Top posts kwenye Facebook

- UZI MPYA.

- UZI MPYA.

NinaipendaYANGA

Read more


Sometimes @kinegaa @officialalikiba @officialabdukibaa @official_k_2ga #KingKiba

Sometimes @kinegaa @officialalikiba @officialabdukibaa @official_k_2ga #KingKiba

 

ASANTE SANA Pst Panta NA WATENDA KAZI WOOTE WOTE WA KABISA “HOUSE OF CHRIST” TUMEKUWA NA...

ASANTE SANA Pst Panta NA WATENDA KAZI WOOTE WOTE WA KABISA “HOUSE OF CHRIST” TUMEKUWA NA IBADA NJEMA KABISA NA JIONI TUKAKUWA HAPA KUMALIZIA SIKU TATU ZA SEMINA YETU!! NA KAMA KAWAIDA MWISHO WA IBADA TUKAJIFOTOLESHA NA WATENDA KAZI WOOOTE WA CHURCH HAKIKA IMENOGA. Rafiki zangu mlioko na mnaokuja Mwanza ninawaalika kwenye kanisa hili zuri linaongozwa na Pastor Panta. NA MUNGU AKUBARIKI!!

 

Kwa kipekee naitoa ibada ya leo kuwaombea Mashujaa wetu; Askari 14 wa JWTZ waliojitoa mhanga na...

Kwa kipekee naitoa ibada ya leo kuwaombea Mashujaa wetu; Askari 14 wa JWTZ waliojitoa mhanga na maisha yao kuitetea amani Congo, 44 ambao wamejeruhiwa na wale wawili (2) ambao hawajulikani walipo. Mungu awajalie pumziko jema kwa wale waliopoteza uhai kupigania amani. Awape uponyaji majeruhi na kusaidia kupatikana kwa Askari wawili. Aijalie faraja na ustawi familia za wahanga na wote ambao wameguswa kwa moja kwa moja au namna ingine yeyote na tukio baya hilo. Mungu ibariki Afrika!

 

Nimeumia sana na taarifa za msiba wa Alhaj Mohamed Missanga, aliyekuwa Mbunge wa Singida Kusini....

Nimeumia sana na taarifa za msiba wa Alhaj Mohamed Missanga, aliyekuwa Mbunge wa Singida Kusini. Alinipokea Bungeni 2010 na kwa miaka miwili niliyokuwa backbencher nilikaa pembeni yake. Alikuwa kiongozi wa dini na alinihimiza Ibada. Mungu amkinge na adhabu ya kaburi na ampe pepo.

 

VIDEO: Hivi ndivyo ulivyokuwa mchezo wa jana wa funga dimba la michuano ya Ligi ya Azam U-15...

VIDEO: Hivi ndivyo ulivyokuwa mchezo wa jana wa funga dimba la michuano ya Ligi ya Azam U-15 (Azam Youth League U-15) kati ya Azam FC U-15 na Bom Bom. LINK: https://www.youtube.com/watch?v=xps0BaDjJCw #AzamYouthLeagueU15

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani