ZSTC na jitihada za kuinua wakulima wa karafuu Zanzibar

 SHIRIKA la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) ni Shirika la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar lililoanzishwa mwaka 1968 kwa madhumuni ya kununua na kuuza mazao ya wakulima kama vile karafuu, mbata, makonyo, pilipili hoho, makombe na mwani.
Shirika hilo tokea wakati huo wa miaka ya sitini limekuwa likitimiza wajibu huo na majukumu mengine  iliyopewa na Serikali kwa ufanisi na kwa uwazi ili kutoa huduma nzuri kwa wakulima na wauzaji wa mazao hayo ambayo kwa kiasi kikubwa yaliwapatia wananchi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Tanzania Daima

Wakulima uzeni karafuu ZSTC

ZANZIBAR ina visiwa vya Unguja na Pemba. Wakazi wake wanajishughulisha na uvuvi, ufugaji na wengine wamejielekeza katika kilimo cha karafuu. Karafuu ambayo ni muhimu katika kukuza uchumi, hivi sasa imepanda...

 

5 years ago

Michuzi

ZSTC yastawisha upya zao la karafuu, Zanzibar.


 Zanzibar ni visiwa vinavyosifika kwa uzalishaji wa karafuu bora duniani. Katika miaka 30 ya nyuma pia ilisifika kwa uzalishaji karafuu nyingi, wastani wa tani 8,605 zilikuwa zikizalishwa kwa mwaka.
Jamii ya wakati huo walikuwa wakizijali, wakizithamini na wakizipenda sana karafuu ukilinganisha na kizazi cha sasa. Walihakikisha karafuu zao wakiuza vituoni tena zinakuwa safi, zimekauka vizuri na zinapata daraja la kwanza.
Katika miaka hiyo zao la karafuu lilikuwa ndiyo tegemeo kubwa la pato...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR, DKT. SHEIN AZINDUA KITUO KIPYA CHA UNUNUZI WA KARAFUU ZSTC - PEMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akikata utepe kuzindua Kituo Kipya cha Shirika la ZSTC cha Ununuzi wa karafuu katika Kijiji cha Mgelema leo, Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kikazi,(kushoto) Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la ZSTC Dkt.Said Seif Mzee.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimina na Viongozi mbali mbali mara alipowasili katika Kijiji cha Ngomeni...

 

2 years ago

Zanzibar 24

ZSTC sasa kuuza karafuu soko la Ulaya

Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) litapatiwa hati ya kuuza karafuu  hai kwenye soko la Ulaya baada ya kutiliana saini na Kampuni ya Ganefryd  ya Denmark  makubaliano ya kuimarisha kilimo hai cha mazao tofauti (organic) kwa kuanzia na kilimo cha karafuu.

Sherehe za kutiliana saini makubaliano hayo zilifanyika katika ofisi za eneo tengefu  Saateni na ZSTC iliwakilishwa na Mkurugenzi Mwendeshaji Dkt. Said Seif na Kampuni ya Genefryd iliwakilishwa na  Afisa  wake Bw. Pale...

 

2 years ago

Zanzibar 24

ZSTC yanunua tani 3,101 za karafuu Unguja, Pemba

Tani 3,101 za karafuu kavu zenye thamani ya shilingi bilioni 43.4 kutoka kwa wakulima wa Unguja na Pemba, zimeshanunuliwa na Shirika la Biashara la Taifa ZSTC tokea kuanza kwa msimu mwezi Julai mwaka huu.

Katika kisiwa cha Pemba pekee, Shirika hilo limeshanunuwa tani 3,072 zenye thamani ya shilingi bilioni 43, na kisiwa cha Unguja limenunuwa tani 28.2 zenye thamani ya shilingi milioni 400.

Akizugumza katika ziara yake ya ukaguzi wa ununuzi wa zao la karafuu Mkoani kisiwani Pemba, Mkurugenzi...

 

4 years ago

BBCSwahili

Jitihada za AU kuinua maslahi ya wanawake

Kongamano la AU la kuboresha maslahi ya wanawake barani Afrika. Je kuna kitu cha kujivunia?

 

4 years ago

Michuzi

ZSTC LAENDELEZA MIKUTANO YAKE KWA WAKULIMA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

Na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar Wakulima wa zao la Karafuu wametakiwa kuacha tabia ya kuchukua Miche mingi ya Zao hilo ambayo wanashindwa kuishughulikia ipasavyo, kwani kwa kufanya hivyo ni kurudisha Juhudi zinazofanywa na Serikali katika kuliimarisha zao hilo kwani Miche hiyo inagharimu kiasi kikubwa cha Pesa za kuitunza.  Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) Mwanahija Almas alipokuwa akizungumza na Wakulima wa Zao la Karafuu wa...

 

2 years ago

Michuzi

SERIKALI YATENGA SHULE 55 , YAUNGA MKONO JITIHADA ZA TFF KUINUA MICHEZO

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imesema kwamba inaunga mkono juhudi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika programu za maendeleo ya vijana, hususani nia yake ya dhati kushiriki michuano ijayo ya Olimpiki itakayofanyika Tokyo, Japan mwaka 2020.
Mkurugenzi wa Michezo, Yusuph Omari aliyasema hayo mara baada ya kusikia program za TFF kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na Makamu Rais wa Kamati ya...

 

4 years ago

BBCSwahili

Wakulima wa karafuu,Pemba waomba msaada

Wakulima Pemba wanaitaka Serikali yao kufanya juhudi kwa ajili ya kuendeleza zao ambalo wamekuwa wakizalisha kwa miaka mingi.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani