Top posts kwenye Facebook

Mchezaji wa Serengeti Boys, Abdul Suleiman aliyeibuka mchezaji bora katika mechi ya jana dhidi ya Angola amebainika hatumii dawa ya aina yoyote ya kusisimua misuli baada ya kufanyiwa vipimo. Neno moja kwake

Mchezaji wa Serengeti Boys, Abdul Suleiman aliyeibuka mchezaji bora katika mechi ya jana dhidi ya Angola amebainika hatumii dawa ya aina yoyote ya kusisimua misuli baada ya kufanyiwa vipimo. Neno moja kwake

eatv.tv

Read more


I seduced you MWANZA #Fiesta2017 #KingKiba

I seduced you MWANZA #Fiesta2017 #KingKiba

 

Kiwanda cha chumvi Uvinza hutumia kuni kukausha chumvi. Tumeamuru watumie jua. Wameanza....

Kiwanda cha chumvi Uvinza hutumia kuni kukausha chumvi. Tumeamuru watumie jua. Wameanza. Tumeelekeza wengine wote watumiao kuni viwandani kuwa mwisho ni Disemba 2017.

 

HAYAAA SASA!! Kwa yeyote Mwenye kipaji cha uchekeshaji Tengeneza Video Clip isiozidi dakika 1...

HAYAAA SASA!! Kwa yeyote Mwenye kipaji cha uchekeshaji Tengeneza Video Clip isiozidi dakika 1 tu.. Na uitume kwa WhatAp no.0654-959580 Washindi watafanya kazi na mimi JOTI..🤣 Na tutakupost kwenye@jotiofficial na Joti tv...kazi kwako🤣🤣🤣#komedi

 

“Tuzo hii ni nzuri kwa klabu kwa sababu nadhani kwa sasa mimi ndiye wa kwanza kuichukua msimu...

“Tuzo hii ni nzuri kwa klabu kwa sababu nadhani kwa sasa mimi ndiye wa kwanza kuichukua msimu huu kwenye mwezi wa kwanza, hii itamfanya kila mmoja kucheza kwa kiwango cha juu na ubora kwa sababu ukishinda tuzo hii unajenga wasifu wako (CV) ni nzuri kwa kila mmoja wetu. “Nadhani tuzo hii ni kwa timu nzima na sio mimi pekee ni jitihada za pamoja, siwezi nikachukua mafanikio haya mwenyewe bila wachezaji wenzangu nisingeweza kushinda tuzo hii, jambo la kwanza napenda kuwashukuru wachezaji wenzangu na benchi la ufundi na kila mmoja kwenye timu, hii tuzo ni kwa ajili yetu wote na sio mimi,” alisema Yakubu Mohammed, akizungumzia tuzo hiyo aliyoitwaa jana.

 

HAYAAA SASA!! Kwa yeyote Mwenye kipaji cha uchekeshaji Tengeneza Video Clip isiozidi dakika 1...

HAYAAA SASA!! Kwa yeyote Mwenye kipaji cha uchekeshaji Tengeneza Video Clip isiozidi dakika 1 tu.. Na uitume kwa WhatAp no.0654-959580 Washindi watafanya kazi na JOTI..🤣 Na utapostiwa kwenye @jotiofficial na Joti tv...kazi kwako🤣🤣🤣#komedi

 

#imissyou

#imissyou

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani