uhispania

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Cristiano Ronaldo ataondoka Real Madrid? Zidane karudia maneno haya …

zinedine-zidane-press-conference-march-2016

Cristiano Ronaldo amerudi tena kwenye headlines baada ya weekend kufunga goli nne peke yake katika ushindi wa goli 7-1 dhidi ya klabu ya Celta Vigo, goli hizo hizo alizofunga Ronaldo hakuzichukulia poa kocha wa klabu ya Real Madrid Zinedine Zidane. Zidane ambaye amejiunga na timu A ya Real Madrid kuchukua nafasi ya Raphael Benitez, amezungumza […]

The post Cristiano Ronaldo ataondoka Real Madrid? Zidane karudia maneno haya … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Bongo5

Zidane: Real Madrid wanahitaji kuendelea kumbakiza kikosini Cristiano Ronaldo

1789925-37795791-2560-1440

Kocha wa klabu ya Real Madrid Zinedine Zidane baada ya weekend hii Cristiano Ronaldo kufunga goli nne peke yake katika ushindi wa goli 7-1 dhidi ya klabu ya Celta Vigo, Zidane goli hizo alizofunga Ronaldo hakuzichukulia poa.

zinedine-zidane-press-conference-march-2016

Zidane ambaye alichukua nafasi ya Raphael Benitez, amezungumza na kusisitiza kwa mara nyingine tena kuwa Real Madrid wanahitaji kuendelea kumbakiza kikosini Cristiano Ronaldo ambaye alikuwa akihusishwa kutaka kuhama.

Ronaldo baada ya kufunga goli nne peke yake dhidi ya...

 

12 months ago

BBCSwahili

Zinedine Zidane anaachia ngazi Real Madrid: Je Real Madrid itafanya nini?

Uamuzi wa Zinedine Zidane kuondoka Real Madrid unawacha maswali mengi ikiwemo la ni nani atakayemrithi

 

12 months ago

BBCSwahili

Zinedine Zidane aachia ngazi Real Madrid

Zinedine Zidane amesema anaachia ngazi Real Madrid siku tano baada ya kuwaongoza kushinda Ligi ya Mabingwa Ulaya.

 

12 months ago

Michuzi

BREAKING NEWS:: ZINEDINE ZIDANE AACHIA NGAZI REAL MADRID

Na Bakari Madjeshi, Globu ya JamiiAliyekuwa Kocha Mkuu wa Real Madrid, Zinedine Zidane 'Zizzou' mchana wa leo ametangaza kuachia ngazi kama Kocha Mkuu wa kikosi hivyo baada yakutwaa mataji matatu mfululizo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA CHAMPIONS LEAGUE).
Zidane (45) alijiunga na Real Madrid mwaka 2014 akianza kukinoa kikosi cha Castilla (Real Madrid B).
Zidane alichukua mikoba ya Rafael Benitez aliyeondoka kwenye Kikosi cha kwanza hapo January 2016 .
Kwenye Mkutano wake na Waandishi wa Habari...

 

1 year ago

BBCSwahili

Klabu bingwa Ulaya: Je Zinedine Zidane ataepuka shoka Real Madrid?

Baada ya msimu mbaya ambao ni vigumu kuelewa , je ufanisi wa michuano ya klabu bingwa itanusuru kazi Zinedine Zidane katika klabu ya Real Madrid?

 

2 years ago

BBCSwahili

Zinedine Zidane: Mkufunzi mkuu wa Real Madrid kutia saini mkataba mpya

Kiungo huyo wa kati wa zamani wa Real, katika katika miezi 18 ambayo amekuwa kwenye usukani, ameshinda Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya mara mbili na taji la La Liga mara mbili.

 

4 weeks ago

BBCSwahili

Paul Pogba: Meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane anampenda mshambuliaji wa Man Utd 'sana'

Meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane anasema mchezaji wa Manchester United Paul Pogba, ambaye amekuwa akisemekana kuhamia Bernabeu, "anajua kufanya kila kitu uwanjani ".

 

2 years ago

Mwanaspoti

Real Madrid yamsafisha Cristiano Ronaldo

Uongozi wa klabu ya Real Madrid umepinga tuhuma zinazoelekezwa kwa mshambuliaji wake, Cristiano Ronaldo na kusema kwamba jambo hilo halina ukweli.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani