ZOEZI LA UPIGAJI KURA LAENDELEA KWA UTULIVU NA AMANI VISIWANI ZANZIBAR

 Baadhi ya Wananchi wakihakiki majina yao tayari kwa kupiga kura ya kuwachangua Marais, Wabunge, wawakilishi na Madiwani hapo katika kituo cha kupiga kura skuli ya Sekondari Kitope Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja.  Wananchi wakihakiki majina yao tayari kwa kupiga kura ya kuwachangua Marais, Wabunge, wawakilishi na Madiwani hapo katika kituo cha kupiga kura skuli ya Sekondari Kitope Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja.Baadhi ya Wananchi wakiwa katika foleni kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

zoezi la upigaji kura kuchagua mbunge wa jimbo la kalenga laendelea kwa utulivu

Wananchi  wa Nyamihuu wakiwa wamepakizana katika  boda boda  kwenda  kupiga kura Wananchi  wa Kidamali  wakiwa katika foleni ya kwenda  kupiga  kura mmoja kati ya  wazee  eneo la Nzihi akitoka  kupiga kura  kumchagua mgombea anayemtaka Wananchi  wa Nzihi  wakiwa katika  foleni wakisubiri kupiga  kura

 

3 years ago

StarTV

Zoezi la upigaji kura lafanyika kwa amani na utulivu nchini Uganda

 

Raia wa Uganda wamejitokeza kwa wingi kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu ambao umetajwa kuwa wa amani na utulivu ikilinganishwa na chaguzi za mwaka 2006 na 2011.

Uchaguzi umefanyika kukiwa na ulinzi mkali wa vikosi vya usalama vilivyotumwa kusimamia uchaguzi huo wakati Waangalizi wa uchaguzi wakihoji kuwa hatua hiyo ililenga kuwatia uoga baadhi ya wapiga kura.

Aidha tume ya uchaguzi nchini Uganda imesema inalenga kumtangaza mshindi wa uchaguzi huo kwa muda wa masaa 48.

Mwandishi...

 

4 years ago

Michuzi

ZOEZI ZA UPIGAJI KURA LAANZA NA KUENDELEA KWA UTULIVU NA AMANI JIJINI DAR ES SALAAM

 Wapiga kura kituo cha Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam wakiwajibika kwa utulivu na amani asubuhi hii. Utulivu na amani watawala kituo cha Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam Nidhamu, utulivu, uvumilivu na amani vyatawala kila sehemu. Hapa ni Kibaha Machinjioni, mkoa wa PwaniHapa ni Kibaha Machinjioni, mkoa wa Pwani Kituo cha Afisa Mtendaji wa Kata ya Olorieni jijini Arusha 
Kituo cha Dispensary ya Kata ya Olorieni, Arusha. 
Picha kwa hisani ya blogger Seria

 

4 years ago

Mwananchi

Zoezi la upigaji kura laenda kwa utulivu Dar

Hatimaye zoezi la upigaji kura  nchi nzima limeanza leo huku kukiwa na hali ya utulivu katika vituo vingi.

 

4 years ago

Habarileo

Upigaji kura waendelea kwa amani na utulivu

WATANZANIA leo waliamka mapema na kuwahi katika vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuchagua viongozi wao watakaoliongoza taifa lao katika kipindi cha miaka mitano ijayo.

Misururu mirefu imeonekana katika maeneo mengi ya nchi hususani katika jiji la Dar es Salaam, hali inayoonesha kuwa watu wajejawa na hamasa kubwa ya kuchagua kiongozi wao kama walivyokuwa wakijitokeza katika mikutano ya kampeni.

Watu wengi wamejitokeza katika vituo mapema kabisa leo alfajiri ambapo vituo vilifunguliwa...

 

5 months ago

Zanzibar 24

Dk: Shein asisitiza kudumishwa amani na utulivu visiwani Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi  wa Zanzibar kuendelea kuidumisha hali ya amani na utulivu ambayo ndio msingi wa mafanikio yanayoendelea kupatikana hivi sasa na yatakayopatikana hapo baadae.

Dk. Shein ameyasema hayo leo katika risala yake ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2019 aliyoitoa kupitia vyombo vya habari, Ikulu mjini Zanzibar.

Dk. Shein amesema kuwa katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya mwaka 2018 mafanikio...

 

2 years ago

Michuzi

WANANCHI JIMBO LA DIMANI, ZANZIBAR WAPIGA KURA KWA AMANI NA UTULIVU.


Na. Aron Msigwa – NEC, Zanzibar.
Hatimaye wananchi wa Jimbo la Dimani visiwani Zanzibar waliojiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga leo wamejitokeza kwa wingi katika vituo mbalimbali kupiga kura kumchagua Mbunge atakayewawakilisha kwa kipindi cha miaka miaka 4.
Zoezi la upigaji wa Kura katika vituo mbalimbali lilianza majira ya saa 1 asubuhi  likifanyika kwa hali ya Amani na Utulivu huku baadhi ya wananchi waliojitokeza kupiga kura wakipongeza maandalizi mazuri yaliyofanywa na Tume ya...

 

3 years ago

Channelten

Zoezi la kuhesabu kura linaendelea visiwani Zanzibar

Maafisa wa tume ya uchaguzi Zanzibar, wakiendelea na zoezi la kuhesabu kura katika vituo vilivyopo katika Shule ya Sekondari ya Ben bella, Jimbo la Mji mkongwe , Mkoa wa mjini magharibi.IMG-20160320-WA0058

 

2 years ago

Michuzi

ZOEZI LA UPIGAJI KURA LAFUNGULIWA RASMI KWA AJILI YA KUMPIGIA KURA MREMBO


Kama inavyojulikana kuwa Mrembo wa Miss Universe Tanzania 2016 Jihan Dimack aliyetwaa taji la Miss Universe Tanzania mapema mwezi wa kumi na moja mwaka 2016 aliondoka nchini tangu tarehe 11 Januari kuelekea Manilla nchini Philipines kwa ajili ya kushiriki Mashindano ya Miss Universe kwa ngazi ya kimataifa .
Jihan Dimack akiungana na wenzake kutoka nchi mbalimbali Ulimwenguni yupo nchini Phillipines kwa muda wa wiki mbili sasa akiiwakilisha vyema Tanzania katika kuwania taji...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani