Top posts kwenye Facebook

Kikosi cha Azam FC kipo kwenye hali nzuri kabisa katika maandalizi ya mchezo ujao dhidi ya Kagera Sugar, wachezaji wakionekana wanamorali kubwa mazoezini kuelekea mchezo huo utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex Ijumaa hii saa 1.00 usiku. Ukiwa kama shabiki wa Azam FC, unapata matumaini gani na kikosi chako msimu huu, na nini unatarajia kuelekea mchezo ujao dhidi ya Kagera Sugar?

Azam FC

Read more

“ tumejipanga vyema kushinda mchezo wa leo. Nimewapanga vijana kuwa makini dakika zote 90...

“ tumejipanga vyema kushinda mchezo wa leo. Nimewapanga vijana kuwa makini dakika zote 90 lakini nimewaambia kuwa makini zaidi na dakika 20 za kwanza . Tunahitaji kutangulia kufunga na kumiliki mpira” George Lwandamina Head Coach - Yanga SC

Shilole afunguka kuhusu kupigana na mumewe :-...

Shilole afunguka kuhusu kupigana na mumewe :- www.eatv.tv/news/entertainment/shilole-afungukakuhusu-kupigana-na-mumewe

Tar 31 March 2018 #Maybe

Tar 31 March 2018 #Maybe

#MoreWorkContinue Maandalizi ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, yanazidi...

#MoreWorkContinue Maandalizi ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, yanazidi kupamba moto kuelekea mchezo ujao dhidi ya KMC. #GodBlessAzamFC

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani