ZITTO KABWE AANIKA ORODHA YA VITABU 49 ALIVYOSOMA MWAKA 2018

Tangu Mwaka 2012 nimekuwa naorodhesha vitabu nilivyosoma katika mwaka. Si vitabu vyote huviweka hapa kwani vingine huwa nasoma na kuviacha njiani ama kutopendezwa navyo au kwa kusahau tu. 


Vitabu vingine huwa vitabu rejea na huvirudia kwa ajili ya mafunzo ili kufanya maamuzi Fulani Fulani au kwa ajili ya ibada (kwa mfano Quran) au kwa sababu nyenginezo. Nafurahi kuwa hivi sasa kwenye mitandao duniani kote watu wamekuwa wakiorodhesha vitabu ili kujengana katika utamaduni wa kusoma. Barack...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

Orodha ya vitabu alivyosoma Zitto Kabwe mwaka 2016

zitto

Upo ule usemi kwamba ukitaka kumficha jambo mtu mweusi basi weka ujumbe kwenye vitabu, hawezi kuuona na eti hilo ni jibu kwamba waafrika hatuna utaratibu wa kusoma vitabu. Hii ni tofauti kwa mwanasiasa maarufu na mbunge wa Kigoma Ujiji, Zitto Zubeir Kabwe ambaye mpaka kufikia sasa ameshasoma vitabu 53. Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Zitto […]

The post Orodha ya vitabu alivyosoma Zitto Kabwe mwaka 2016 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Malunde

ZITTO KABWE ATANGAZA KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI SHERIA YA TAKWIMU YA MWAKA 2015

Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema watafungua kesi mahakamani kupinga baadhi ya vifungu vilivyomo katika Sheria ya Takwimu ya mwaka 2015.

Akizungumza na waandishi wa habari nje ya kitengo cha upelelezi wa makosa ya kifedha kilichopo Kamata, Kariakoo jijini Dar es Salaam, Zitto amesema haiwezekani kukawa na mamlaka moja ya kutoa takwimu.

Zitto ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma Mjini amesema tangu kutungwa kwa sheria hiyo imekuwa ikipigiwa kelele kutokana na kuminya uhuru wa wananchi...

 

5 years ago

Zitto Kabwe, MB

MCHANGO WA MAANDISHI WA NDG. KABWE ZUBERI ZITTO, MB KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA WA FEDHA 2014/2015

MCHANGO WA MAANDISHI WA NDG. KABWE ZUBERI ZITTO, MB KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA WA FEDHA 2014/2015

Mheshimiwa Spika, Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa nguvu za kuweza kuandika mchango wangu huu mdogo kwenye mjadala wa Bajeti ya Serikali mwaka 2014/15. Kama wengi mnavyofahamu mnamo tarehe 1 Juni mwaka 2014 nilimpoteza mama yangu mzazi na kumsitiri siku iliyofuata tarehe 2 Juni, 2014. Huu ni msiba mkubwa sana kwangu na ndugu zangu wote kwani mama yetu Bi. Shida...

 

3 years ago

Zitto Kabwe, MB

Tamko la Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe kuhusu Ripoti ya CAG mwaka 2013/2014

Tamko la Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe kuhusu Ripoti ya CAG mwaka 2013/2014

1) Taarifa nyingine ya CAG imetoka, kwa mujibu wa Katiba ya JMT na kwa mujibu wa sheria za nchi. Taarifa hii imechelewa kutolewa kulingana na mabadiliko ya Ratiba za Bunge ambapo hapo awali taarifa ilikuwa ikitoka mwezi Aprili na kuwezesha kuchangia katika mchakato wa Bajeti ya nchi. Taarifa ya mwaka huu na ile ya mwaka Jana imetoka wakati wa Bunge la Bajeti na hivyo Bajeti ya Serikali...

 

2 years ago

Malunde

HII HAPA ORODHA YA KWANZA YA WANAFUNZI WALIOPATA MIKOPO YA ELIMU YA JUU HESLB MWAKA WA MASOMO 2017/2018


Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema baada ya uchambuzi wa maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2017/2018, orodha ya awamu ya kwanza yenye wanafunzi 10,196 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo imekamilika.
Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul-Razaq Badru katika taarifa kwa umma iliyotolewa leo Jumatano Oktoba 18,2017 amesema Sh34.6 bilioni zimetengwa kwa ajili ya wanafunzi hao 10,196.
Amesema kwa jumla Sh108.8 bilioni zitatolewa kwa wanafunzi 30,000 wa...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Zari aanika orodha ya wanaume wanaomtaka kwa sasa

Mzazi mwenziwe na Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady ameweka wazi kuwa kwasasa hayupo tayari kuwa katika mahusiano licha ya kuwepo kwa idadi kubwa ya wanaume kuhitaji kuwa katika mahusiano na yeye.

Kauli hiyo ya Zari imekuja siku chache zilizopita baada ya kununua gari aina ya Range Rover Spor na kuibuka stori kuwa huenda mrembo huyo kapata mwanaume ambaye ameamua kumuhudumia vilivyo.

Baadhi ya watu walidai kuwa gari hilo siyo lake ila aliliazima tu, kutokana na kukosa mwanaume wa...

 

4 years ago

Mwananchi

Zitto aanika majina mabilioni ya Uswisi

Kiongozi mkuu wa chama chama cha ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe jana alianika orodha ya majina ya watu wanaotuhumiwa kuhodhi akaunti zenye mabilioni ya fedha nje ya nchi, lakini akasita kuyataja kutokana na sababu za kisheria.

 

5 years ago

GPL

ZITTO AANIKA UHUSIANO WAKE NA DIVA

Stori: Erick Evarist KWA mara ya kwanza Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe ameibuka na kuzungumzia uhusiano wake na mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’ na kufuta uvumi mzito uliokuwa ukizagaa kuwa wawili hao ni wapenzi. Mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’. Zitto alifunguka hayo juzi kupitia kipindi cha Mkasi kinachorushwa na Televesheni ya East Africa ambapo alikanusha kuwa hana...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani