Top posts kwenye Facebook

jotionline

Read more


HappyBirthDay @dinamarious MUNGU akusimamie Kwenye mambo Yako #SupportedByKiba #KingKiba

HappyBirthDay @dinamarious MUNGU akusimamie Kwenye mambo Yako #SupportedByKiba #KingKiba

 

Niliundwa ili niunde #iwascreatedtocreate #TooDope

Niliundwa ili niunde #iwascreatedtocreate #TooDope

 

‪Kazi ikiendelea kuzungumza na wananchi na kuomba ridhaa na kuwanadi Wagombea Udiwani wetu....

‪Kazi ikiendelea kuzungumza na wananchi na kuomba ridhaa na kuwanadi Wagombea Udiwani wetu. Nina furaha na amani moyoni kuona hamasa kubwa ya wananchi dhidi ya chama chetu, CHADEMA katika mikoa yote ambayo nimepita kuwanadi na kuwaombea kura wagombea wetu ngazi ya Udiwani. Hamasa hii iendelee mpaka tuhakikishe tumewapata Madiwani wetu. Piga kura! Linda kura! Aluta Continua #CHADEMA ✌🏿‬

 

UTAKUWEPO!!?

UTAKUWEPO!!?

 

Kikosi cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, usiku huu kimemaliza mazoezi kwa...

Kikosi cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, usiku huu kimemaliza mazoezi kwa siku ya tatu kikijiandaa na mchezo ujao wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar, utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex Jumatatu ijayo saa 1.00 usiku. #PreparationStillContinue

 

I just noticed that I have been detached from so many things, including sending greetings and...

I just noticed that I have been detached from so many things, including sending greetings and notes of gratitude. Let me take this opportunity to say hi and thanks for your friendship. God bless you!

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani