Top posts kwenye Facebook

‪Amefufuka! Kaburini hayumo. Ni ukombozi wetu. Napenda kuwatakia sikukuu njema ya Pasaka na mapumziko mema.

‪Amefufuka! Kaburini hayumo. Ni ukombozi wetu. Napenda kuwatakia sikukuu njema ya Pasaka na mapumziko mema.

JOHN MNYIKA

Read more


Sometimes @kinegaa @officialalikiba @officialabdukibaa @official_k_2ga #KingKiba

Sometimes @kinegaa @officialalikiba @officialabdukibaa @official_k_2ga #KingKiba

 

Kwa kipekee naitoa ibada ya leo kuwaombea Mashujaa wetu; Askari 14 wa JWTZ waliojitoa mhanga na...

Kwa kipekee naitoa ibada ya leo kuwaombea Mashujaa wetu; Askari 14 wa JWTZ waliojitoa mhanga na maisha yao kuitetea amani Congo, 44 ambao wamejeruhiwa na wale wawili (2) ambao hawajulikani walipo. Mungu awajalie pumziko jema kwa wale waliopoteza uhai kupigania amani. Awape uponyaji majeruhi na kusaidia kupatikana kwa Askari wawili. Aijalie faraja na ustawi familia za wahanga na wote ambao wameguswa kwa moja kwa moja au namna ingine yeyote na tukio baya hilo. Mungu ibariki Afrika!

 

Maliza siku yako ukiwa na furaha Na leo tunatafuta washindi WAWILI wa droo ya Milioni1. Na...

Maliza siku yako ukiwa na furaha Na leo tunatafuta washindi WAWILI wa droo ya Milioni1. Na inaweza kuwa wewe. NI RAHISI KUCHEZA, NI RAHISI KUSHINDA. Cheza mara nyingi kwa mpigo ujiongeze nafasi wewe ya kushinda na kuingia JACKPOT droo ya kila Jumatatu, NA MILIONI 1 Kushindaniwa KILA SIKU. Na pia usisahau Kuna #ButuaM50 kila mwisho wa MWEZI. JINSI YA KUCHEZA NI RAHISI TU M-pesa,Tigopesa, HaloPesa au Airtelmoney yako 1. Chagua lipa bili 2. Ingiza namba ya kampuni 123255 3. Kumbukumbu ya malipo 6652 4. Kiasi kuanzia 500 au zaidi Cheza kwa mpigo kwa kuingiza kiasi zaidi kuwa #MILIONEA KILA SIKU.

 

Nimeumia sana na taarifa za msiba wa Alhaj Mohamed Missanga, aliyekuwa Mbunge wa Singida Kusini....

Nimeumia sana na taarifa za msiba wa Alhaj Mohamed Missanga, aliyekuwa Mbunge wa Singida Kusini. Alinipokea Bungeni 2010 na kwa miaka miwili niliyokuwa backbencher nilikaa pembeni yake. Alikuwa kiongozi wa dini na alinihimiza Ibada. Mungu amkinge na adhabu ya kaburi na ampe pepo.

 

MWANAWANE Je unaweza kuandika script ya comedy NICHEKI FASTA emanuel_mgaya@yahoo.com

MWANAWANE Je unaweza kuandika script ya comedy NICHEKI FASTA emanuel_mgaya@yahoo.com

 

VIDEO: Hivi ndivyo ulivyokuwa mchezo wa jana wa funga dimba la michuano ya Ligi ya Azam U-15...

VIDEO: Hivi ndivyo ulivyokuwa mchezo wa jana wa funga dimba la michuano ya Ligi ya Azam U-15 (Azam Youth League U-15) kati ya Azam FC U-15 na Bom Bom. LINK: https://www.youtube.com/watch?v=xps0BaDjJCw #AzamYouthLeagueU15

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani