Zitto Kabwe ajitosa urais TFF

UCHAGUZI Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) unafanyika mwezi Agosti, lakini Mwanaspoti limehakikishiwa kwamba mwanasiasa machachari na shabiki wa kulia machozi wa Simba, Zitto Kabwe atawania urais.

Mwanaspoti

Read more


Habari Zinazoendana

4 months ago

Malunde

ZITTO KABWE AGOMA KUGOMBEA URAIS TFF

Ijumaa ya Aprili 21, mwaka huu, gazeti la michezo na burudani nchini, Mwanaspoti, liliandika habari kwenye ukurasa wake wa kwanza yenye kichwa: "Zitto ajitosa Urais TFF, Rage amkubali."

Upande wangu, licha ya kwamba habari hiyo ilichapishwa bila kupata maoni yangu, lakini haikuwa ngeni. Hii ni kwa sababu kabla ya habari hiyo nilikuwa nimeshapokea maombi kutoka kwa watu mbalimbali, wakiwemo viongozi wakubwa wakinitaka nigombee Urais TFF.

Baada ya habari hiyo kuchapishwa na kupata umaarufu...

 

4 months ago

Michuzi

Kigogo TRA ajitosa urais TFF

MBIO za kuwania uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), zimezidi kushika kasi baada ya Ofisa wa juu Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Shija Richard kujitosa kuwania urais wa shirikisho hilo.
Shija ambaye ni Meneja ndani ya Mamlaka ya Mapato Tanzania, amechukua fomu hiyo leo Jumatatu katika ofisi za TFF Uwanja wa Karume, Dar es Salaam, ingawa hakuzungumza lolote kwa maelezo kuwa muda wa kampeni bado. 
“Ni kweli nimechukua fomu kuwania urais wa TFF, wengi mtataka kujua mengi kuhusu mimi na...

 

4 months ago

Mwanaspoti

Kigogo TRA ajitosa kuwania urais wa TFF

Mbio za kuwania uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), zimezidi kushika kasi baada ya Ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Shija Richard kujitosa kuwania urais wa shirikisho hilo.

 

5 months ago

Mwanaspoti

Zitto Kabwe akutana na kigingi TFF

NDOTO za mwanasiasa machachari nchini, Zitto Kabwe,  kugombea nafasi ya urais ndani ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) huenda ikayeyuka baada ya kubanwa na Katiba ya shirikisho hilo.

 

4 months ago

Mwanaspoti

Mayay ajitosa kuwania urais wa TFF katika uchaguzi utakaofanyika Agosti 12, Dodoma

Nahodha wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Ally Mayay amechukua fomu za kuwania nafasi ya urais wa shirikisho la soka Tanzania (TFF),  utakaofanyika Agosti 12.

 

2 weeks ago

Zanzibar 24

Zitto Kabwe: Haki na Uchumi Kuamua Uchaguzi 2020, Magufuli Hawezi Kushinda Urais

Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameandika  katika ukurasa wake wa Facebook kama ifuatavyo;

John Pombe Magufuli, Kama atagombea tena Urais mwaka 2020, hawezi kushinda kwenye uchaguzi ulio huru, haki na uwazi. Mhariri wa gazeti lililofungiwa karibuni la Raia Mwema alipata kuandika kwenye safu yake, kwamba uchaguzi wa mwaka 2020 utaamuliwa na ajenda mbili kuu za msingi, HAKI na UCHUMI. Uchambuzi ambao nakubaliana nao.

Haki: Magufuli anaongoza utawala unaovunja haki za watu...

 

3 years ago

Zitto Kabwe, MB

2 years ago

Vijimambo

Dk Asha-Rose Migiro Ajitosa Kuwania Urais Kupitia CCM......Samuel Sitta Kurudisha Fomu ya Urais Leo


WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk Asha-Rose Migiro leo anatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Aidha, taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii, kuwa Waziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein kuwa atachukua fomu si za kweli kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya CCM.Migiro, ambaye atachukua fomu kwenye makao makuu wa CCM mjini Dodoma saa tisa mchana, atakuwa mwanamke wa nne kuchukua fomu...

 

2 years ago

Mwananchi

Monica Mbega ajitosa urais

Dodoma. Makada wa CCM, wameendelea kupigana vikumbo katika ofisi za makao makuu ya chama hicho mjini hapa kwa ajili ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa kugombea urais. Jana ilikuwa zamu ya Balozi Augustine Mahiga na Monica Mbega aliyejitosa kimya kimya.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani