Zitto Kabwe amtembelea Mbwana Samatta nchini Ubelgiji

Kiongozi wa Chama cha ACT – Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe jana Februari 12, 2018 alikwenda kumtembelea  Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars Mbwana Ally Samatta nyumbani kwake huko Genk nchini Ubelgiji.

“Nilipata nafasi kumsalimu @samatta77 jana jioni nyumbani kwake Genk. Nimefurahi kuwa anaendelea vizuri na anapambana kuhakikisha anaendelea kukuza nchi yake na yeye mwenyewe. Ana mawazo mazuri Sana ya kuendeleza soka la Tanzania. Mungu atamsaidia Samata wetu...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

Malunde

ZITTO KABWE AMTEMBELEA TUNDU LISSU UBELGIJI

Mbunge Kigoma Mjini (ACT- Wazalendo), Zitto Kabwe amemtembelea Tundu Lissu nchini Ubelgiji anakoendelea na matibabu ya viungo na saikolojia tangu Januari 7, 2018.
Lissu ambaye ni mbunge wa Singida Mashariki anapata matibabu hayo baada ya kushambuliwa kwa risasi Septemba 7, 2017 akiwa nje ya makazi yake mjini Dodoma. 
Awali mbunge huyo alipatiwa matibabu katika Hospitali ya Dodoma siku hiyohiyo kabla ya kuhamishiwa Hospitali ya Nairobi alikotobiwa hadi Januari 6, 2018 alipohamishiwa...

 

3 years ago

Dewji Blog

Timu ya Mtanzania Mbwana Samatta nchini Ubelgiji yatoa neno kufuatia milipuko ya mabomu leo

Baada ya milipuko mitatu iliyotokea mapema leo Machi 22.2016 nchini Ubelgiji katika mji Mkuu wa nchi hiyo iliyotokea kwenye reli ya chini kwa chini, kituo cha treni cha Metro na uwanjwa wa ndege wa Brucesels huku watu zaidi ya 30 kulipotiwa kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa, timu ya soka anayochezea Mtanzania Mbwana Samatta imetoa neno.

Kupitia ukurasa wa mtandao wa kijamii wa facebook wa klabu ya KRC Genk  uliweza kuandika maneno ya kuwatia moyo ndugu na jamaa waliopatwa na msukosuko...

 

2 years ago

MillardAyo

Mbwana Samatta kampokea Himid Mao Ubelgiji

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayecheza soka la kulipwa katika club ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta usiku wa May 10 ametumia ukurasa wake wa instagram kupost picha ya pamoja na mtanzania mwenzake Himid Mao anayeicheza Azam FC wakiwa wote Ubelgiji Himid ambaye hivi karibuni alikuwa katika majaribio Denmark katika […]

The post Mbwana Samatta kampokea Himid Mao Ubelgiji appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Global Publishers

Serikali yampongeza Mbwana Samatta kwa kujiunga na Genk ya Ubelgiji

9496-nape akiongea na samataWaziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kushoto) akiongea na Mchezaji wa Timu ya TP Mazembe Mbwana Samatta (kulia) leo kwenye ofisi za wizara hiyo jijini Dar es Salaam.9524-samatha akiongeaMbwana Samatta(wa kwanza kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani).9531-nape akiongea na waandishiMhe. Nape Nnauye (katikati) akiongea na waandishi wa Habari wakati aakimkaribisha Samatta kwenye ofisi za wizara yake.

SERIKALI imesema ipo bega kwa bega na mshambuliaji nyota wa Taifa Stars, Mbwana Samatta kokote...

 

3 years ago

MillardAyo

Video na pichaz za utambulisho wa Mbwana Samatta KRC Genk ya Ubelgiji ….

Baada ya mvutano wa muda mrefu kati ya mmiliki wa TP Mazembe Mosie Katumbi na Mbwana Samatta kuhusu dau la usajili ili ajiunge na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji, January 29 ndio ilikuwa mwisho wa ubishi rasmi Mbwana Samatta katua katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji. Samatta kajiunga na klabu hiyo na kutambushwa […]

The post Video na pichaz za utambulisho wa Mbwana Samatta KRC Genk ya Ubelgiji …. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Michuzi

3 years ago

Bongo5

Picha: Utambulisho wa Mbwana Samatta katika Klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji.

sama-2-563x400

Nahodha wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta baada ya mvutano wa muda kati ya mmliki wa TP Mazembe Moise Katumbi kuhusu usajili ili ajiunge na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji, January 29 ndio ilikuwa rasmi Mbwana Samatta katua katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji kwa Mkataba wa miaka minne na nusu.

sama-2-563x400

IMG-20160129-WA0006

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

3 years ago

MillardAyo

Hapa ndipo usajili wa Mbwana Samatta wa kujiunga na KRC Genk ya Ubelgiji unapocheleweshwa …

Bado ni headlines za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta zinazidi kuchukua nafasi. Samatta ambaye anatajwa kukaribia kujiunga na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji bado hajasaini mkataba na klabu hiyo licha ya yeye  na Genk kukubaliana maslahi binafsi. January 4 stori […]

The post Hapa ndipo usajili wa Mbwana Samatta wa kujiunga na KRC Genk ya Ubelgiji unapocheleweshwa … appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

Mbwana Samatta kaanza maandalizi ya kuelekea KRC Genk ya Ubelgiji na tuzo yake (+Pichaz)

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta bado yupo kwenye headlines January 11, Samatta January 11 alikutana na Rais mstaafu wa  wa awamu ya nne Dk Jakaya Kikwete na kupewa pongezi baada ya ushindi wa tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa wachezaji wa ndani. […]

The post Mbwana Samatta kaanza maandalizi ya kuelekea KRC Genk ya Ubelgiji na tuzo yake (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani