Top posts kwenye Facebook

JINSI YA KUCHANGIA MATIBABU YA MHE. TUNDU ANTIPHAS LISSU Benki: CRDB Jina la Akaunti: CHADEMA M4C Namba: 01J1080100600 Tawi: MBEZI BEACH Huhitaji kwenda Benki: Unaweza kuchangia kwenda kwenye akaunti hiyo ya benki kupitia huduma za M-PESA au Tigo Pesa na au Airtel Money kama ifuatavyo: 1. Kuchangia kupitia M-PESA Piga: * 150*00# chagua 6, Huduma za Kifedha, kisha chagua 2, M-PESA kwenda Benki; kisha chagua 1, CRDB; na kisha 1, weka namba ya akaunti ambayo ni 01J1080100600 Baadaye malizia kwa kufuata maelekezo. 2. Kuchangia kupitia Tigo Pesa Piga: * 150*01# chagua 6, Huduma za Kifedha, kisha chagua 1, Tigo pesa kwenda Benki; kisha chagua 1, CRDB; na kisha 1, kuingiza namba ya kumbukumbu ambayo ni 01J1080100600 Baadaye malizia kwa kufuata maelekezo... 3. Kuchangia kupitia Airtel Money Piga: * 150*60# chagua 1, Tuma Pesa, kisha chagua 1, Tuma kwenda Benki; kisha chagua 2, CRDB Bank; na kisha 1, ingiza namba ya akaunti ambayo ni 01J1080100600 Baadaye malizia kwa kufuata maelekezo ... Hakuna mchango mdogo.Tuungane kusaidia matibabu ya Mhe. Tundu Lissu.

JINSI YA KUCHANGIA MATIBABU YA MHE. TUNDU ANTIPHAS LISSU Benki: CRDB Jina la Akaunti: CHADEMA M4C Namba: 01J1080100600 Tawi: MBEZI BEACH Huhitaji kwenda Benki: Unaweza kuchangia kwenda kwenye akaunti hiyo ya benki kupitia huduma za M-PESA au Tigo Pesa na au Airtel Money kama ifuatavyo: 1. Kuchangia kupitia M-PESA Piga: * 150*00# chagua 6, Huduma za Kifedha, kisha chagua 2, M-PESA kwenda Benki; kisha chagua 1, CRDB; na kisha 1, weka namba ya akaunti ambayo ni 01J1080100600 Baadaye...

JOHN MNYIKA

Read more


Bangi yaruhusiwa kutumika, sheria yapitishwa...

Bangi yaruhusiwa kutumika, sheria yapitishwa :-https://www.eatv.tv/news/current-affairs/bangi-yaruhusiwa-kutumika-sheria-yapitishwa

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani