Zito Kabwe aongezewa kosa

pic+zito

Spika wa Bunge Job Ndugai ameiamuru kamati ya kinga na madaraka ya bunge kuongeza kosa la pili kwa mbunge wa Kigoma Mjini Kabwe Zitto, baada ya kuandika kwenye mitandao ya kijamii, kwa lengo la kulidhalilisha bunge.

Spika Ndugai ametoa agizo hilo mara baada ya kipindi cha maswali na majibu na kuagiza kamati husika imuite mbunge na kumhoji kutokana na makosa mawili aliyokwishafanya mpaka sasa, yenye lengo la kudhalilisha mhimili wa bunge.

Aidha amemtahadharisha mbunge huyo Bw. Zitto kuacha...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

GPL

ZITO KABWE AWAACHA NJIA PANDA WANANCHI VIWANJA VYA MWEMBEYANGA DAR

Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akihutubia.  Wafuasi wa ACT Wazalendo wakitoa burudani.
Burudani ikiendelea. KIONGOZI Mkuu wa Chama Cha ACT – Wazalendo, Zitto Zuber Kabwe jana…

 

3 years ago

Michuzi

UDSM YAWATUNUKIA TUZO DR. MENGI, MILLARD AYO, SHERIA NGOWI, DIAMOND PLATINUMZ NA ZITO KABWE

Mwenyekiti wa chama cha wanafunzi wanaosoma kitivo cha masoko cha chuo kikuu UDSM ( DUMA ) ndg DOcta Uliwmengu akitoa hotuba fupi ya ufunguzi wa kongamano la wanafunzi wanaosoma kitivo cha masoko na biashara lilifofanyika Jumamosi tarehe 6  hapa chuoni  UDSM na kukutanisha wanataaluma wengi pia wajasiriamali waliofanikiwa na kuweza kukutanisha vyuo mbalimbali ikwemo UDSM , IFM, CBE, na TIA
Mlezi wa chama cha wanafunzi   wanaosoma masomo ya biashara na masoko kutoka chuo kikuu UDSM Ndg David...

 

3 years ago

Vijimambo

HUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM CHAWATUNUKIA TUZO DR MENGI.MILLAR AYO,SHERIA NGOWI , DIAMOND PLATINUMZ NA ZITO KABWE

Mwenyekiti wa chama cha wanafunzi wanaosoma kitivo cha masoko cha chuo kikuu UDSM ( DUMA ) ndg DOcta Uliwmengu akitoa hotuba fupi ya ufunguzi wa kongamano la wanafunzi wanaosoma kitivo cha masoko na biashara lilifofanyika Jumamosi tarehe 6  hapa chuoni  UDSM na kukutanisha wanataaluma wengi pia wajasiriamali waliofanikiwa na kuweza kukutanisha vyuo mbalimbali ikwemo UDSM , IFM, CBE, na TIAMlezi wa chama cha wanafunzi   wanaosoma masomo ya biashara na masoko kutoka chuo kikuu UDSM Ndg David...

 

2 years ago

Mwananchi

KUTOKA MEZA YA MHARIRI WA JAMII: Kunyamazia kosa la waziri ni kosa pia

Pawa Ramadhani Kitwere wa mjini Moshi hakopeshi. Anaandika, “Baadhi ya waandishi hamuwi makini wala hamtaki kutafuta ukweli na usahihi.”

 

2 years ago

MillardAyo

Kutana na video ya goli la Simba Vs URA na kosa kosa za mchezo huo Mapinduzi Cup 2016 …

Mtu wangu wa nguvu bado ninazo headlines za michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2016, naomba nikusogezee video ya goli la Simba dhidi ya URA ya Uganda. Goli ambalo lilifungwa na Ibrahim Ajib dakika ya 37, baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Mwinyi Kazimoto. Mtu wangu wa nguvu hii ni video ya sehemu ya […]

The post Kutana na video ya goli la Simba Vs URA na kosa kosa za mchezo huo Mapinduzi Cup 2016 … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

GPL

MSHINDI WA BSS AONGEZEWA SH. MIL 10

:Jaji Mkuu wa Mashindano ya Bongo Star Search ‘BSS’, Ritha Poulsen ‘Madam Ritha’, akielezea mipango ya  fainali ya mashindano hayo itakavyokuwa siku ya Ijumaa Oktoba 9 mwaka huu katika Ukumbi wa  King Solomon Hall uliopo eneo la Namanga Kinondoni jijini Dar es Salaam. Mmoja wa washiriki wa shindano hilo, Nassib Fonabo, akiimba kwenye kikao hicho.… ...

 

3 years ago

BBCSwahili

Rais wa Zanzibar aongezewa mda.

Muda wa kuhudumu wa rais wa kisiwa cha Zanzibar umeongezwa baada ya matokeo ya uchaguzi kisiwani humo kufutiliwa mbali.

 

3 years ago

Vijimambo

PLUIJM AONGEZEWA MKATABA YANGA

Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm.
Na Hans MloliBAADA ya Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm, kufanikiwa kuiongoza timu hiyo kufanya vizuri katika mechi zake kadhaa ikiwemo ya kimataifa dhidi ya BDF XI ya Botswana, hatimaye uongozi wa klabu hiyo umeamua kumuongezea mkataba.Uamuzi wa kumuongezea mkataba kocha huyo wa zamani wa Berekum Chelsea ya Ghana, ulikuja baada ya kikao cha viongozi wa Yanga kilichoketi takriban wiki moja iliyopita kwa lengo la kufanya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani