Top posts kwenye Facebook

#MICHEZO TFF yamshtaki Msemaji wa Simba Haji Manara kwenye Kamati ya Nidhamu. Soma >> http://www.eatv.tv/news/sport/tff-yamshtaki-manara-kamati-ya-nidhamu

#MICHEZO TFF yamshtaki Msemaji wa Simba Haji Manara kwenye Kamati ya Nidhamu. Soma >> http://www.eatv.tv/news/sport/tff-yamshtaki-manara-kamati-ya-nidhamu

eatv.tv

Read more


"Nashukuru viongozi wangu kwa kufanikisha zoezi hili, nina furaha kusaini mkataba mpya . ....

"Nashukuru viongozi wangu kwa kufanikisha zoezi hili, nina furaha kusaini mkataba mpya . . naahidi ntarudi kivingine kabisa ntajitahidi niingie kikosi cha kwanza na kuwa msaada kwa timu yangu, ahsante mashabiki endeleeni kunipa support awamu hii ntawafurahisha." - Matheo Anthon.

 

It was a great honor to share a podium with my brothers and sisters in the music industry in...

It was a great honor to share a podium with my brothers and sisters in the music industry in Mombasa at Little Theatre in the company of Mombasa Governor HE Hassan Joho. My advice to them; God first,believe in yourself and lastly self discipline. You will reach far! @joho_001 #SupportedByKiba #kingkiba

 

JAMANI JAMANI MSUKUMA WANGU AMEAMKUA KUNIFATA😂😂😂😂😂 Sema Kakosea hiyo haifikagi...

JAMANI JAMANI MSUKUMA WANGU AMEAMKUA KUNIFATA😂😂😂😂😂 Sema Kakosea hiyo haifikagi huku MKE wangu jamani!!! ATAYEMUONA MIKOANI JAMANI AMWAMBIE NARUDIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII!!!!!!! #MwenyeAnajuaKilaNdegeInafikaKwaTrump😀# #SijuiKabenaNiniKwenyeKapegiJamaniMoniiiiiiiiiiiiiNarudiiiiiii#

 

🌹👠💋

🌹👠💋

 

Leo nimekagua mradi ambao Ofisi yetu inausimamia. Tunajenga kuta kudhibiti athari za mabadiliko...

Leo nimekagua mradi ambao Ofisi yetu inausimamia. Tunajenga kuta kudhibiti athari za mabadiliko ya hali ya hewa kwa fukwe (ambapo kwa Jiji kama la Dar Es Salaam tumeona bahari ikimega sehemu za barabara) na tunazipendezesha. Mradi huu ni eneo la barabara ya Barack Obama. Tuna mradi sawa na huu unaendelea eneo la Kigamboni.

 

“Baada ya hapo nitachagua timu yangu, na kuweka kichwani kwangu namna gani timu inatakiwa...

“Baada ya hapo nitachagua timu yangu, na kuweka kichwani kwangu namna gani timu inatakiwa kucheza hapo baadaye, hivi sasa nina muda mzuri wa kuiunganisha timu kwa kuijenga kiufundi na nina uhakika tutafanya vizuri na kila mmoja atajionea namna kikosi chao kitakavyokuwa na wale waliokuwa wanatuponda matokeo yatawaumbua,” alisema Cioaba.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani