Top posts kwenye Facebook

VOTE for Mt Kilimanjaro #Tanzania as Africa's Leading Tourist Attraction in World Travel Awards 2017. DID YOU KNOW? Mt Kilimanjaro is the 2016 Africa's Leading Tourist Attraction. JE WAJUA? Mlima Kilimanjaro ndio kivutio bora Afrika mwaka 2016. Jinsi ya kupiga kura (HOW TO VOTE)? Click link below, register&vote Pigia kura Mlima Kilimanjaro katika Tuzo za World Travel Awards 2017 kama Kivutio Bora Afrika. 1. Jisajili - https://www.worldtravelawards.com/register 2. Kupiga kura - https://www.worldtravelawards.com/vote-r3#votenow 3. Angalia Outstanding Votes 4. Chagua Leading Tourist Attraction 5. Itakuja box yenye orodha ambayo Mlima Kilimanjaro umeandikwa pia 6. Bonyeza duara lililoko nyuma ya Neno Mt. Kilimanjaro Tayari utakuwa umepigia kura Mlima Kilimanjaro na nchi yako pia! Ahsante kwa UZALENDO WAKO!

Tanzania Tourist Board

Read more

‪Naoenda kuwatakia kheri na fanaka ktk sikukuu ya Idd El-Fitr. Ijaze upendo, amani na furaha...

‪Naoenda kuwatakia kheri na fanaka ktk sikukuu ya Idd El-Fitr. Ijaze upendo, amani na furaha ktk familia zetu.‬

JANA TULIPATA NAFASI YA KUHUDUMU KTK MKUTANO MKUBWA PALE BOKO MAGENGENI KWA PROPHET Frank Julius...

JANA TULIPATA NAFASI YA KUHUDUMU KTK MKUTANO MKUBWA PALE BOKO MAGENGENI KWA PROPHET Frank Julius Kilawah MKUTANO UNAENDELEA MPAKA JUMAPILI KARIBUNI!!

M A J A N I

M A J A N I

Hellow .. Taasisi ya Her initiative kupitia project yake ya PANDA imefanikiwa kuingizwa katika...

Hellow .. Taasisi ya Her initiative kupitia project yake ya PANDA imefanikiwa kuingizwa katika mashindano yha projects yanayofanyika duniani. Ili kufanikisha ushindi wa taasisi hii yenye lengo la kuwaimarisha wasichana kiuchumi. Tunaomba kura yako kupitia link kwenye bio @her_initiative hapo juu ili kupata ushindi na kuiwakilisha Tanzania, mabinti, na vijana wote ❤ asante #youforG20 #PANDA

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani